Nyumbani » 25/12/2013 Entries posted on “Disemba 25th, 2013”

Ban awatumia ujumbe wananchi wa Sudan Kusini

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Sauti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban-Ki Moon katika ujumbe wake kwa njia ya radio na video kwa wananchi wa Sudan Kusini ambao kwa zaidi ya wiki moja sasa wamekumbwa na sintofahamu ya hatma ya Taifa lao changa kufuatia mapigano  yaliyozuka na kusababisha raia Elfu 81 kupoteza makazi yao.Kwanza Ban kwa mara nyingine [...]

25/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mfumo wa kuwapatia vijana mafunzo ndani ya ajira ni njia moja ya kukabiliana na ukosefu wa ajira:ILO

Kusikiliza / Mafunzo ya kazi ndani ya kazi

Shirika la kazi duniani, ILO limesema ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana unaweza kupatiwa muarobaini, iwapo waajiri wataridhia kuboresha mfumo wa kuwapatia mafunzo ndani ya ajira vijana kama njia mojawapo ya kuboresha stadi zao na kuchangia katika maendeleo ya kampuni na mashirika. Hayo  yameibuka kwenye warsha iliyoandaliwa barani Ulaya na ILO kuhusu mwelekeo na  uthabiti [...]

25/12/2013 | Jamii: Habari za wiki, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031