Dkt Salim azungumzia uongozi Afrika na mustakhbali wa Sudan Kusini

Kusikiliza /

Dkt. Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu mstaafu wa uliokuwa Umoja wa nchi huru za Afrika, OAU, sasa AU

Mwaka 2013 umefikia ukomo. Barani Afrika, mengi yametokea na mengine yanaendelea kutokea. Mathalani kifo cha Mzee Madiba na mzozo unaoendelea Sudan Kusini na kufanya wanadiplomasia kuendelea kukuna vichwa vyao kila uchao kupata suluhu ya kudumu za mzozo huo ndani ya taifa hilo changa lililopaswa kuwa mfano. Je nini mustakhbali wa Afrika baada ya Mandela? Na vipi Sudan Kusini?. Assumpta Massoi wa Idhaa hii alifanya mahojiano kwa njia ya simu na  Mwanadiplomasia wa muda mrefu Katibu Mkuu Mstaafu wa uliokuwa Umoja wa nchi  huru za Afrika, OAU sasa AU Dokta Salim Ahmed Salim kuhusu masuala hayo.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031