Nyumbani » 28/09/2013 Entries posted on “Septemba 28th, 2013”

Tumetimiza sehemu ya Malengo ya Milenia yaliyosalia tunapambana: Kikwete

Kusikiliza / jakaya-kikwete

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema kwa sehemu kubwa utekelezaji wa maendeleo ya milenia umefanikiwa nchini mwake licha ya kwamba yako malengo ambayo bado hayajafanikiwa matahalani usafi wa mazingira na kuanisha mipango iliyopo katika kuyatimiza. Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa Idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa Rais Kikwete amesema nchi [...]

28/09/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Ukanda wa Sahel wazidi kumulikwa, Maurtania yataka jumuiya ya kimataifa kunusuru uhalifu.

Kusikiliza / Maurtania Foreign Minister

Waziri wa mambo ya nje wa Mauritania Ahmed Ould Sid’ Ahmed ni miongoni mwa viongozi waliohutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa katika mjadala wa mwisho wa juma ambapo pamoja na kugusia utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya milenia nchini mwake ameungana na viongozi wengine wa Afrika kulaani matukio ya ugaidi hususani lile la hivi [...]

28/09/2013 | Jamii: Habari za wiki, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Ban akutana na kuzungumza na rais wa Mali

Kusikiliza / Mali

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon ameendelea kukutana na wakuu mbalimbali wa nchi na kufanya nao mazungumzo ambapo leo amekutana na rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita.  Katika mazungumzoyao Katibu Mkuu ameelezea masikitiko yake kufuatia shambulio katika eneo liitwalo Timbuktu lililosababisha vifo na majeruhi  kadhaa. Amesema tukiohilolinaonyesha dhahiri umuhimu wa kuimarisha usalama [...]

28/09/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Misri imo mbioni kuhitimisha kipindi cha mpito, Waziri Nabil Fahmy

Kusikiliza / Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Nabil Fahmy

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Nabil Fahmy, ameliambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa  kipindi cha serikali ya mpito kitamalizika ifikapo mwisho wa msimu wa baridi hapo mwakani. Katika hotuba yake mnamo siku ya Jumamosi, Bwana Fahmy pia amesema wananchi wa Misri walikuwa na kila sababu ya kuenda mitaani na kufanya maandamano, [...]

28/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Malaysia yataka suluhu jumuishi la kisiasa kwa mzozo wa Syria

Kusikiliza / Waziri Mkuu wa Malaysia

Malaysia imetoa wito kuwepo suluhu la kisiasa kupitia harakati zinazowajumuisha wote nchini Syria. Akitoa hotuba yake wakati wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Waziri Kuu wa Malaysia, Mohd Najib Tun Abdul Razak, amesema taifa la Malaysia linapinga hatua yoyote isowajumuisha wote katika kuutatua mzozo wa Syria. Amesisitiza kuwa pande zote ni lazima zije pamoja [...]

28/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban akutana na Wazriri wa Mambo ya Nje wa Iraq

Kusikiliza / ban-iraq fm

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Hoshyar Zebari. Katika mazungumzo hayo, Bwana Ban amempa maelezo waziri huyo kuhusu juhudi za hivi karibuni zaidi kwa ajili ya Syria, kufuatia azimio la Baraza la Usalama jana usiku. Katibu Mkuu ameishukuru Iraq kwa ukarimu [...]

28/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031