Nyumbani » 27/10/2013 Entries posted on “Oktoba 27th, 2013”

Askari wa Tanzania auawa DR Congo; Ban ashutumu vikali

Kusikiliza / Walinzi wa amani wa MONUSCO

Askari mmoja wa Tanzania aliyekuwa akihudumu kwenye kikosi cha mpango wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa huko DR Congo, MONUSCO ameuawa. Ripoti hizo ni kwa mujibu wa Msemaji wa Umoja wa Mataifa ambaye katika taarifa yake ya Jumapili kwa waandishi wa habari amemkariri Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon akilaani vikali mauaji [...]

27/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mbinu mbadala zahitajika kupatia suluhu tatizo la maji duniani:

Kusikiliza / Barani Afrika wanawake hutumia muda mwingi kusaka maji kwa ajili ya familia zao

Licha ya kwamba maji ni haki ya msingi, bado mamilioni  ya watu wanakosa huduma hiyo na hata wengine pale wanapoipata inakuwa ni bei ya juu na usalama wake ni mashakani. Amesema Peter Gleick wa taasisi ya Pacific ya Californian chini Marekani alipohojiwa na shirika la fedha duniani, IMF  juu ya hatma ya rasilimali hiyo adhimu. [...]

27/10/2013 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031