Nyumbani » 20/12/2013 Entries posted on “Disemba 20th, 2013”

Ban aipongeza Madagascar kwa uchaguzi na kuwataka kulinda amani

Kusikiliza / madagascar

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amewaongeza wananchi wa Madagascar, tume ya uchanguzi na watu wa serikali ya Malagasy  kwa ushiriki na mchango wao katika zoezi la uchaguzi wa rais na wabunge. Taarifa iliyotolewa leo ijumaa na ofisi ya msemaji wa Katibu Mkuu mjini New York inasema Ban amewataka watu wa Malagasy, [...]

20/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Umuhimu wa mshikamano baina ya binadamu waangaziwa nchini Kenya

Kusikiliza / Ushikamano

Tarehe 20 mwezi Disemba ni siku ya kimataifa ya mshikamano iliyoidhinishwa na baraza kuu la Umoja wa Mataifa Disemba 22 mwaka 2005 katika azimo namba 60/ 209.  Ilibainishwa ndani ya azimio hilo kuwa mshikamano ni msingi na maadili ya kimataifa ya  kusisitiza mahusiano ya watu katika karne ya  21. Ujumbe wa mwaka huu ni kuziba [...]

20/12/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asikitishwa na mauaji ya askari walinda amani Sudan Kusini

Kusikiliza / Ban Ki Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon aamelaani vikali shambulio katika kituo cha ujumbe wa Umoja wa Matifa nchini Sudani Kusini UNMISS eneo liitwalo Akobo na kusababaisha vifo vya walinda amani wawili raia wa India huku mlinda amani mwingine akipelekwa katika kituo cha matibabu cha UNMISS. Katika shambuliohiloraia kadaa ambao ni wakimbizi waliuwawa [...]

20/12/2013 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban awasili Ufilipino, kwenda Tacloban Jumamosi

Kusikiliza / UNDP inaratibu uondoaji wa vifusi nchini Ufilipino baada ya kimbunga Haiyan

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon yuko nchini Ufilipino ambako anatarajiwa kuwa na mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo Rais Benigno Aquino. Habari zinasema kuwa Bwan Ban atakutana pia na wahanga wa kimbunga Haiyan au Yolanda kama kijulikanavyo nchini humo na kupatiwa taarifa kuhusu hali ya sasa ya usaidizi, ikiwa ni zaidi [...]

20/12/2013 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Madhila yawakumba raia wa Sudan Kusini kufuatia machafuko

Kusikiliza / Watoto wakitibiwa

Wakati hali ya sintofahamu ikiendelea kutajwa nchini Sudna Kusini , inaelezwa kuwa raia ndio wanaoathirika zaidi lakini watoto kwao hali ni tete kwani wanapatwa na magonjw aya milipuko huku wakikabiliana na chnagamoto za ukosefu wa huduma muhimukamamalazi bora, chakula na mengineyo.  Hali hiyo pia huathiri wanawake na wanaume wakati huu ambapo inaelezwa hali ya machahafuko [...]

20/12/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya haki za binadamu yachukizwa na ukiukwaji wa haki Misri

Kusikiliza / logo-human-rights

Ofisi ya Haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kitendo kilichofanyika huko Cairo, Misri cha kuvamia ofisi ya shirika la kiraia  linahusika na haki za binadamu na kukamatwa kwa watendaji sita kinatia hofu juu ya kuendelea kuongezeka kwa matukio hayo ya unyanyasaji dhidi ya vikundi hivyo nchini Misri. Ofisi hiyo imesema katika tukiohilowatu waliokuwa [...]

20/12/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Serikali ya Syria na makundi ya upinzani yathibitisha kushiriki mkutano wa amani

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

    Mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa nchi za Kiarabu kuhusu Syria, Lakhdar Brahimi amesema kuwa serikali ya Syria na makundi ya upinzani yamethibitisha kushiriki mkutano wa kimataifa mwezi ujao kuhusu amani nchini Syria, ambao utafaanza Januari 22 mwakani katika mji wa Uswisi wa Montreaux. Bwana Brahimi amesema, ameambiwa na [...]

20/12/2013 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kuzorota kwa usalama Sudan Kusini kwatia wasiwasi Baraza la Usalama

Kusikiliza / Walinda amani wa UNMISS wanawasaidia wananchi wa Sudan Kusini wanaokimbia mapigano kwa uhifahdi na huduma za kiafya

Kufuatia ripoti kuhusu kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama Sudan Kusini Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mashauriano ya dharura na faragha kuhusu hali nchini humo wakati huu ambapo imeripotiwa vifo vya raia 20 na walinda amani huko Akobo. Rais wa baraza hilo kwa mwezi huu wa Disemba Balozi Gerard Araud [...]

20/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban amteua makamu wa rais wa zamani Ecuador kuwa mwakilishi wake kwa watu wenye ulemavu

Kusikiliza / Mwakilishi mpya kwa watu wenye ulemavu ateuliwa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amemteua aliyekuwa makamu wa rais wa Ecuador Lenín Voltaire Moreno Garces kuwa mwakilishi wake kwa ajili ya watu wenye ulemavu na wale wanaokosa fursa. Katika wadhifa wake huo mpya,Bwana.Morenoatachukua jukumu la kuhakikisha kwamba haki za watu wenye ulemavu zinazingatiwa. Inakadiriwa kwamba watu wenye ulemavu duniani wanafikia zaidi [...]

20/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya haki za binadamu ya UM yatilia shaka juu ya kuongezeka vitisho kwa raia Saudia Arabia

Kusikiliza / HRC

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa imeingiwa na wasiwasi kuhusiana na ripoti ya kuongezeka kwa vitendo vya vitisho kwa makundi ya raia nchini Saudia Arabia. Pamoja na kuandamwa na vitisho raia hao pia wamekuwa wakikabiliwa na njama ya kuteswa na kutupwa gerezani. Serikali ya Saudia Arabia inalaumiwa kuwa kuendelea kubana [...]

20/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mapigano Sudan Kusini yazidi kusambaa: OCHA

Kusikiliza / Watu wa Sudan Kusini watafuta hifadhi katika ofisi za UNMISS baaada ya mapigano kuzuka siku chache zilizopita

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu usaidizi wa kibinadamu, OCHA imesema mapigano yaliyoanza Juba tarehe 15 mwezi huu yanazidi kusambaa hususan kwenye jimbo la Jonglei ambako watu Elfu Thelathini na Wanne yakadiriwa wamepoteza makazi yao. Ripoti kamili ya George Njogopa. Taarifa zaidi na George Njogopa (Ripoti ya George) Ripoti zinasema kuwa zaidi ya raia [...]

20/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tushikamane, tuheshimiane tusonge mbele pamoja: Ban

Kusikiliza / mshikamano

Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya mshikamano, Katibu Mkuu wa UM Ban Kin Moon amesema ni lazima kuheshimiana na kugawana majukumu ili kutimiza malengo ya malengo ya milenia. Siku hii iliyoidhinishwa na baraza kuu la Umoja wa Mataifa December 22, 2005 ilitokana na kuzingatia kuwa mshikamano ni msingi na maadili ya kimataifa ya kusisitiza [...]

20/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Viongozi CAR acheni kuchochea vurugu kwa misingi ya dini: Pillay

Kusikiliza / Wakimbizi wanaokimbia ghasia CAR

Kamishna mkuu wa haki za binadamu ndani ya Umoja wa Mataifa Navi Pillay ametaka viongozi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati kuacha kuchochea ghasia kwa misingi ya tofauti za kidini. Taarifa kamili na Jason Nyakundi. (Taarifa ya JASON NYAKUNDI) Pillay amesema kuwa yale yanayoendela yanashangaza na yanastahili kutoa ishara kote ulimwengu kuwa ikiwa hatua za [...]

20/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya waliolazimika kukimbia makwao 2013 ilikuwa si ya kawaida: UNHCR

Kusikiliza / Wakimbizi wakisubiri misaada huko Jamhuri ya Afrika ya Kati

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetoa ripoti hii leo inayosema kuwa mwaka 2013 umekuwa na idadi kubwa kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa na shirikahilo, la watu waliolazimika kukimbia makwao kutokana na ongezeko la wakimbizi wa ndani. Ripoti ya Grace Kaneiya inafafanua zaidi. (Ripoti ya Grace) Ripoti hiyo inasema kuwa watu milioni 5.9 [...]

20/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Raia 20 na walinda amani wauawa Sudan Kusini; Baraza la Usalama lakutana

Kusikiliza / unmiss

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini, UNMISS, umethibitisha kuwa walinda amani wawili kutoka India waliuawa katika shambulizi la Akobo, na kwamba mlinda amani mwingine kutoka India amepelekwa kwa kituo cha matibabu cha UNMISS Malakal. Katika taarifa yake, UNMISS imelaani vikali machafuko na ukatili uolotendeka Akobo na ambao unaendelea katika maeneo mengine nchini [...]

20/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031