Naibu Katibu Mkuu wa UM asisitiza haja ya juhudi binafsi kuchagiza amani:

Kusikiliza /

Jan Eliasson

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson amesisitiza umuhimu wa kuzungumzia juhudi binafsi katika kuchagiza utamaduni wa amani. 

Ameuambia mjadala wa Baraza Kuu kuhusu utamaduni wa amani kwamba Umoja wa Mataifa umeanzishwa kwa misingi ya utu na uzito wa kila binadamu, lakini kila wakati kunakuwa na ukiukaji wa misingi hii.

Bwana Eliasson amesema nchini Syria vita vya wenyewe kwa wenyewe vimekatili maisha ya watu zaidi ya 100,000 na kuwafanya theluthi moja kuwa wakimbizi wa ndani na nje huku vikichagiza mivutano ya kidini na kikabila ndani na nje ya nchi.

 (SAUTI YA ELIASSON)

 

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930