Nyumbani » 07/12/2013 Entries posted on “Disemba 7th, 2013”

Maafisa wakuu wa Umoja wa Mataifa waitaka Syria kuwalinda wahudumu wa afya

Mkuu wa OCHA, Bi. Valeria Amos

Wahudumu wa afya nchini Syria ni lazima walindwe, wamesema maafisa wa ngazi ya juu wa masuala ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, huku wakitoa wito kwa mara nyingine kwama vituo vya afya vipewe ulinzi ili raia waweze kupata dawa za matibabu na chanjo na usaidizi mwingine muhimu wa kibinadamu. Maafisa hao, wakiwemo Mratibu Mkuu wa [...]

07/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban Kuhudhuria ibada ya kuomboleza kifo cha Mandela Jumanne

Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, ataondoka mjini Paris Ufaransa kuelekea Afrika Kusini hapo kesho Jumapili, ili kuhudhuria ibada rasmi ya maombolezo ya Hayati Mzee Nelson Mandela, ambayo itafanyika mnamo siku ya Jumanne. Bwana Ban ambaye amekuwa Ufaransa kuhudhuria mkutano kuhusu amani Afrika, amesema katika mkutano na waandishi wa habari kuwa kuna haja [...]

07/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kosa lililomfanya Mandela afungwe ni kupigania Haki:Mbotela

Kusikiliza / Mambo Mbotela na Nelson Mandela

Mzee Mandela ni kiongozi ambaye anatambulika kote ulimwenguni, umaarufu wake atakumbukwa na wengi hususani wale waliomshuhudia. Miongoni mwao ni mwandishi mashuhuri Afrika Mashriki Leornard Mambo mbotela kutoka Kenya. Jason Nyakundi amefanya mahojiano maalum na Mambo mbotela kuhusu wasifu wa hayati Nelson Mandela. Kwanza Mambo annanza kueleza vile ufahamu wake wa Mandela (MAHOJIANO YA JASON NA [...]

07/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Washuhudia wanavyomfahamu Mandela.

Kusikiliza / Hayati Nelson Manndela

Huku watu wengi hususani barani Afrika wakiendelea kuguswa na msiba wa mtu mashuhuri duniani Nelson Mandela watu u waliomshuhudia kiongozi huyo shupavu wakati wa uhai wake wameelezea namna wanavyomkumbuka akiwemo mzee Mustafa Songambele kutoka Ruvuma pamoja na Theodesina Kasapila ambao walihojiwa na Tamimu Adam wa radio washirika Jogoo Fm iliyoko Ruvuma Tanzania. Ungana naye katika [...]

07/12/2013 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031