Mtu mmoja kati ya saba anaishi na aina Fulani ya ulemavu: WHO

Kusikiliza /

Nembo ya WHO

Kwa upande wa afya imebainika kuwa mtu mmoja kati ya saba duniani anaishi na aina Fulani ya ulemavu limesema shirika la afya duniani WHO. Kwa mujibu wa shirika hilo wengi wa watu hao wanakabiliwa na vikwazo katika kupata huduma za afya na hivyo kuwaacha katika hali ya kutopata huduma zinazotakiwa , matokeo mabaya ya kiafya na umasikini mkubwa kuliko wengine.Taarifa hizi zimekuja wakati kukiwa na maandalizi ya mjadala wa kimataifa kwenye baraza kuu mnamo tarehe 23 septemba .Dr Etienne Krug mkurugenzi na Bi Alana afisa mratibu kwa ajili ya ulemavu kwenye kitengo cha WHO cha ghasia na uzuiaji wa majeraha na ulemavu mjadala utatanabaisha malengo, matokeo yanayotarajiwa na umuhimu wa kushirikisha watu wenye ulemavu katika ajenda zijazo za maendeleo.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Septemba 2015
T N T K J M P
« ago    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930