Nyumbani » 09/12/2013 Entries posted on “Disemba 9th, 2013”

Ban atiwa wasiwasi na hali ya watawa wa kanisa la Ki-Orthodox Syria

Kusikiliza / Ramana ya Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameelezea kusikitishwa na hali ya kushambulia maeneo ya ibada na wawakilishi wa kidini katika mzozo unaoendelea nchini Syria. Hali hiyo imedhihirishwa na hali ya watawa 12 ambao walitoweka kutoka makazi yao ya kanisa la Ki-Orthodox la Mtakatifu Tecla, Ma'aloula. Kwa mujibu wa taarifa ilotolewa na msemaji wake, [...]

09/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Malkia Maxima na maafisa wa UM ziarani Ethiopia na Tanzania:

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon na Malkia Máxima wa Uholanzi wakati akiwa UM

Malkia Máxima wa Uholanzi na Mashirika matatu ya chakula ya Umoja wa Mataifa wameungana kuelimisha jinsi fursa ya huduma za fedha kama kuwa na akaunti za benki, mikopo ya muda mfupi, mikopo midogomidogo, akiba na bima vinavyoweza kusaidia kuboresha maisha ya wakulima wadogowadogo na watu masikini vijijini. Malkia Máxima ni mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu [...]

09/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mwezi mmoja baada ya Haiyan, afya ya uzazi bado mashakani Ufilipino: UNFPA

Kusikiliza / Mhudumu wa afya akitoa huduma ya afya ya uzazi kwenye mojawapo ya makazi ya muda nchini Ufilipino

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu, UNFPA limesema mwezi mmoja baada ya kimbunga Haiyan kupiga Ufilipino, bado afya ya wajawazito na watoto wanaozaliwa iko mashakani na hivyo linaomba usaidizi zaidi kwa watu Milioni Tatu nuktaSabaambao ni wanawake na wasichana walio kwenye umri wa kubeba ujauzito. Shirikahilolinasema kila siku kwenye maeneo yaliyopigwa [...]

09/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mfumo mpya wa kuzuia maambukizi ya HIV kwa watoto ni wakutumainisha

Kusikiliza / Muuguzi ampa mama mja mzito dawa Option B+

Wakati dunia hivi karibuna iliadhimisha siku ya ukimwi duniani mnamo Disemba mosi, mikakati mbalimbali ya kutokomeza maambukizi ya ugonjwa huo inaendelea. Mathalani nchini Jamhuri ya kidemokrisia ya Kongo, DRC ambako mfumo mpya na wa kisasa wa kutokomeza maambukizi kwa watoto uliozinduliwa mwaka huu umeshika kasi. Ungana na Grace Kaneiya ambaye katika makala ifuatayo anamulika huduma [...]

09/12/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Utashi wa kisiasa ni muhimu ili kulinda haki za binadamu: Ban

Kusikiliza / Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-mooon

Kufikia usimamizi stahili wa haki za binadamu ulimwenguni kumesalia kwenye utashi wa kisiasa wa viongozi wa nchi husika, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon katika ujumbe wake wa kuelekea kuadhimisha siku ya haki za binadamu tarehe 10 Disemba. Bwana Ban amesema miaka Sitini na Mitano tangu kupitishwa kwa tamko la kimataifa la [...]

09/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ban amsifu Mandela kama jabali wa haki na usawa

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon akiwa Afrika Kusini katika Ukumbusho wa Nelson Mandela

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, ambaye yuko Afrika Kusini, amemsifu tena Hayati Mzee Nelson Mandela kama mtu aliyekuwa jabali wa haki, usawa na haki za binadamu. Akizungumza kwenye kituo cha ukumbusho cha Nelson Mandela, Bwana Ban amesema kuwa Nelson Mandela alikuwa zaidi ya mmoja wa viongozi wenye hadhi ya juu zaidi [...]

09/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wataalamu wa UM waitaka Iraq kuharakisha uchunguzi shambulio la kambi ya Ashraf

Kusikiliza / Ramana

Kundi la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa leo limeitaka serikali ya Iraq kubainisha hatma na majaliwa ya watu waliokuwa kwenye kambi yav Ashraf ambao ripoti zilisema kuwa walikuwa wametekwa. Watu hao saba ambao walikuwa wakiishi kwenye kambi hiyo inaarifiwa kwamba walitekwa mwezi Septemba baada ya uvamizi uliofanywa ambao ulisababisha pia watu 52 kupoteza maisha. [...]

09/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lamulika hali Libya na Guinea Bissau

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limekutana leo kujadili hali nchini Libya, na kutoa taarifa kuhusu hali nchini Guinea Bissau. Joshua Mmali ameufuatilia mkutano huo (TAARIFA YA JOSHUA) Katika taarifa ya rais wa Baraza la Usalama, baraza hilo limeelezea masikitiko yake kufuatia kuahirishwa kwa uchaguzi nchini Guinea Bissau hadi tarehe 16 Machi 2014, na [...]

09/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UM wataka rasilimali zitumike kuimarisha amani

Kusikiliza / Raslimali

Ripoti mpya iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema kuwa vyombo vya kidola, serikali, mashirika ya kiserikali na washirika wengine wanawajibu wa kuongeza nguvu ili kuoanisha rasilimali zilizopo na kuwa tunu mpya ya uletaji amani kwenye maeneo yaliyokumbwa na mizozo. Ripoti hiyo yenye kichwa cha habari kisemacho nafasi ya rasilimali kwenye ujenzi mpya wa jamii iliyokumbwa [...]

09/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mtaalam, aonya juu ya kufanya kuwa jinai huduna binafsi za dharura Uturuki:

Kusikiliza / Ramana ya Uturuki

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu haki ya afya Anand Grover, na jumuiya ya madaktari duniani  (WMA)  leo wamelitaka bunge la Uturuki (Meclis) kufikiria upya mswada ambao utafanya kuwa ni kosa la jinai kwa madaktari binafsi  waliofuzu kutoa thuduma wakati wa dharura baada ya kuwasili kwa gari la wagonjwa la serikali. Mwakilishi huyo anasema [...]

09/12/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

MONUSCO yasihi vikundi vyenye silaha kuzisalimisha

Kusikiliza / Walinda amani wa MONUSCO wakipiga doria

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO umerejelea wito wa kuvitaka vikundi vyenye silaha nchini humo kusalimisha silaha hizo kwa ujumbe huo. Akizumgumza  katika mkutano wa waandishi wa habari na kunukuliwa  radio washirika Okapi mkuu wa MONUSCO wilayani Ituri, M'hand  Ladjouzi amesema ofisi hiyo kwa kushirikiana na serikali ya DRC [...]

09/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Israel kusafirisha vifaa vya ujenzi wa miradi ya UM Gaza:Serry

Kusikiliza / Robert Serry

Mratibu maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu Mashariki ya Kati Robert Serry amethibitisha kwamba serikali ya Israel imeamua kuanza kusafirisha vifaa vya ujenzi kwa ajili ya miradi ya Umoja wa Mataifa Gaza. Umoja wa Mataifa unaendesha ujenzi wa miradi muhimu yenye thamani ya dola milioni 500 Gaza ikiwemo shule,makazi, maji na usafi. Bwana Serry amesema [...]

09/12/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Siku ya kupinga rushwa, Ban atuma ujumbe, UNDP yaratibu mjadala

Kusikiliza / Leo ni siku ya kupinga Rushwa

Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga rushwa duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametaka nchi duniani kutekeleza mkataba wa kimataifa wa kupinga vita rushwa uliopitishwa miaka 10 iliyopita kwani ufisadi au rushwa ni kikwazo kikubwa cha kutimiza malengo ya maendeleo ya milenia na hivyo unahitaji kuvaliwa njuga katika kupanga na [...]

09/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Misitu ndiyo suluhu ya kudumu:FAO, UNECE

Kusikiliza / Santa kwa ajili ya kuhamasisha watoto kulinda misitu

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamezitaka nchi za Ulaya kutumia mbinu zinazochochea kuwepo kwa uchumi wa kijanii wakati zinapotekeleza miradi yake kwenye sekta ya misitu. Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula la kilimo FAO na Kamishna ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Ulaya UNECE yametoa wito huo leo wakati wa uzinduzi wa wiki [...]

09/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uandikishaji wa mali ni wa juu zaidi kuwahi kushuhidiwa :WIPO

Kusikiliza / Mkurugenzi Mkuu WIPO, Francis Gurry

Ripoti mpya ya shirika la kimatiafa linalohuiska na kulinda mali binafsi WIPO inasema kuwa  uandikishaji wa mali mwaka 2012 ulikuwa wa juu zaidi  kuwahi kushuhudiwa. Uandikishaji wa mali binafsi ulipungua tangu mwaka 2009 wakati wa hali ngumu ya uchumi wa dunia. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa uandikishaji wa mali uliongezeka kwa asilimia 9.2 ambapo maombi 2.35 [...]

09/12/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya watoto milioni 23 kuchanjwa dhidi ya ugonjwa wa polio mashariki ya kati

Kusikiliza / WHO Syria

Zoezi kubwa zaidi la utoaji wa chanjo kuwahi kufanyika linaendela kwa sasa kwenye eneo la mashariki ya kati likiwa na lengo la kuwachanja  zaidi ya watoto milioni 23 dhidi ya ugonjwa wa polio nchini Syria na mataifa yaliyo jirani . Jason Nyakundi na maelezo zaidi. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Kampeni hiyo inajiri baada ya kutokea [...]

09/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930