Usawa wa kijinsia wapigiwa chepuo na maspika wanawake duniani

Kusikiliza /

 

Spika anna Makinda

Mkutano wa muungano wa wabunge duniani uliohusisha maspika wanawake umemalizika mwishoni mwa juma mjini New York ambapo Tanzania iliwakilishwa na Spika Anna Makinda. Joseph Msami alifanya mahojiano na Spika Makinda na hii hapa ni taarifa yake.

(TAARIFA YA JOSEPH)

Akizungumza katika mahojiano maalum baada ya kuhudhuria mkutano huo, spika Makinda amesema miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni uswa wa kijinsia kuwa lengo linalojitegemea katika malengo endelevu ya milenia baada ya 2015.

(Sauti Makinda)

Akizungumzia nafasi ya mwanamke hususani nchini Tanzania spika Makinda amekiri kwamba safari ya kulijumuisha kundi hilo katika kila nyanja ni ndefu lakini akasisitiza

(Sauti Makinda)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2017
T N T K J M P
« apr    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031