Nyumbani » 04/12/2013 Entries posted on “Disemba 4th, 2013”

Ushirikiano toka jumuiya ya kimataifa ndio unaochagiza mafanikio:Kaag

Kusikiliza / Sigrid Kaag

Ushirikiano kutoka jumuiya ya kimataifa ni muhimu katika kufanikisha mchakato wa uchunguzi wa silaha za kemikali nchini Syria amesema mratibu maalum wa ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na OPCW Sigrid Kaag katika mahojiano maalum na idhaa ya kingereza ya Umoja wa Mataifa. Bi Kaag amesema ushirikiano toka nchi wanachama wa makataba wa uteketezaji [...]

04/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Heko jopo la UM-OPCW kwa kazi inayoendelea Syria: Baraza la usalama

Kusikiliza / Sigrid Kaag akiwa Latakia

Wajumbe wa baraza la usalama leo wamepatiwa ripoti ya pili ya kila mwezi kutoka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu uchunguzi wa silaha za kemikali nchini Syria. Ripoti hiyo iliwasilishwa kwenye kikao cha faragha na mratibu maalum wa ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na OPCW Sigrid Kaag kwa mujibu wa azimio namba [...]

04/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UM wazindua kituo cha kujumuisha walemavu katika shughuli zake

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon akizindua kituo cha huduma kwa walemavu kwenye ofisi za makao makuu ya UM New York.

Shughuli ya uzinduzi wa kituo jumuishi kwa walemavu kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjiniNew York, Marekani ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya walemavu duniani. Huduma zitolewazo kwenye kituo hicho kilichoandaliwa kwa usaidizi wa serikali ya Jamhuri yaKoreani pamoja na vifaa vya usaidizi wa kusikia kwa viziwi, kompyuta za kusaidia wenye uono [...]

04/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ladsous azuru mashariki ya DRC

Kusikiliza / Herve Ladsous ziarani DRC

Mkuu wa Operesheni za Ulinzi wa Amani katika Umoja wa Mataifa, Herve Ladsous, leo amezuru mji wa Pinga, kaskazini magharibi mwa mji wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, akiambatana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu na Mkuu ujumbe wa kuweka utulivu nchini humo, MONUSCO, Martin Kobler. Akizungumza na waandishi wa habari, Bwana [...]

04/12/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kuna unafuu Sudan Kusini, lakini tuongeze juhudi:Kang

Kusikiliza / Bi. Kang wakati wa ziara yake huko Sudan Kusini

Naibu Mkuu wa ofisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu ndani ya Umoja wa Mataifa, OCHA, Kyung-wha Kang, amezungumza na waandishi wa habari mjini New York na kuwaeleza kile alichoshuhudia wakati wa ziara yake Sudan Kusini ikiwemo kuimarika kidogo kwa hali ya kibinadamu nchini humo lakini bado Umoja wa Mataifa na wadau wake unaendelea kutoa usaidizi. [...]

04/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tofauti ya lugha yaleta mkwamo kwa wakimbizi wa DRC huko Uganda

Kusikiliza / Watoto wa shule nchini Uganda

Upatikananji wa elimu ni changamoto ambayo bado inakabili baadhi ya nchi barani Afrika kutokana na umaskini na mizozo ya kisiasa na kijamii. Wakati wa mizozo jamii hukimbia katika nchi jirani kutafuta hifadhi kuna baadhi ya changamoto na mojawapo ni lugha hasa kwa wanafunzi basi ungana na John Kibego wa radio washirika Spice FM nchini Uganda [...]

04/12/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

UN Women yaangazia iwapo Malengo ya Milenia yamenufaisha wanawake na wasichana

Kusikiliza / MDGS

Mkutano wa siku mbili kuhusu changamoto na ufanisi ulofikiwa katika kufikia malengo ya maendeleo ya milenia kuhusu wanawake na watoto wa kike, umeanza leo mjni New York, ukiwa umeandaliwa na kitengo kinachohusika na m asuala ya wanawake katika Umoja wa Mataifa, UN Women. Joshua Mmali na taarifa kamili (TAARIFA YA JOSHUA) Mkutano huo, kulingana na [...]

04/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mjumbe wa UNAMID apongeza amani Mashariki mwa Darfur

Kusikiliza / Mohamed Ibn Chambas akizungumza na waandishi wa habari, DARFUR

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mzozo wa Darfur nchini Sudan Mohamed Ibn Chambas amekamilisha ziara yake ya siku mbiuli kutembelea eneo la El Daein lililoko Mashariki mwa Darfur na kupongeza mamlaka kwenye eneo hilo kwa kuimarisha amani. Mjumbe huyo amewapongeza viongozi wa jadi ambao amesema kuwa wamejifanikiwa [...]

04/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

IAEA yaridhika na hatua zinazochukuliwa na Japan.

Kusikiliza / Waziri wa mazingira, Japan Toshimitsu Motegi kwenye mkutano na mkuu wa ujumbe IAEA

Timu ya watalaalamu wa shirika la nguvu la atomiki la Umoja wa Mataifa IAEA leo wamehitimisha ukuguzi kuhusu mpango uliopewa Japan kuhusiana na mitambo yake ya uzalishaji umeme kwa kutumia mitambo ya nyuklia iliyopo Fukushima. Timu hiyo ya wataalamu iliyoanza ukaguzi wake kuanzia Novemba 25 imepongeza Japan kutokana na namna ilivyotekeleza mapendekezo ya uboreshaji wa [...]

04/12/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Nchi za Afrika zamulika takwimu kuboresha kilimo na lishe

Kusikiliza / Soko la chakula

Wataalamu wa kilimo na lishe wanakutana huko Rabat, Morocco wakiangazia jinsi ya kuimarisha upatikanaji wa takwimu bora na zenye umuhimu kuhusu lishe na kilimo. Suala hilo limeonekana ni muhimu kwa Afrika wakati huu ambapo bara hilo linahaha kutunga sera bora za kushughulikia tatizo sugu la ukosefu wa chakula. George Njogopa na taarifa kamili. (Taarifa ya [...]

04/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mawaziri wa WTO wasifu kasi ya kuridhia makubaliano kuhusu mpango wa manunuzi serikalini

Kusikiliza / Mkutano wa WTO Bali, Indonesia

Huko Bali, Indonesia kando mwa mkutano wa tisa wa shirika la biashara duniani, WTO, mawaziri wa nchi wanachama wa makubaliano ya pamoja kuhusu manunuzi serikalini wamesifu kasi ya uridhiaji wa marekebisho ya makubaliano hayo na hivyo kutia matumaini kuwa yataana kutumika mapema iwezekanavyo. Flora Nducha na ripoti kamili  (Taarifa ya Flora) Mkurugenzi Mkuu wa WTO [...]

04/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNAMA yatoa msaada wa magari kwa tume ya uchaguzi ya Afghanistan:

Kusikiliza / UNAMA yatoa magari 12 msaada kwa ajili ya tume ya ucahguzi

Mpango wa Umoja wa mataifa nchini Afghanistan UNAMA leo umetoa msaada wa magari 12 kwa tume huru ya uchaguzi nchini Afghanistan IECC na tume huru ya malalamiko ya uchaguzi IECC. Kwa mujibu wa naibu mwakilishi na kaimu mkuu wa UNAMA Nicholas Haysom magari hayo yametolewa kwa ombi maalumu hata hivyo inataraji mwenendo mzuri wa tume [...]

04/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Usimamizi bora wa maliasili waweza kukomboa Afrika kutoka umaskini:IMF

Kusikiliza / Miti

Usimamizi bora wa maliasili barani Afrika unaweza kuwa ni suluhisho la kudumu la umaskini barani humo, na hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha duniani, IMF kama anavyoripoti Jason Nyakundi. RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Mali asili ndiyo kiungo mihimu hususan kwenye nchi zenye kipato cha chini ambapo huchukua asilimia 36 ya utajiri [...]

04/12/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban akutana na waziri wa mambo ya nje wa Panama:

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon na waziri wa maswala ya kigeni, Panama Fernando Fábrega

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon amekutana na waziri wa mambo ya nje wa Panama bwana Fernando Núñez Fábrega. Katika mazungumzo yao wamejadili maendeleo ya kiuchumi ya Panama, athari za upanuzi wa mrfereji wa Panama na masuala mengine ya kiusalama yahusuyo ajenda za Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu ameishukuru serikali ya Panama kwa [...]

04/12/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930