Nyumbani » 12/10/2013 Entries posted on “Oktoba 12th, 2013”

Bi. Robinson alaani shambulio dhidi ya helikopta ya MONUSCO huko Rumangabo

Bi Mary Robinson

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa eneo la Maziwa Makuu barani Afrika, Mary Robinson ameshutumu shambulio dhidi ya helikopta ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko DR Congo, MONUSCO kwenye eneo la Rumangabo, Kivu Kaskazini,  linaloshikiliwa na waasi wa kikundi cha M23. Taarifa mjumbe huyo kwa waandishi wa habari imesema imemkariri [...]

12/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kifo cha mlinda amani kutoka Zambia huko Darfur, Ban atuma rambirambi

Kusikiliza / Walinda amani wa UNAMID (Picha kutoka maktaba)

Katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, shambulio lililofanywa Ijumaa na watu waliojihami na silaha huko El Fasher dhidi ya askari wa ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa Darfur, UNAMID limesababisha kifo cha mlinda amani kutoka Zambia. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameeleza kusikitishwa na kifo hicho [...]

12/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban astushwa na kuzama kwa boti nyingine ya wahamiaji:

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema amestushwa kusikia taarifa za kupotea kwa maisha ya watu baada ya boti nyingine iliyobeba wahamiaji kuzama Ijumaa katika pwani ya Italia. Amesema hii ni ajali nyingine siku chache tu baada ya watu zaidi ya 300 kufa maji kwenye kisiwa cha Lampedusa wiki iliyopita. Katibu Mkuu ameitolea [...]

12/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Boti nyingine yazama mwambao wa Sicily Italia:IFRC

Kusikiliza / Wahamiaji walionusurika Lampedusa hivi karibuni

  Boti iliyokuwa na wahamiaji takribani 250 imezama Ijumaa kwenye mwambao wa Sicily , kilometa 120 kutoka kisiwa cha Lampedusa kwenye eneo la bahari ya Maltese nchini Italia. Kwa mujibu wa shirikisho la kimataifa la chama cha msalaba mwekundu na mwezi mwekundu IFRC taarifa za awali zinasema watu wapatao 34 wamepoteza maisha na shirikisho lilo [...]

12/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031