Nyumbani » 17/10/2013 Entries posted on “Oktoba 17th, 2013”

Maadhimisho ya miaka 60 ya UM yaanza nchini Tanzania

Kusikiliza / UN flags

Wizara ya Mambo ya Nje kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa imeandaa mkutano wa vyombo vya habari ikiwa ni mwanzo wa wiki ya Umoja wa Mataifa, kumulika masuala muhimu kuhusu maendeleo, mafanikio na changamoto zinazoikabili nchi hiyo. Kauli mbiu ya wiki ya Umoja wa Mataifa mwaka huu ni "Mustakhabali tunaoutaka". Maadhishimo ya miaka 68 ya [...]

17/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mafuriko Agok yasababisha maelfu kumiminika Abyei: Ocha

Kusikiliza / Martin Nesirky

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu misaada ya kibinadamu, OCHA imesema  maelfu ya watu wanazidi kumiminika mjini Abyei kutokana na mafuriko huko Agok, ambapo tangu mwezi uliopita hadi sasa idadiyaoimefikia zaidi ya Elfu Tatu. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nersiky amewaambia waandishi wa habari mjiNew Yorkkuwa jamii kwenye eneohilozimeratibu usafirishaji wa raia kutoka Agok kwenda [...]

17/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wananchi kutoka Burundi na Tanzania watoa maoni kuhusu umaskini

Kusikiliza / Baadhi ya makazi, Afrika

Ikiwa leo Oktoba 17 ni siku ya kutokomeza umaskini duniani ambayo huaadhimishwa kila mwaka tumepata maoni kutoka Burundi naTanzania Kwanza  Muandishi wetu wa Bujumbura Ramadhani Kibuga amekwenda  katika mtaa  duni  wa Buterere,   nje kidogo ya jiji la Bujumbura na kuzungumza na baadhi ya wakaazi wa eneo hilo wanaofanya shughuli mbalimbali. (Maoni ya watu) Tamimu Adam [...]

17/10/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

UNHCR yajikita kurejesha vitambulisho kwa wakimbizi wa Syria

Kusikiliza / Mfanyakazi wa UNHCR akichambua vitambulisho kwenye kituo Raba'a al-Sarhan

Nchini Jordan, wafanyakazi wapatao 50 wa shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR wanafanya kazi kutwa kucha ili kukamilisha kazi ya kurejesha vitambulisho kwa wakimbizi wa Syria ambao walivisalimisha wakati kabla ya kuingia kambi ya Za'atari nchini Jordan. Kazi hiyo inayofanyika kituo cha Raba’a al-Sarhan kilicho mpakani mwa nchi mbili hizo, inafuatia makubaliano [...]

17/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mfanyakazi wa UM aliyeshilikiliwa mateka Syria aachiliwa

Kusikiliza / undof

Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyekuwa anashikiliwa mateka nchini Syria kwa miezi minane ameachiliwa leo. Carl Campeau aliyekuwa afisa sheria katika ofisi ya Umoja wa Matifa ya uangalizi wa usitishaji mapigano UNDOF huko Golan alitekwa mwezi February.

17/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lapata wanachama 5 wapya wasio wa kudumu

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, leo limepiga kura kuwachagua wanachama watano wapya wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama. Joshua Mmali ana habari zaidi kuwahusu wanachama hao. (TAARIFA YA JOSHUA) Nigeria, Chad, Saudi Arabia, Lithuania na Chile ndio wanachama wapya wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama. Rais wa Baraza Kuu, John William [...]

17/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tume ya UM kuhusu Korea Kaskazini kukusanya maoni Uingereza na Marekani

Kusikiliza / Michael Kirby

Tume ya Umoja wa Mataifa yenye mamlaka ya kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Korea Kaskazini wiki ijayo itakuwa Uingereza na Marekani ambapo watu wenye ushahidi wa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Korea Kaskazini watatoa ushuhuda wao. Taarifa iliyotolewa leo imesema jopo hilo la watu watatu litakuwa London tarehe 23 na baadaye Washington [...]

17/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa kufanyika Addis Ababa wiki ijayo

Kusikiliza / climate change logo K

Suala la kuwepo kwa hali bora ya hewa na huduma za hali ya hewa ili kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa na maendeleo endelevu ni kati ya masuala ambayo yatajadiliwa kwenye mkutano wa tatu kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa na maendeleo barani Afrika ambao utaandaliwa mjiji Addis Ababa nchini Ethiopia kuanza tarehe [...]

17/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hewa tuvutayo inchangia maradhi ya saratani:IARC

Kusikiliza / unepphoto

Shirika la kimataifa kwa ajili ya utafiti wa saratani IARC limesema hewa inayovutwa na binadamu imechafuliwa na mchanganyiko wa chembechembe zinazosababisha saratani kama inavyoarifu taarifa ya Grace Kaneiya (RIPOTI YA GRACE KANEIYA) Wakala huo wa utafiti IARC unasema kuwa ijapokuwa inafahamika wazi kwamba kuvuta hewa hewa iliyochafuka inaweza kusabisha matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwemo matatizo [...]

17/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ingawa umasikini umepungua bado kuna kibarua kikubwa:Ban

Kusikiliza / Uvunaji wa viazi, zao la kilimo na biashara

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza umasikini mwaka huu yanafanyika wakati jumuiya ya kimataifa ikikabiliana na malengo makubwa mawili, kwanza juhudi za kufikia malengo ya amendeleo ya milenia na kuunda malengo mengine yatakayoiongoza dunia baada ya mwaka 2015. Hayo yamesemwa na Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon. Taarifa kamili na Assumpta Massoi. [...]

17/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kazi ya kuhamisha wakimbizi wa DR Congo huko Uganda yakamilika

Kusikiliza / Wakimbizi wa DR Congo nchini Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa kuhudumia wakimbizi, UNHCR limekamilisha kazi ya kuwahamisha zaidi ya wakimbizi Elfu nane kutoka ardhi inayozozaniwa kati ya serikali yaUganda na wananchi kwenye kambi ya wakimbizi ya Kyangwali. John Kibego wa redio washirika ya Spice FM, anaripoti kamili kutoka Uganda.  (Taarifa ya John Kibego) Walioathiriwa ni wakimbizi waliotoroka mapigano nchini Jamuhuri [...]

17/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Leo ni siku ya kutokomeza umaskini duniani

Kusikiliza / Leo ni siku ya kumaliza umaskini duniani

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu umaskini Magdalena Sepúlveda, amezitaka nchi kuzitambua na kuthamini kazi za ndani zinazofanywa bila malipo akisema kuwa lazima sasa ziungwe mkono na kutoa usawa kwa wote wanawake na wanaume. Akizungumza katika siku za kutokomeza umaskini duniani, mjumbe huyo ameonya kuwa kukosekana kwa usawa kwa kazi hizo, kunazidisha kitisho juu [...]

17/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031