Siku ya Makazi duniani yamulika usafiri mijini

Kusikiliza /

Leo ni siku ya makazi duniani

Wakati siku ya makazi duniani inaadhimishwa leo na kauli mbiu usafiri mijini, bado hali ya usafiri mijini ni duni hususan kwa nchi zinazoendelea na hivyo kuendelea kukwamisha shughuli za kiuchumi. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(JASON TAARIFA)

Usafiri mjini ni jambo ambalo limekuwa ni changamoto kubwa kw mataifa mengi, kuongezeka kwa vyombo vya usafiri kumechangia kuongezeka kwa misongamano mikubwa ya magari mijin wakati barabara ni chache kuweza kuhudumia magari ambayo yanayoongezeka kila kukicha Mohamed Alfani ambaye ni mkuu wa kitengo kinachohusika na uchapishaji kwenye shirika la makazi kwenye Umoja wa Mataifa  anasema kuwa usafiri mjini una umunimu mkubwa

 (Sauti ya Mohamed)

Nchi zinazoenedele ndizo zinazokabiliwa na changamoto nyingi zaidi zinazohusiana na usafiri mjini.

(Sauti ya Mohamed)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031