Nyumbani » 03/01/2014 Entries posted on “Januari 3rd, 2014”

Usawa wa kijinsia wamulikwa nchini Tanzania

Kusikiliza / Wanawake

  Mwaka 2000 wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipitisha malengo ya maendeleo ya Milenia, malengo yako manane na lengo namba Tatu ndiyo mada kuu ya Makala yetu wiki hii.Lengo hilo ni kuendeleza usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake. Masuala yanayomulikwa hapa ni kuondoa tofauti ya uandikishaji watoto wa kike na kiume mashuleni, [...]

03/01/2014 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Mabadiliko ya hali ya hewa yanaathiri upatikanaji wa lishe nchini Chad

Kusikiliza / Wakaazi wa eneo la Sahel

Mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri mazingira mashariki wa chad. Mabwawa ya maji yamekuwa machache. Baada ya msimu wa mvua ambapo kwa kawaida kuna mavuno. Miaka mitatu iliyopita mabadiliko ya hali ya hewa yamekithiri. Mwaka 2012 watoto katika nchi za ukanda wa Sahel walitibiwa ugonjwa wa utapiamlo uliokithiri yaani unyafuzi. Hii ni hali ambayo inayoathiri [...]

03/01/2014 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

UM wajiandaa kwa mkutano wa ahadi za kuisaidia Syria

Kusikiliza / Wakimbizi wa Syria

  Umoja wa Mataifa umesema unajitahidi kuhakikisha kwamba mkutano wa ahadi za usaidizi kwa Syria uliopangwa kufanyika Kuwait katikati ya Januari unakuwa wa mafanikio. Mkutano huo una lengo la kukusanya msaada wa fedha wa kimataifa ili kukidhi mahitaji ya lazima ya kibinadamu kwa raia wa Syria zaidi ya milioni 9, wakati huu machafuko yakiendelea nchini [...]

03/01/2014 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mtaalam wa Umoja wa Mataifa alaani ukatili dhidi ya waandamanaji Cambodia

Kusikiliza / Ramana ya Cambodia

    Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Cambodia, Surya Subedi, ametoa wito uwepo utulivu kufuatia askari jeshi nchini humo kuwafyatulai risasi wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeza nguo waliokuwa wakiandamana, na kuwaua watu wane. Hilo ni tukio la tatu ambalo vyombo vya dola vimefyatulia risasi umati wa watu [...]

03/01/2014 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Hatua zichukuliwe kukomesha ghasia dhidi ya waandishi Iraq:UNESCO

Kusikiliza / Camera ya mwanhabari (picha ya faili)

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO Bi Irina Bokova, Ijumaa ameelezea hofu yake baada ya mauaji ya wafanyakazi sita wa vyombo vya habari hivi karibuni katika matukio mawili tofauti nchini Iraq. Amesema analaani vikali mauaji ya Raad Yassin, Jamal Abdel Nasser, Mohamed Ahmad Al-Khatib, Wissam Al-Azzawi na Mohamed [...]

03/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yatenga fungu kusaidia kusafirisha wahamiaji CAR:

Kusikiliza / Wakimbizi wa CAR

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kimataifa la uhamiaji IOM bwana William Lacy Swing wiki hii ameidhinisha fungu la dharura la fedha kwa ajili ya kuanza kuwasafirisha kwa ndege wahamiaji walioathirika na mapigano yanayoendelea nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR). Amesema IOM imepokea maombi kutoka katika serikali nyingi ya kutaka raia wao wasafirishwe kutoka Jamhuri [...]

03/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yataka wasirejeshwe Bulgaria waomba hifadhi

Kusikiliza / Nembo ya UNHCR

  Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR Ijumaa limetoa tamko la kuyataka mataifa yanayoshiriki katika sheria Dublini kusitisha hatua ya kuwasafirisha waomba hifadhi kurejea Bulgaria. Joseph Msami na habari kamili (TAARIFA YA JOSEPH MSAMI) UNHCR imesema waomba hifadhi nchini Bulgaria wanakabiliwa na hatari ya vitendo visivyo vya kibinadamu au kudhalilishwa kutokana na [...]

03/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watu 200,000 wakimbia makwao Sudan Kusini, misaada yaongezwa : OCHA

Kusikiliza / Waathiriwa wa ghasia Sudan Kusini wanaokimbilia ofisi ya UNMISS kutafuta hifadhi

  Taarifa iliyotolewa Ijumaa na mratibu wa masuala ya kibinadamu nchini Sudan Kusini Toby Lanzer inasema machafuko nchini Sudan Kusini yamewafungisha virago na kuwalazimu kuhama makwao takriban watu 200,000 katika wiki mbili zilizopita na kuathiri maelfu ya wengine. Assumpta Massoi na maelezo kamili (TAARIFA YA ASSUMPTA MASSOI) Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa mataifa [...]

03/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Visa vitatu vya surua vyabainika CAR na kampeni ya chanjo yaanza:WHO

Kusikiliza / Mtoto akipewa chanjo

  Shirika la afya dunini WHO limesema visa vitatu vya surua vimebainika katika makambi mawili ya wakimbizi wa ndani karibu na uwanja wa ndege wa Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.  Kufuatia hali hisho WHO, shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa mataifa UNICEF na shirika la madaktari wasio na mipaka MSF wameanza Ijumaa [...]

03/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali bado ni tete CAR: UNHCR

Kusikiliza / Hali CAR si shwari, UNHCR

Hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati bado ni tete, huku kutokuwepo na usalama kunasababisha usambazaji wa misaada ya kibinadamu kuwa vigimu zaidi limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.  Taarifa kamili na Flora Nducha.  (TAARIFA YA Flora Nducha) Kwa mujibu wa shirika hilo idadi ya wakimbizi wa ndani inaongezeka [...]

03/01/2014 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031