Nyumbani » 18/01/2014 Entries posted on “Januari 18th, 2014”

Dalili za mkataba wa kusitisha mapigano Sudan Kusini zaanza kuonekana

Kusikiliza / Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini zimesababisha maelfu kusaka hifadhi kwenye kambi

Pande mbili zinazopigana huko Sudan Kusini zimeripotiwa kuwa katika hatua nzuri za kutia saini makubaliano ya kusitisha mapigano kufutia mazungumzo yanayoendelea huko Addis Ababa, Ethiopia. Wawakilishi wa pande hizo Ateny Wek Ateny ambaye ni msemaji wa  Rais wa Sudan Kusini na Mabior Garang, msemaji wa upande wa upinzani walizungumza kwa njia ya simu na Radio [...]

18/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban akaribisha matokeo ya uchaguzi Madagascar

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon Jumamosi amekaribisha matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Rais nchini Madagascar yaliyothibitishwa na ambayo waangalizi wa kimataifa wametoa tathimini na kusema uchaguzi ulifanyika kwa amani na utaratibu uliotakiwa. Ban ametoa wito kwa wagombea wote kukubali uamuzi wa mahakama maalumu ya uchaguzi kwa kutoa malalamiko yao kwa amani [...]

18/01/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Idadi ya waliouawa Kabul yaongezeka, wafanyakazi wa UM waliouawa wafahamika

Kusikiliza / Bendera ya Umoja wa Mataifa

Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulio la Ijumaa huko Kabul nchini Afghanistan, imeongezeka na kufikia 21 huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon akisema kuwa ni wakati mwingine wa majonzi kwa Umoja huo kwani wafanyakazi wake wanne wameuawa kwenye tukio hilo. Amewataja wafanyakazi hao kuw ani Basra Hassan kutoka Marekani, Nasrin Jamal wa [...]

18/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930