Nyumbani » 16/10/2013 Entries posted on “Oktoba 16th, 2013”

Wanawake wanajukumu kubwa kwa usalama wa chakula:Cousin

Kusikiliza / Wanawake wa dunia

Kuwawezesha wanawake ni suala muhimusanakatika kukabiliana na njaa na utapia mlo amesema Ertharin Cousin, mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP. Bi Cousin ameyasema hayo mjini Roma wakati wa hafla ya siku ya chakula duniani inayoadhimishwa kila mwaka Oktoba 16, na mwaka huu kauli mbiu ni "mifumo endelevu ya chakula kwa ajili [...]

16/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ujumbe wa pamoja wa UM na OPCW unaosimamia Syria waanzishwa rasmi leo

Kusikiliza / Ban Ki-moon na Ahmet Üzümcü

Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na shirika la kimataifa la kupinga matumizi ya silaha za kemikali, OPCW umeanzishwa rasmi hii leo tarehe 16 Oktoba kufuatia mashauriano ya karibu kati ya Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo na Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa. Taarifa ya pamoja ya pande mbili hizo iliyotolewa leo mjini New [...]

16/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Sigrid Kaag awa mratibu maalum wa ujumbe wa pamoja kuhusu Syria

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon akimtambulisha Bi.Sigrid Kaag kwa waandishi wa habari

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la kimataifa la kupinga matumizi ya silaha za kemikali duniani, OPCW wamemteua Bi. Sigrid Kaag  kutoka Uholanzi kuwa mratibu maalum wa ujumbe wa pamoja wa pande mbili hizo linalosimamia uteketezajiwa silaha za kemikali Syria. Akizungumza na waandishi wa habari mjiniNew York, [...]

16/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kutokomeza njaa kuende sambamba na kukabili mabadiliko ya hali ya hewa: Figueres

Kusikiliza / mabadiliko ya tabianchi  yanavyosababisha ukame

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya chakula duniani katibu mtendaji wa mpango wa mkutano wa Umoja wa mataifa wa mabadiliko ya hali ya hewa UNFCCC Chriatiana Figueres amesema usalama wa chakula na mabadiliko ya tabia nchi vinahusiana. Siku ya kimataifa ya chakula inaadhimishwa kila mwaka Oktoba 16 tangu mwaka 1945 lakini mamilioni ya watu hawapati chakula [...]

16/10/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNHCR yaokoa maisha ya mtoto Albino aliyekimbia DR Congo

Kusikiliza / Wakimbizi kutoka DRC walikokimbilia ikiwemo familia ya Jeff ambao walilazimika kukimbia

Kijana mmoja mwenye ulemavu wa ngozi au albino amelazimika kukimbia kutoka DR Congo si kutokana na machafuko bali kutokana na watu wanaodaiwa kumsaka ili wachukue viungo vyake kwa ajili ya ushirikina. Flora Nducha na ripoti kamili. (Taarifa ya Flora) Anaclet ambaye ni baba mzazi wa kijana huyo aitwaye Jeff ameliambia shirika la kuhudumai wakimbizi la [...]

16/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Visasi dhidi ya wanaharakati China vyatia hofu: Wataalamu

Kusikiliza / Mmoja wa wataalamu hao Maina Kiai

Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu limeelezea masikitiko yake kutokana na ripoti zinazoeleza kuwa watetezi wa haki za binadamu nchini China wanaandamwa na vikwazo vya kushiriki kwenye tukio muhimu la kutathmini mwenendo wa taifahilokuhusiana na haki za binadamu. George Njogopa na taarifa kamili  (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)  Ripoti zinasema [...]

16/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lafanya mashauriano kuhusu Mali

Kusikiliza / Bert Koenders

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limesikiliza ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu hali nchini Mali, na kufanya mashauriano kuhusu ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini humo, MINUSMAH. Joshua Mmali ana taarifa kamili   (TAARIFA YA JOSHUA) Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu Mali kimeanza kwa kusikiliza ripoti ya Katibu Mkuu [...]

16/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kuboreshwa kwa mifumo ya chakula ndilo suluhisho katika kuangamiza njaa: FAO

Kusikiliza / Leo ni siku ya chakula dunianai

Mifumo bora  ya chakula ndiyo inahitajika ili kuweza kuangamza njaa na utapiamlo kote duniani . Huu ndio ujumbe mkuu wakati wa maadhimisho ya leo ya siku ya chakula duniani kutokana kwa Shirika la kilimo na mazoa la Umoja wa Mataifa FAO. Siku hii huadhimishwa kwenye mataifa 150 na pia ni sherehe ambazo huadhimishwa na FAO [...]

16/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hali kwa watetezi wa haki za binadamu nchini Togo imeboreka: Sekaggya

Kusikiliza / Ramana ya Togo

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya haki za binadamu Margaret Sekaggya ametoa wito kwa serikali ya Togo kuhakikisha kuwa watetesi wa haki za binadamu wana mazingira bora ya kufanya kazi  bila  kukandamizwa au kushutumiwa. Bi Sekaggya amesema kuwa hali kwa waetesi wa haki za binadamu na mashirika ya umma nchini Togo [...]

16/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Idadi ya watu duniani wanaokosa mlo kwa siku yapungua: FAO

Kusikiliza / Idadi ya wanolala njaa yapungua:FAO

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limesema idadi ya watu wanaoshinda njaa kutwa duniani imepungua lakini bado juhudi zahitajika ili kutokomeza njaa. FAO imesema hata hivyo harakati za kuimarisha lishe bora hazitafanikiwa iwapo hakuna mifumo bora ya uhakika wa chakula na hata ya kupata mlo bora. Ripoti ya Assumpta Massoi inafafanua zaidi. (Ripoti ya [...]

16/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa UNAMID awaenzi walinda amani waliouawa

Kusikiliza / Mlinda amani

Mwakilishi maalumu wa mpango wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika wa kulinda amani Darfur UNAMID  Mohamed Ibn Chambas Jumatatu amezuru makao makuu ya UNAMID El Geneina, Magharibi mwa Darfur, kufuatia mauaji ya walinda amani polisi watatu wa UNAMID kutoka Senegal hapo Oktoba 13. Bwana Chambas amepongeza ujasiri wa wafanyakazi wa UNAMID ambao [...]

16/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Siku ya chakula duniani tuazimie kila binadamu anapata mlo bora: Ban

Kusikiliza / Mtoto akipimwa

Zaidi ya watu Milioni 840 duniani kote humaliza siku bila mlo bora katika ulimwengu huu uliojaliwa rasilimali, ni sehemu ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ban Ki-moon katika siku ya chakula duniani hii leo akionyesha kushangazwa na hali hiyo inayopaswa kufanya watu wachukue hatua. Bwana Ban amesema changamoto ni kubwa zaidi, kwani [...]

16/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Afya bora kwa mtu hutegemea mazingira bora ya chakula:WFP

Kusikiliza / Shambani

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP limeelezea kile linachokiita mzunguko wa usambazaji chakula kwa kusema kuwa wakati mwingine unapotizama namna chakula kinavyolimwa, kinavyo uzwa sokoni, na kisha kusambazwa ni jambo la "kutisha"  Shirika hilo ambalo linasisitiza kuwa, afya bora kwa mtu hutegemea mazingira mazuri ya chakula chenyewe, limesema kuwa maeneo mengi [...]

16/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031