Nyumbani » 12/01/2014 Entries posted on “Januari 12th, 2014”

Dunia yapaswa kuchukua hatua zaidi kusaidia Syria: Mkuu wa OCHA

Kusikiliza / Valerie Amos, Mkuu wa OCHA

Hali ya kibinadamu kwa zaidi ya raia Milioni Tisa Nukta Tatu wa Syria ni mbaya sana na hivyo dunia yapaswa kuchukua hatua zaidi, amesema Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa masuala ya kibinadamu Valerie Amos wakati alipohitimisha ziara yake huko Damascus, Syria, Jumapili. Akizungumza na wadau wa masuala ya kibinadamu na wale [...]

12/01/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Utulivu watakiwa CAR baada ya viongozi wa mpito kujiuzulu:Babacar Gaye

Kusikiliza / Jenerali Babacar Gaye

Huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, Mwakilishi wa maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jenerali Babacar Gaye ametaka utulivu nchini humo kufuatia kujiuzulu wa Rais Michel Djotodia na Waziri Mkuu wa serikali ya mpito Nicolas Tiangaye. Ametoa wito kwa wajumbe wa baraza la mpito kujikusanya na kufanya uchaguzi haraka wa mtendaji mpya wa [...]

12/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031