Nyumbani » 19/01/2014 Entries posted on “Januari 19th, 2014”

Ban aitaka serikali ya Sudan Kusini kuheshimu sheria ya kimataifa na kuwalinda raia

Kusikiliza / Waathiriwa wa ghasia Sudan Kusini wanaokimbilia ofisi ya UNMISS kutafuta hifadhi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, ameelezea kushangazwa na kusikitishwa na jaribio la maafisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Sudan Kusini kuingia kwa nguvu kwenye eneo la kutoa ulinzi kwa raia katika ua la ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, UNMISS mjini Bor. Bwana Ban amesema maelfu ya raia wameuawa, [...]

19/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban aalika Iran na nchi nyingine 9 kushiriki kongamano kuhusu Syria

Kusikiliza / SG at SC stakeout

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, ametangaza leo kuwa ametoa mwaliko kwa mataifa mengine kumi, ikiwemo Iran, kushiriki kongamano la kimataifa kuhusu Syria hapo kesho Januari 20, mjini Montreux, Uswisi. Nchi nyingine zilizoalikwa kushiriki ni Australia, Bahrain, Ubeljiji, Ugiriki, The Holy See, Luxembourg, Mexico, Uholanzi na Jamhuri ya Korea. "Naamini kupanua uwepo wa [...]

19/01/2014 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031