Nyumbani » 03/10/2013 Entries posted on “Oktoba 3rd, 2013”

Timu ya kuangamiza silaha za kemikali Syria yaridhishwa na mwanzo wa zoezi

Kusikiliza / opcw1

Timu ya pamoja ya shirika la kimataifa la kuzuia matumizi ya silaha za kemikali na Umoja wa Mataifa iliyopewa jukumu la kuisadia Syria katika kukomesha silaha za kemikali inasema hatua za mwanzo zinaridhisha kufuatia mkutano wa kwanza baina ya serikali ya Syria lakini uchambuzi zaidi hususani michoro ya kiufundi itahitajika na pia baadhi ya maswali [...]

03/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Pansieri ahitimisha ziara Yemen

Kusikiliza / Flavia Pansieri

Naibu Kamishna wa tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za bindamu Flavia Pansieri amehitishima ziara yake ya nchini Yemen ikiwa ni ziara yake ya kwanza katika eneo hilo  tangu ateuliwe kwenye wadhifa huo. Kabla ya kuwa kwenye wadhifa huo, Pensieri  aliishi nchini Yemen kwa muda wa miaka minne kuanzia mwaka 2004-2008 akiwa Mwakilishi mkazi [...]

03/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Sudan yatakiwa kuwafungulia mashtaka waandamanaji au iwaachie huru mara moja

Kusikiliza / Mashood Adebayo Baderin

Nchini Sudan, ni zaidi ya wiki moja sasa tangu mamia ya wananchi waandamane kupinga kuondolewa ruzuku kwenye mafuta ya petroli kitendo kilichosababisha idadi kadhaa kukamatwa na kutiwa nguvuni. Hiyo ni kwa mujibu wa mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Sudan Mashood Adebayo Baderin.  Baderin ametaka serikali iamue moja ama kuwafungulia [...]

03/10/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wabunge Tanzania wasema sasa yatosha, wachukua hatua kulinda ndovu na faru

Kusikiliza / Tembo

Kutwa kucha idadi ya ndovu na faru inazidi kuporomoka barani Afrika. Takwimu zasema kuwa nchini Tanzania kila siku ndovu 30 huuawa kwa ajili ya menoyao. Kwa hali hiyo baadhi ya wabunge wameamua kusema sasa yatosha na wameunda kikundi maalum cha kunusu rasilimali za nchi ikiwemo wanyamaporindovu na faru. Je wanafanya nini kunusuru viumbe hao wanaoendelea [...]

03/10/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

UNDP kufadhili miradi ya mabadiliko ya tabia nchini Afrika

Kusikiliza / Nembo ya UNDP

Shirika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNDP limepokea msaada wa dola za Marekani milioni 43.63 kwa ajili ya kuzipiga jeki nchi zinazojitahidi kusonga mbele kimaendeleo lakini zinaandamwa na hali ya umaskini mkubwa. Kiasi hicho cha fedha kitafadhilia maeneo yanayohusu mabadiliko ya tabia nchi na mifumo inayotumika kutoa angalizo la mapema barani Afrika. Mpango huo [...]

03/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kuwapa uwezo akina mama na wasichana kunaweza kuleta maendeleo barani Afrika: UNFPA

Kusikiliza / Watoto wa kike

Waakilishi kutoka nchi 52 kutoka bara la Afrika, mashirika ya Umoja wa Mataifa na karibu mashirika 200 ya umma pamoja na miungano ya vijana wamekusanyika kwenye mkutano kuhusu idadi ya watu na maendeleo kujadilia hatua ambazo zimepigwa, changamoto na mianya iliyopo katika kuafikia malengo wa shirrika la idadi ya watu na maendekeo la Umoja wa [...]

03/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Siku ya kupinga vurugu na ukatili yaadhimishwa kwenye UM

Kusikiliza / sanamu ya Mahatma Gandhi

Hafla maalum imefanyika mnamo Jumatano, Oktoba 2 kwenye Umoja wa Mataifa, kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya kupinga vurugu na ukatili, ambayo ni siku ya kuzaliwa kwa Mahatma Gandhi. Ungana na Joshua Mmali kwa makala ifuatayo Muziki Midundo hii kutoka India, ilisikika hapo jana, tarehe 2 Oktoba, ndani ya ukumbi wa mikutano kwenye makao makuu ya [...]

03/10/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ajira zisizo rasmi zitambulike ili kuondoa tatizo la wahamiaji wasio na vibali: Mtaalamu

Kusikiliza / Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za wahamiaji, François Crépeau

Kila wakati tunasikia wahamiaji wasio na vibali, vipi kuhusu waajiri wanaokiuka sheria ? Amehoji Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za wahamiaji, François Crépeau katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu mjadala wa ngazi ya juu unaongalia uhamiaji na maendeleo. Amesema penye wahamiaji wasio na vibali kuna waajiri wanaowapatia ajira kwenye nyanja ambazo ni [...]

03/10/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Wahamiaji hawapatiwi stahili yao, usalama wao mashakani: Rais Baraza Kuu

Kusikiliza / Kikao cha Baraza Kuu kuhusu uhamiaji na maendeleo

Wakati likiripotiwa janga hilo la boti, mjadala mkuu kuhusu uhamiaji wa kimtaifa na maendeleo umeanza leo mjiniNew York. Assumpta Massoi ana taarifa kuuhusu.  TAARIFA YA ASSUMPTA  Mjadala huo unajikita katika kutafuta njia mwafaka za kuimarisha utaratibu na ushirikiano kwenye ngazi zote kwa ajili ya kuendeleza faida za uhamiaji wa kimataifa kwa wahamiaji na nchi husika, [...]

03/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watu 82 waangamia kufuatia kuzama kwa mashua pwani mwa Italia

Kusikiliza / TRAGEDY BOAT

Takriban watu 82 wameaga dunia baada ya mashua moja iliyokuwa ikiwasafirisha wahamiaji wenye asili ya kiafrika kuzama kusini mwa kisiwa cha Lampedusa nchini Italia kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR. Jason Nyakundi na ripoti kamili. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Mashua hiyo iliyotokea nchini Libya inaripotiwa kuwabeba zaidi ya wahamiaji [...]

03/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Lazima tujitahidi kulinda haki za wahamiaji wote: Ban

Kusikiliza / Nembo ya mkutano wa wahamiaji

Mara nyingi wahamiaji huishi maisha ya hofu ya kunyanyswa kwa kile wanachoitwa "wengine", kwa kutopata haki za kisheria na pasi zao za kusafiria kushikiliwa au kutopewa mishahara na waajiri wao. Hayo yamesema Alhamisi na Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon kwenye mjadala wa ngazi ya juu kuhusu uhamiaji wa kimataifa na maendeleo.Ban ameongeza [...]

03/10/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Uzalishaji wa mazao ya nafaka ni wa kuridhisha kwa kipindi cha 2013-2014: FAO

Kusikiliza / FAO-SAHEL

Hali ya usambazaji wa mazao ya nafaka katika kipindi cha mwaka 2013-2014 kinaelezwa kuwa ni cha kuridhisha pamoja na kuwepo viashiria vinavyoeleza kuwepo uwezekano wa kuanguka kwa  uzalishaji wake katika soko la dunia. Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na shirika la chakula duniani FAO, pamoja na kutegemea kujitokeza mabadiliko kiasi juu ya mazao ya [...]

03/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kenya haijajitoa ICC: Waziri Amina Mohammed

Kusikiliza / Bi Amina Mohamed

Waziri wa masuala ya kigeni wa Kenya amehitimisha ziara yake ya kikazi mjini New York na kuzungumzia kura iliyopigwa na bunge la Kenya ya kutaka nchi hiyo kujiondoa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC Flora Nducha na taarifa kamili (TAARIFA YA FLORA NDUCHA) Serikali ya Kenya haijajitoa ICC lakini kile kilichofanyika ni Bunge kutekeleza haki [...]

03/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

SADC,UM kuendelea kukuza usalama,utawala bora na kupambana na maafa.

Kusikiliza / Katibu Mtendaji wa SADC Bi. Stergomena Tax akihojiwa na Joseph Msami wa Radio ya Umoja wa Mataifa

  Umoja wa Mataifa na jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika , SADC, zimerejelea tena makubaliano ya masaidiano katika usalama, utawala bora na maafa. Joseph Msami na taarifa zaidi. (Taarifa ya Msami) Hayo ni matokeo ya ziara ya Katibu Mtendaji mpya wa SADC Bi Stergomena Tax ambaye ameiambia idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja [...]

03/10/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031