Nyumbani » 21/10/2013 Entries posted on “Oktoba 21st, 2013”

Jamii asilia zalalama kuathiriwa na miradi ya rasilimali

Kusikiliza / Kanyinke akihojiwa na Joseph Msami

Mikutano mbalimbali kuhusu haki za jamii za watu asilia inaendelea mjini New York huku suala la umiliki wa raslimali likigubika mijadala  hiyo  ambapo mwenyekiti wa  jukwaa la kimataifa la watu wa asili Paul Kanyinke  Sena amesema watu wa asili huathirika pakubwa hususani barani Afrika pale serikali inapotaka kundeleza miradi ya raslimali asilia  mathalani mafuta na [...]

21/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM kuendeleza usaidizi kwa NEPAD na mchakato wa APRM: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon katika mjadala wa ngazi ya juu ambao ni sehemu ya wiki ya Afrika katika Umoja wa Mataifa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amepongeza mpango wa nchi za Afrika wa kujitathmini wenyewe, APRM akisema kuwa mpango huo siyo tu umeimarisha utawala wenye misingi ya kidemokrasia barani humo bali pia umefungua fursa zaidi kwa raia kushiriki kwenye maamuzi yanayowahusu. Bwana Ban amesema hayo katika mjadala maalum uliofanyika kwenye makao makuu ya [...]

21/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Dawati la jinsia ni ishara ya ushirikiano kati ya UM na Tanzania:

Kusikiliza / Polisi wakitembelea banda la UM nchini Tanzania katika moja ya maonyesho ya kazi za UM yaliyowahi kufanyika.
(Picha UNTZ)

Wiki hii ni wiki ya Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 24 Oktoba ni kilele. Hiki ni kipindi cha kutambua mchango wa Umoja wa Mataifa katika  Maendeleo ya Tanzania na tayari shughuli mbalimbali zinaendelea jijini Dar es Salaam. Je shughuli hizo ni zipi? Na mambo yapi Umoja wa Mataifa inajivuniaTanzania. Stephen Mhando wa UNHCR katika mahojiano [...]

21/10/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Utata wa mpaka baina ya Guyana na Venezuela kupata suluhu

Kusikiliza / Norman Girvan

  Tarehe 17 mwezi huu mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa kwa ajili ya utata wa mpaka baina ya Guyana na Venezuela Bwana Norman Girvan  amekuwa na mikutano tofauti na mawaziri wa mamabo ya nje wa Guyana na Venezuela. Mawaziri hao wamesisitiza kwamba kuna mahusiano mazuri ambayo yanaendelea baina ya mataifa hayo [...]

21/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mjadala kufanyika Tanzania kuona iwapo fursa zilizopo zatumika vyema: UM

Kusikiliza / Vijana wakionyesha ajenda watakayo baada ya 2015 wakati wa moja ya mijadala iliyoandaliwa na YUNATZ mwaka huu nchini Tanzania

Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kwa kushirikiana na asasi ya vijana ya Umoja wa Mataifa, YUNATZ, wameandaa mjadala wa wazi kuhusu dunia itakiwayo baada ya mwaka 2015 wakati malengo ya maendeleo ya milenia yatakapofikia ukomo. Usia Nkhoma-Ledama Afisa kutoka kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini humo amezungumzia mjadala huo wa Jumanne [...]

21/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lasikiliza ripoti za ziara ya wanachama kwa Maziwa Makuu

Kusikiliza / Martin Kobler (picha ya faili)

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limesikiliza ripoti mbali mbali kuhusu hali ya amani na usalama kwenye ukanda wa Maziwa Makuu kufuatia ziara ya wanachama wake kwenye ukanda huo hivi karibuni. Joshua Mmali amefuatilia mkutano huo.  (TAARIFA YA JOSHUA) Kwanza, wanachama wa Baraza la Usalama, wakiwemo wawakilishi wa kudumu wa Morocco, Rwanda, Uingereza [...]

21/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ujuzi ndio nguzo kuu ya kuwepo uchumi usioathiri mazingira nchini Ushelisheli: UM

Kusikiliza / Kishore Singh

Kuibuka kwa mahitaji ya kutaka kuwepo kwa harakati za uchumi ambazo zinajali mazingira, inamaana kuwa kuwepo utaalamu ndiyo inastahili kuwa ajenda kuu  kwenye mfumo wa elimu nchini Ushelisheli kwa mujibu wa mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya haki ya kupata elimu Kishore Singh.   Amesema elimu ya kiufundi na ushirikiano na viwanda na [...]

21/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

CERF yatoa dola milioni 5.5 kuwasaidia watu waliaothiriwa na mafuriko nchini Sudan

Kusikiliza / Waathiriwa wa mafuriko Sudan

Mfuko wa dharura wa Umoja wa Mataifa CERF umetoa dola milioni 5.5 kwa huduma za binadamu kwa watu walioathiriwa na mafuriko nchini Sudan. Kwa ujumla watu 93 waliuawa ambapo pia wengine 340,000 waliathiriwa na mafuriko. Jason Nyakundi na maelezo kamili. (TAARIFA YA JASON NYAKUNDI) Mafuriko hayo yaliyoanza kushuhudiwa mapema mwezi Agosti yamewaathiri maelfu ya watu [...]

21/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza Kuu lapitisha azimio kuhusu biashara ya utumwa, Mnara maalum kujengwa New York

Kusikiliza / Majaji wa shindano , na mshindi wa sanamu ya mnara, "safina ya marejeo", Rodney Leon

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo limepitisha rasimu ya azimio kuhusu kumbukumbu ya kudumu ya madhila ya biashara ya utumwa iliyofanyika kupitia Bahari ya Atlantiki zaidi ya miaka 200 iliyopita. Ripoti ya Grace Kaneiya inafafanua zaidi.  (Ripoti ya Grace)  Kikao cha 35 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kilirejelea azimio la mwaka 2001 [...]

21/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

USAID yatoa msaada wa chakula Zimbabwe

Kusikiliza / Mama amebeba chakula

Shirika la maendeleo ya kimataifa la Marekani USAID limechangia dola milioni 25 kusaidia familia zinazoteseka kufuatia ukame na mavuno hafifu nchini Zimbabwe. Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limepanga kutumia msaada huo pamoja na ile mingine iliyotolewa kuwasambazia watu milioni 1.8 walioko kwenye maeneo ambayo yako hatarini kukosa chakula cha kutosha. Operesheni ya usambazaji [...]

21/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNMISS imelaani vikali mashambulizi jimboni Jonglei

Kusikiliza / UNMISS

Mpango wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini (UNMISS) umelaani vikali mashambulio dhidi ya raia siku ya Jumapili kwenye eneo la Twic Mashariki jimboni Jonglei. Mashambulio hayo yamesababisha idadi kubwa ya vifo na majeruhi. Moja ya mashambulio hayo yamefanyika katika kambi za ng'ombe moja Paliau , huko Ajong Payam na lingine Maar huko Pakeer Payam, na [...]

21/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kufuatilia uharibifu wa chakula ni muhimu katika kupiga vita njaa: FAO

Kusikiliza / Wafanyakazi katika kiwanda cha chakula

Kufuatilia na kufahamu kiasi cha chakula kinachoharibiwa ni muhimu katika kupunguza tatizo la njaa, pamoja na kuongeza kasi ya kutokomeza njaa duniani, amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo, FAO, José Graziano da Silva, wakati wa kongamano la ukuaji wa kimataifa unaojali mazingira mjini Copenhagen, Denmark. Kwa mujibu wa makadirio ya FAO, thuluthi [...]

21/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ripoti za awali zaonyesha kuwepo kwa polio Syria

Kusikiliza / Mtoto apokea chanjo ya polio, Syria

Shirika la afya ulimwenguni WHO limepokea ripoti juu ya kujitokeza kwa matukio yanayohusiana na ugonjwa wa polia nchini Syria. Waataalamu wa afya wamesema kuwa wamebaini kuwepo kwa ashirio la ugonjwa huo lilibainika mwezi huu wa Oktoba katika jimbo la Deir Al Zour na kwamba uchunguzi zaidi umeanza kuchukuliwa. Taarifa zilizopatikana kutoka maabara ya Mjini Damascus [...]

21/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Tahir yachangia dola Milioni 65 kwa Global Fund

Kusikiliza / Nembo ya global fund

Mwenyekiti wa mfuko wa Tahir nchini Indonesia Dk Tahiri ametangaza leo kuwa mfuko wake huo unatoa kiasi cha dola za Marekani milioni 65 kusaidia juhudi zinazoendeshwa na Global Fund za kukabiliana na magonjwa ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria. Mchango huo unafungana na ule uliotolewa na wakfu wa Bill & Melinda Gates na hivyo kufanya [...]

21/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Licha ya changamoto tumeimarisha ushirikiano wa kimaendeleo: Afrika

Kusikiliza / Tete Antonio akihojiwa na Joseph Msami wa Radio ya UM

Mwangalizi wa kudumu wa Ujumbe wa Afrika katika Umoja wa Mataifa Tete Antonio amesema wakati maadhimisho ya wiki ya Afrika katika Umoja wa Mataifa  yakianza leo bara hilo linajivunia mabadiliko yanayotokea hususani katika mashirikiano ya kimaendeleo na jumuiya ya kimataifa. Katika mahojiano maalum na idhaa ya Kiswahii ya radio ya Umoja wa Mataifa Bwana Antonio [...]

21/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vikosi vya Afrika vyaimarisha amani Somalia

Kusikiliza / askari wa Kenya

Wakati hali ya usalama ikiimarika nchini Somalia vikosi vya ulinzi wa amani vinavyoshirikiana na vikosi vya muungano wa Afrika nchini humo , AMISOM, kikosi cha walinda amani kutoka Kenyakimeondoka nchini humo. Kuondoka kwa kikosi hicho ni kutoa fursa kwa kingine ili kuendeleza mchakato wa uimarishaji usalama Somalia nchi ambayo kwa takribani miongo miwili imeshuhudia machafuko. [...]

21/10/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Wiki ya Afrika kwenye UM, APRM yatajwa kuwa na mchango mkubwa Tanzania

Kusikiliza / Alberic Kacou

Maadhimisho ya wiki ya Afrika ndani ya Umoja wa Mataifa yanaanza leo mjini New York, ambapo miongoni mwa mambo yanayoangaziwa ni mpango wa Afrika kujitathmini masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii, APRM. Mpango huo ulibuniwa na waafrika wenyewe mwaka 2002 ambapo tayari nchi kadhaa zimefanya tathmini hiyo na kuwasilisha ripoti zao kwa wakuu wa nchi [...]

21/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031