Nyumbani » 07/01/2014 Entries posted on “Januari 7th, 2014”

Mradi mpya katika kukabilina na utapiamlo Niger ni wa kutumainisha

Kusikiliza / Mtoto mwenye utapiamlo

Utapiamlo ni janga la kitaifa nchini Niger na unaathiri mamia ya maelfu ya watoto. Ni janga ,ambalo UNICEF na wadau wanajaribu kukabilina nalo kufuatia mradi bunifu wa kutoa mafunzo kwa akina mama kuweza kupima utapiamlo. Mradi huu unalenga kuhakikisha kwamba utapiamlo unanaswa na kutibiwa kabla ya kusababaihsa maafa basi ungana na Grace Kaneiya katika ripoti

07/01/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban azungumzia maendeleo ya kuteketeza silaha za kemikali Syria

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesifu maendeleo yaliyopatikana katika utokomezaji wa mpango wa silaha za kemikali nchini Syria, hususan habari za hivi karibuni kuhusu kusafirishwa kwa shehena ya kwanza ya vifaa muhimu vinavyohusiana na mpango huo. Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema Bwana Ban amepokea rasmi taarifa ya kung'oa nanga kwa meli [...]

07/01/2014 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi wa Sudan Kusini wamiminika Kenya na Uganda

Kusikiliza / Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaokimbilia Uganda

Mapigano nchini Sudan Kusini yamesababisha wimbi jipya la wakimbizi wanaowasili katika nchi jirani kutafuta usalama. Kwa mujibu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Kambi ya Kakuma Kaskazini Mashariki mwa Kenya imekuwa ikipokea wakimbizi wapatao 300 kila siku, huku idadi ya wakimbizi wanaowasili nchini Uganda kwenye kambi ya Kiryandongo ikiwa imepanda pia. John Kibego wa Redio [...]

07/01/2014 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO yasambaza zaidi ya tani 125 za vifaa vya tiba Aleppo

Kusikiliza / Wafanyakazi wakipakua shehena za vifaa tiba iliyowasilishwa na WHO nchini Syria

Shirika la afya duniani, WHO limesema katika kipindi cha wiki mbili zilizopita limesambaza zaidi ya tani 125 ya vifaa tiba hukoAlepponchiniSyriaikiwa ni kwenye maeneo yanayodhibitiwa na serikali na pia vikundi vya upinzani. Taarifa ya WHO imesema vifaa hivyo ni pamoja na vile vya upasuaji, dawa za kutibu magonjwa ya kuambukiza, vifaa vya kusaidia watoto njiti [...]

07/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya haki za binadamu yahofia matumizi ya nguvu kupita kiasi Cambodia

Kusikiliza / Rupert Colville

Kamishina mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa mataifa Navi Pillay amesema anafuatilia kwa karibu na kwa hofu hali nchiniCambodiaya matumizi ya nguvu kupita kiasi inayofanywa na vikosi vya usalama kukabili waandamanaji. Joshua Mmali na maelezo zaidi  (TAARIFA YA JOSHUA MMALI) Kwa mujibu wa ofisi ya haki za binadamu Ijumaa ya tarehe 3 Januari [...]

07/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Raia wa Sudan Kusini wazidi kumiminika Uganda

Kusikiliza / Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katiak kambi ya Kiryandongo nchini Uganda

Mapigano nchini Sudan Kusini yamesababisha wimbi jipya la wakimbizi  wanaowasili katika nchi jirani kutafuta usalama. Kwa mujibu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Kambi ya Kakuma Kaskazini Mashariki mwaKenyaimekuwa ikipokea wakimbizi wapatao 300 kila siku, huku idadi ya wakimbizi wanaowasili nchiniUgandakwenye kambi ya Kiryandongo ikiwa imepanda pia. Victor Kibego wa Redio washirika ya Spice FM [...]

07/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kozi mpya katika haki za binadamu zaanzishwa vyuoni Kenya na Bolivia

Kusikiliza / Mafunzo Bolivia na Kenya

Kozi mpya za elimu kuhusu haki za binadamu zimeanzishwa katika Chuo Kikuu cha Laikipia nchini Kenya na Chuo cha Mafunzo ya Uongozi cha Bolivia kwa usaidizi wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa. Kozi hizo ambazo zitatolewa kwa wanafunzi wenye daraja ya shahada ya juu, yaani Master's, zinalenga kuwapa wahudumu wa umma [...]

07/01/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Shehena ya kwanza ya vifaa vihusikanavyo na silaha za kemikali Syria yang'oa nanga Lattakia

Kusikiliza / Sigrid Kaag

Hatimaye shehena ya kwanza ya vifaa vinavyohusika na silaha za kemikali nchini Syria imesafirishwa kutoka nchini humo kupitia bandari ya Lattakia. Taarifa hizo zimethibitishwa na  mratibu wa Jopo la pamoja la Umoja wa Mataifa na shirika la kimataifa la kupinga silaha za kemikali OPCW, Sigrid Kaag. Katika taarifa yake Bi. Kaag  amesema vifaa hivyo vilisafirishwa [...]

07/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kenya iko katika mwelekeo sahihi kuimarika kiuchumi: IMF

Kusikiliza / IMF Christine Lagarde akiwa nchini Kenya

Kenya iko kwenye mwelekeo sahihi wa kuimarika kiuchumi na kiniachotakiwa ni kutekeleza mambo makuu matatu ili isiende mrama, amesema Mkurugenzi mtendaji wa shirika la fedha duniani, IMF Christine Lagarde wakati wa kongamano la sekta binafsi mjini Nairobi. Bi Lagarde ametoa mfano wa vile ambavyo Kenya imeweka mazingira yanayojumuisha wananchi katika mfumo wa fedha ili waweze [...]

07/01/2014 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya haki za binadamu yalaani shambulio dhidi ya msafara wa mazishi Yemen

Kusikiliza / HRC

Ofisi ya haki za binadamu imelaani vikali shambulio la makombora dhidi ya msafara wa mazishi na kuuwa watu 21 na kujeruhi wengine 30 wakiwemo watoto. Shambulio hilo lilifanyika Desemba 27 kwenye jimbo la Al-Dhalai . Ofisi ya haki za binadamu imekaribisha kuanzishwa kwa kamati ya Rais ya uchunguzi hapo Desemba 28 mwaka 2013 na kutoa [...]

07/01/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

IOM yapanua wigo wa msaada Sudan Kusini na yatoa ombi la kimataifa

Kusikiliza / Mkurugenzi Mkuu wa IOM akizungumza na Mkuu wa IOM Sudan Kusini katika kituo cha UNMISS, JUBA

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM linapanua wigo wa msaada wake kwa watu waliotawanywa na machafuko yanayoendelea Sudani Kusini  na limetoa ombi kwa jumuiya ya kimataifa kupata msaada zaidi. Mkurugenzi mkuu wa IOM William Lacy Swing amewasili Juba Jumapili ili kuonyesha hofu yake na mshikamano kwa watu walioathirika na machafuko , na pia kukutana na [...]

07/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mashirika ya UM yatafuta dola bilioni moja kwa ajili ya watoto wa Syria:UNHCR/UNICEF

Kusikiliza / Watoto wa Syria

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamezindua kampeni ya kuchangisha dola bilioni moja ili kutoa msaada na kuwalinda zaidi ya watoto wa Syriamilioni nne waliotawanywa na machafuko ndani ya nchi au wanaoishi katika mataifa jirani kamawakimbizi. Flora Nducha na taarifa kamili (TAARIFA YA FLORA NDUCHA) Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na [...]

07/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031