Nyumbani » 01/12/2013 Entries posted on “Disemba 1st, 2013”

Ajira kwa wenye HIV siyo tu ni haki bali pia ni tiba: ILO

Kusikiliza / Kampeni dhidi ya Ukimwi sehemu ya kazi

Leo ni siku ya Ukimwi duniani ambapo shirika la kazi duniani ILO linasema kuwa mtu anayeishi an virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi ana nafasi kubwa zaidi ya kukabiliana na matumizi ya dawa za kupunguza makali ya Ukimwi kuliko yule asiye na ajira. Mkurugenzi Mkuu wa ILO Guy Rider, akinukuu ripoti ya shirikalakeiliyotolewasambamba na maadhimisho ya [...]

01/12/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Lishe bora itolewayo na WFP yaboresha afya ya wanaoishi na virusi vya HIV

Kusikiliza / Mfanyakazi wa WFP akiendesha semina huko Jamhuri ya Dominica kuhusu lishe kwa watu wenye virusi vya HIV

Mlo sahihi na lishe bora humwezesha mtu anayeishi na virusi vinavyosababisha Ukimwi, HIV kuwa na afya bora na hata kuimarisha matibabuyaokwa kuendelea na matumizi ya dawa ya kukabiliana na magonjwa nyemelezi. Ni ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani, WFP Ertharin Cousin, katika siku ya Ukimwi duniani tarehe Mosi Disemba, likirejelea [...]

01/12/2013 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031