Nyumbani » 09/10/2013 Entries posted on “Oktoba 9th, 2013”

UNICEF yakijita kuimarisha elimu kwa mtoto wa kike Niger

Kusikiliza / Niger education

Wakati elimu ikisalia nguzo muhimu ya maendelo ya jamii na nchi kwa ujumla , huko barani Afrika nchini Niger elimu kwa mtoto wa kike imekuwa ni changamoto kubwa kwani wengi wao hawaipati kutokana na sababu mbalimbali. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wadau kadhaa ikiwemo serikali wanahaha kuwanusuru watoto [...]

09/10/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Uteketezaji wa silaha za kemikali waanza Syria

Kusikiliza / opcw1

Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Shirika la Kupinga Silaha za Kemikali, OPCW, tayari umeanza kuteketeza vifaa na silaha za kemikali nchini Syria baada ya kufanya ukaguzi wa awali mnamo Jumapili na Jumatatu wiki hii, amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la OPCW, Ahmet Üzümcü Bwana Üzümcü amesema kazi ya ukaguzi inaendelea, na timu [...]

09/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkataba wa Minamata kuhusu Zebaki waanza kutiwa saini: UNEP

Kusikiliza / Minamata

Hatimaye mkataba wa kimataifa wa kuzuia matumizi ya zebaki umefunguliwa rasmi Jumatano nchini Japan kwa serikali kuanza kutia saini na hivyo kudhihirisha kuanza kwa kipindi muhimu cha jitihada za kudhibiti matumizi ya Zebaki ambayo ni sumu na hatari kwa maisha ya viumbe hai pamoja na mazingira. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la mazingira duniani, UNEP Achim [...]

09/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UM kuendelea kusaidia Haiti kukabiliana na Kipindupindu

Kusikiliza / Mtoto nchini Haiti akisoma moja ya tangazo ya jinsi ya kujikinga na Kipindupindu

  Umoja wa Mataifa utaendelea kufanya kila inachoweza kusaidia wananchi wa Haiti kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu, ni kauli ya Msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq aliyotoa kwa waandishi wa habari mjini New York. Alikuwa akijibu swali kuhusu kesi ya madai iliyofunguliwa kwenye mahakama moja mjiniNew Yorkdhidi ya umoja wa mataifa juu ya watu [...]

09/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Watu wengi wanamatatizo ya kuona-WHO

Kusikiliza / Eyes check

Takwimu zilizotolewa na shirika la afya ulimwenguni WHO zinaonyesha kuwa karibu watu milioni 39 dunia ni walemavu wa kuona. Kadhalika watu wengine milioni 246 wanakabiliwa na matatizo ya kuona kiasi ama wanamatatizo makubwa ya kuonaWHO imesema kuwa bado haijajulikana hadi sasa ni chanzo cha matatizo ya watu kutokuona.Lakini kwa upande mwingine WHO imesema kuwa zaidi [...]

09/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mtaalam wa UM aitaka Myanmar iwaachilie huru wanaharakati bila masharti

Kusikiliza / Tomás Ojea Quintana

  Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Myanmar, Tomás Ojea Quintana, amekaribisha kuachiliwa kwa wafungwa 56 wa dhana kufuatia msamaha wa huruma wa rais, huku akielezea hofu yake kuhusu kuendelea kukamatwa kwa wanaharakati wa haki za binadamu na masharti yanayoambatana na kukamatwa kwao. Mtaalam huyo ameipongeza serikali kwa [...]

09/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

ILO yasononeshwa na vifo vya wafanyakazi wa kiwanda Bangladesh

Kusikiliza / Mkurugenzi Mkuu wa ILO Guy Ryder

Shirika la kazi duniani, ILO limeelezea kusikitishwa kwake na kufuatia vifo vilivyosababishwa na moto katika kiwanda cha nguo huko Aswad nchini Bangladesh. Katika taarifa yake, Mkurugenzi Mkuu ILO Guy Ryder amesema moto huo ulioathiri sekta ya nguo ambazo zimeshashonwa nchini Bangladesh umedhihirisha huzuni na ukweli kwamba juhudi zaidi zinahitajika kwa ajili ya usalama na afya [...]

09/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mienendo ya ukuaji wa kiuchmi yatazamiwa kubadilika: IMF

Kusikiliza / Olivier Blanchard

Shirika la Fedha Duniani, IMF limesema kuwa linatarajia uchumi wa kimataifa utakuwa kwa asilimia 2.9, kiwango ambacho ni chini ya asilimia 3.2 ilorekodiwa mwaka 2012. Katika taarifa yake ya karibuni zaidi kuhusu makadirio ya kiuchumi, IMF inasema ukuaji unatazamiwa kuongozwa na chumi zilizoendelea, huku masoko yanayoibuka yakiwa hafifu zaidi kuliko yalivyotarajiwa. Olivier Blanchard, ambaye ni [...]

09/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kikao cha kwanza cha mawaziri wa Afrika kuhusu Tabianchi kufanyika Arusha

Kusikiliza / floods_mapou_may_2004

Huko Arusha, Tanzania kikao cha kwanza cha aina yake kuhusu mabadiliko ya tabianchi kikihusisha mawaziri na wadau wa sekta hiyo kutoka barani Afrika kinaanza Alhamisi. Lengo ni kuibuka na mikakati mipya kuhusu mfumo wa tabianchi barani Afrika na kurahisisha ubadilishanaji wa taarifa kama anavyoripoti George Njogopa. (Taarifa ya George Njogopa) Mkutano huo unaojulikana pia kama [...]

09/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO yaidhinisha chanjo mpya dhidi ya kirusi kinachosababisha uvimbe kwenye ubongo

Kusikiliza / japanese_encephalitis_20131009

Shirika la afya duniani WHO limeidhinisha chanjo mpya dhidi ya kirusi kinachosababisha kuvimba kwa ubongo, Japanese Encephalitis na hivyo kuokoa maisha ya watoto wengi kwenye nchi zinazoendelea kama vile Kusini mwa Asia, China na Urusi ambako ugonjwa huo hupatikana zaidi. Jason Nyakundi na ripoti kamili. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Kwa sasa hakuna tiba ya ugonjwa [...]

09/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uhuru wa kujieleza ni changamoto kwa kesi zinazowakabili wabunge:IPU

Kusikiliza / IPU

Muungano wa wabunge duniani IPU unaendelea na mkutano wake mjini Geneva na leo umeendelea na kikao chake ukitathimini na kuangalia uwezekano wa kupitisha azimio dhidi ya kesi zinazowakabili wabunge mbalimbali duniani. Assumpta Massoi na maelezo kamili (RIPOTI YA ASSUMPTA MASSOI) Kwa mujibu wa IPU kesi nyingi za wabunge chanzo ni uhuru wa kukusanyika na kujieleza [...]

09/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Nzige, hali ya hewa vyasababisha uhaba wa chakula nchini Madagascar

Kusikiliza / Baa la nzige nchini Madagascar

  Nchini Madagascar hali ya chakula si shwari kwa tu Milioni Nne waishio vijijini ambapo Umoja wa Mataifa kupitia mashirika yake umesema baa la nzige na hali mbaya ya hewa vimepunguza mavuno ya mchele na mahindi, vyakula vikuu nchini humo. Watu wengine Milioni Tisa nukta Sita wako hatarini kukabiliwa na uhaba huokamaanavyoripoti Alice Kariuki.  (Taarifa [...]

09/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Matokeo makubwa Sasa, kuchagiza maendeleo Tanzania:

Kusikiliza / Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mahadhi J. Maalim akiwa na Flora nducha na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa

Mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu ufadhili na maendeleo umehitimishwa mjini New York, Marekani ambapo Tanzania ikiwa moja ya nchi shiriki ilieleza bayana hali inayoendelea nchini humo kufadhili yenyewe shughuli za maendeleo wakati huu ambapo ufadhili wa kigeni unasuasua. Je ni hatua gani serikali inachukua kutekeleza shughuli hizo ikiwemo malengo ya maendeleo [...]

09/10/2013 | Jamii: Mahojiano, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031