Nyumbani » 16/12/2013 Entries posted on “Disemba 16th, 2013”

Ripoti kuhusu silaha za kemikali Syria iliibua mzozo barazani: Balozi Araud

Kusikiliza / Balozi Gerard Araud, Rais wa Baraza la Usalama kwa mwezi Disemba

Rais wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwezi huu wa Disemba Balozi Gerard Araud wa Ufaransa amewaeleza waandishi wa habari kuwa ripoti iliyowasilishwa na Katibu Mkuu Ban Ki-Moon ya uchunguzi wa silaha za kemikali nchini Syria iliibua mjadala mkali badina ya wajumbe wa baraza hilo. Amesema ripoti hiyo ilieleza bayana kuwa silaha [...]

16/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Maafisa wa jeshi Sudani Kusini wafunzwa kuhusu ulinzi wa raia

Kusikiliza / Mafunzo ya ulinzi

Mafunzo maalum ya ulizni wa raia yaliyohusisha jeshila Sudani Kusini yamefanyika nchini humo huku kukiwa na taarifa za shambulio la kupinduliwa kwa serikali hatua iliyolaaniwa na Umoja wa Mataifa. Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS umeendesha mafunzo hayo kwa kuzingatia umuhimu wa ulinzi wa raia katika maeneo yaliyokumbwa na migogoro.  Makala ifuatayo inaelezea [...]

16/12/2013 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Magonjwa yatokanayo na wanyama yaongezeka kwa binadamu: FAO

Kusikiliza / Mfugaji akilisha kuku. (FAO)

Mwelekeo wa milipuko ya magonjwa duniani unazidi kubadilika kila uchao kutokana na ongezeko la idadi ya watu, kupanuka kwa kilimo na hata jinsi ya usambazaji wa chakula duniani, limesema shirika la kilimo cha chakula duniani FAO. Ripoti ya shirikahiloiliyotolewa Jumatatu imesema kutokana na hali hiyo inatakiwa mpango wa pamoja wa kudhibiti tishio la magonjwa hayo [...]

16/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Bado hali nchini CAR ni tete, mkutano maalum haukwepeki – Balozi Samba

Kusikiliza / Waliofurushwa makwao kwa ajili ya ghasia CAR

Balozi wa kudumu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR katika Umoja wa Mataifa Léopold Ismael Samba amesema licha ya majeshi ya Ufaransa kusaidia katika kurejesha utulivu nchini humo bado mgogoro unafukuta na kwamba taifa hilo linakabiliana na changamoto na bado safari kuondokana na mgogoro huo ni ndefu. Akizungumza katika mkutano wa baraza la haki [...]

16/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Shambulio huko Aleppo laitia hofu UNICEF

Kusikiliza / Usalama wa watoto nchini Syria mashakani. (UNICEF)

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linasema lina wasiwasi mkubwa juu ya ripoti kuwa shambulio la anga lililofanyika Jumapili huko Aleppo penginepo limesababisha vifo vya watoto kati ya 14 na 28. Mkurugenzi wa Shirika hilo kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Maria Calvis amesema katika taarifa yake akizingitia ripoti ya [...]

16/12/2013 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban asema Syria suala la Syria lilishika kasi zaidi mwaka 2013

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Wakati tunapohesabu siku chache kabla ya kuhitimisha mwaka, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, LEO amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia mwaka 2013. Miongoni mwa mambo aliyoangazia ni amani na usalama, huku suala la mzozo wa Syriabado  likitawala, kama ilivyokuwa mwaka ulopita. "Mwaka 2013 ndio mwaka ambao mzozo wa Syria ulikithiri kwa kiwango [...]

16/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP yaongeza operesheni zake za dharura Syria

Kusikiliza / WFP yaimarisha msaada Syria

Shirika la chakula ulimwenguni WFP limetangaza hii leo kuwa linapanua oparesheni zake za dharura za misaada ya chakula kwa watu milioni saba raia wa Syria waliohama makawao nadi mwa nchi yao na kwenye mataifa jirani. Tathmini ya hivi majuzi inaonyesha kuwa karibu nusu ya watu walio nchini Syria hawana usalama wa chakula na karibu watu [...]

16/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM watoa ombi la dola Bilioni 13 kwa wakazi zaidi ya Milioni 52 duniani kote ikiwemo Syria

Kusikiliza / OCHA

16/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF yatilia shaka kuhusu maisha ya watoto CAR

Kusikiliza / Hali ya watoto CAR inatia shaka CAR

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohisika na watoto UNICEF limesema kuwa kuongezeka kwa vitendo vya uvunjifu wa haki za watoto katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kunatoa picha kwamba hali ya uhalibifu wa kibinadamu sasa umekaribia. UNICEF imeeleza kuwa vitendo vya watoto kutekwa, kuuliwa na kutumikishwa ni baadhi ya mambo yanayoendelea kujitokeza nchini humo na [...]

16/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Cambodia yatakiwa kuunda tume kuchunguza utesaji magerezani

Kusikiliza / Gerezani

Kamati ndogo ya Umoja wa Mataifa inayohusika uzuiaji wa mateso imeitaka Cambodia kuunda tume huru ya kitaifa ili kuchunguza huduma wanazopewa watu walioko magerezani na wale wanaoshikiliwa kwa sababu mbalimbali. Kamati hiyo imetoa wito huo mwishoni mwa ziara yao ya siku tano nchini humo ziara ambayo iliwafikisha kwenye magereza na maeneo mengine. Cambodia iliridhia mkataba [...]

16/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ukosefu wa mbegu CAR watishia usalama wa chakula: FAO

Kusikiliza / Kilimo CAR mashakani, uhaba wa mbegu watishia usalama wa chakula

Wakulima katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitaji kupatiwa usaidizi wa haraka vinginevyo watakabiliwa na baa kubwa la ukosefu wa chakula haali itayoathiri mamilioni ya raia, shirika la chakula na kilimo FAO limeonya. George Njogopa na ripoti kamili (Ripoti ya George) Kwa mujibu wa FAO kiasi cha watu milioni 1.29 ikiwa ni zaidi ya asilimia [...]

16/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sudan Kusini yaripoti jaribio la kupindua serikali, UM wataka utulivu

Kusikiliza / Wananchi wakimbilia kituo cha UNMISS kutafuta hifadhi(UNMISS)

Hali ya sintofahamu imekumba Sudan Kusini kuanzia Jumapili ambapo kumeripotiwa jaribio la kupindua serikali huku Umoja wa Mataifa ukitaka pande husika kusitisha chuki wakati huu wananchi wakikimbia kusaka hifadhi kwenye ofisi za ujumbe wa Umoja huo, UNMISS. Joshua Mmali na ripoti kamili. (Ripoti ya Joshua) Hilde Johnson Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa [...]

16/12/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930