Nyumbani » 12/12/2013 Entries posted on “Disemba 12th, 2013”

Ban apokea ripoti ya uchunguzi wa matumizi ya silaha za kemikali Syria

Kusikiliza / ban chemicals

Timu ya kuchunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria, leo imewasilisha ripoti ya shughuli yake ya uchunguzi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York. Timu hiyo iloongozwa na Profesa Åke Sellström wa Sweden, ilishirikisha wataalam kutoka shirika la kupinga silaha za kemikali, OPCW na Shirika la Afya Duniani, WHO. [...]

12/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Viongozi wa Afrika wamejizatiti kutokomeza Malaria: Dkt. Chambers

Kusikiliza / Mtoto akiwa amelala kwenye chandarua kujikinga na Malaria

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika vita dhidi ya Malaria, Ray Chambers amezungumza na waandishi wa habari mjini New York  na kusema kuwa mafaniko yaliyodhihirika barani Afrika katika kutokomeza ugonjwa huo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa bara hilo kuonyesha dhahiri uongozi wao katika vita hivyo. Chambers amesema jitihada hizo [...]

12/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

WFP imetoa wito wa kumuenzi Nelson Mandela kwa kutokomeza njaa:

Kusikiliza / Soko la mboga dar Es Salaam

  Mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani (WFP) Ertharin Cousin Alhamisi ametoa wito wa kumuenzi hayati Nelson Mandela kwa kutokomeza njaa katika watu wetu. Bi Cousin  ameyasema hayo mjini Dar Es Salaam, Tanzania wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuwawezesha wakulima wadogowadogo kupata fursa ya huduma za fedha kama akaunti za benki, kadi [...]

12/12/2013 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Pillay agadhabishwa kutokana na kuharamishwa kwa uhusiano wa kimapenzi wa jinsia moja

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishina mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay ameghadhabishwa na hatua ya india ya kutangaza kuwa uhalifu uhusiano wa kimapenzi wa jinsia moja kotokana na uamuzi wa mahakama kuu . Jason Nyakundi na taarifa kamili. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Pillay amesema kuharamiswa kwa  uhusino wa kimapenzi wa jinsia moja ni ukiukaji [...]

12/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi nchini Uganda wanufaika na kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia

Kusikiliza / Wakimbizi wakicheza

Wakati siku kumi na sita za kimataifa za kupinga ukatili wa kijinsia zikikamilika wakimbizi walioko katika kambi ya Kyangwali nchini Uganda wameshuhuduia tamati ya siku hizo kwa sherehe maalum. John Kibego wa radio washirika Spice Fm nchini humo amehudhuruia sherehe hizo na kutuandalia makala ifuatayao. (MAKALA YA KIBEGO)      

12/12/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kujumuishwa katika mfumo wa fedha kutaongeza mafanikio kwa wakulima wadogowadogo:Malkia Maxima

Kusikiliza / Malkia Maxima, Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa UM kuhusu ujumuishwaji wa mifumo ya fedha kwa maendeleo

Malkia Maxima wa Uholanzi ambaye ni mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya ujumuishwaji wa mifumo ya fedha kwa maendeleo, na mkurugenzi mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP Bi Ertharin Cousin leo wamezungumza na waandishi wa habari mjini Dar es salaam Tanzania na kusema kuwa kujumuishwa katika [...]

12/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Visa vya ugonjwa wa saratani vyafikia zaidi ya Milioni 14 duniani kote: IARC

Kusikiliza / Mojawapo ya vituo vya uchunguzi wa saratani nchini Nigeria

Shirika la kimataifa la utafiti wa ugonjwa wa saratani,  IARC lenye uhusiano na lile la afya duniani, WHO leo limetoa takwimu mpya kuhusu ugonjwa huo zinazoonyesha ongezeko la wagonjwa. Assumpta Massoi na ripoti kamili. (Taarifa ya Assumpta) Zaidi ya watu Milioni 14 walipoteza maisha mwaka jana kutokana na ugonjwa wa saratani ambapo aina za saratani [...]

12/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili amani na usalama Sahel, Afrika

Kusikiliza / Wakazi wa eneo la Sahel

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili hali ya amani na usalama katika eneo la Sahel barani Afrika, mwezi mmoja baada ya ziara ya Katibu Mkuu na rais wa Benki ya Dunia kwenye eneo hilo. Joshua Mmali ana taarifa kamili (TAARIFA YA JOSHUA) Mkutano wa leo wa Baraza la Usalama umehutubiwa na [...]

12/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati bado tete, chakula chahitajika.

Kusikiliza / Watoto hawa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitaji misaada

Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kiutu ,OCHA linasema hali ya usalama bado si shwari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wakati huu ambapo zoezi la kupokonya silaha kwa vikundi vinavyomiliki silaha hizo katika mji mkuu Bangui na Bassangoa linaendelea. Inaelezwa kuwa aliyekuwa kiongozi wa kundi la Waasi wa Seleka  Mahamat Saleh ameuawa [...]

12/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mafunzo ndani ya ajira kwa vijana ni muarobaini wa ukosefu wa ajira duniani: ILO

Kusikiliza / Mafunzo ndani ya ajira, (picha ya AFP)

Shirika la kazi duniani, ILO limesema ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana unaweza kupatiwa muarobaini, iwapo waajiri wataridhia kuboresha mfumo wa kuwapatia mafunzo ndani ya ajira vijana kama njia mojawapo ya kuboresha stadi zao na kuchangia katika maendeleo ya kampuni na mashirika. Jason Nyakundi na ripoti kamili. (Taarifa ya Jason) Hayo yameibuka kwenye warsha wiki [...]

12/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR na washirika wachukua hatua ya kuwasaidia wakimbizi wa Syria

Kusikiliza / Msimu wa baridi Syria

Shirika la kuhudumia wakimbizi  la Umoja wa Mataifa  UNHCR linachukua hatua za kuwalinda maelfu ya wakimbizi wa Syria walio nchini Lebanon wakiwemo wakimbizi 120,000 wanaoishi kwenye mahema wakati huu wa msimu wa baridi. Kupitia usaidizi kutoka kwa jeshi la Lebanon, UNHCR na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali juma hili walifanikiwa kusambaza misaada zaidi kwa maelfu ya [...]

12/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031