Nyumbani » 17/09/2013 Entries posted on “Septemba 17th, 2013”

Kikao cha 68 cha Baraza Kuu chafunguliwa rasmi

Kusikiliza / Ufunguzi wa kikao cha 68 cha Baraza Kuu la UM

Kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kimefunguliwa rasmi hii leo. Ni sauti ya rais mpya wa Baraza Kuu, John William Ashe, raia wa Antigua naBarbuda, ambaye atakiongoza Kikao cha 68. Kikao hicho kinaanza kwa mikutano mbali mbali, ambayo kilele chake kitakuwa ni mkutano mkuu wa viongozi wa nchi wanachama mnamo wiki [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa IAEA waangazia sayansi ya aisotopiki na nyuklia katika ulinzi wa mabahari

Kusikiliza / IAEA

                                                                                                     Wanasayansi wa uhai wa majini kutoka kote duniani wanakutana mjini Vienna, Austria kuanzia leo ili kujadili tatizo la kuongezeka kwa viwango vya asidi katika mabahari, hatari zake, na jinsi ya kukabiliana nalo. Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki, IAEA, bayo anuai ya majini inayolinda usalama wa mabahari inaendelea kupata shinikizo [...]

17/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNICEF, Ethiopia wapunguza vifo vya watoto

Kusikiliza / Afya Ethiopia

Zikiwa zimesalia chini ya siku 1000 kufikia ukomo wa malengo ya maendeleo ya mileni mwaka 2015, nchi kadhaa zinahaha kutimiza malengo hayo manane yaliofikiwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2000.   Makala ifuatayo inaangazia namna Ethiopiailivyopiga hatua katika kupunguza lengo la nne la kupunguza vifo vya watoto walioko chini ya umri wa [...]

17/09/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Ban azungumzia masuala muhimu kuelekea kuanza kikao cha 68 cha Baraza Kuu

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema wakati kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinaanza leo, ni wakati muafaka wa ushirikiano duniani hususan kwa kuzingatia changamoto ya amani, ulinzi, usalama na usaidizi wa kibinadamu nchini Syria. Ikiwa ni utaratibu wake wa kawaida kuzungumza na waandishi wa habari kabla ya [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watu wenye ulemavu ni wahanga waliosahaulika katika vita vya Syria:

Kusikiliza / Watu walio na ulemavu ni baadhi ya wahanga Syria

Vita nchini Syria vinasababisha watu wenye ulemavu kukabiliwa na ukiukaji mkubwa wa haki zao kila siku na wanahitaji kupewa ulinzi mkubwa imesema kamati ya Umoja wa Mataifa ya haki za watu wenye ulemavu CRPD. Kamati hiyo yenye wataalamu huru 18 imesema kuishi katikati y mgogoro kuanaathiri mwili na akili na hali inakuwa mbaya zaidi kwa [...]

17/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa nne wa kiarabu wa kuboresha ushirikiano wa kibinadamu wango'a nanga Kuwait

Kusikiliza / OCHA-LOGO

Chini ya uongozi wake naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa mambo ya kigeni nchini Kuwait Sheikh Sabah Khaled Al-Hamad Al-Sabah , mkutano wa nne wa kila mwaka kuhusu ushirikiano na kubadilidshana habari kwa huduma bora za kibinadamu umeng'oa ngana nchini Kuwait. Mkutano huo uliondaliwa na shirila la kimataifa la kiislamu linalohusika na ufadhili [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNHCR yasifu kusudio la Bulgaria la kuleta matumaini kwa waomba hifadhi

Kusikiliza / syria-bulgaria

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR limekaribisha hatua ya serikali ya Bulgaria ya kuahidi kuboresha mazingira ili kuwawezesha raia wa Syria na wengine wanaoomba hifadhi kuishi katika hali bora, katika wakati ambapo nchini hiyo ikabiliwa na ongezeko la wahamiaji. Alice Kariuki na maelezo zaidi: (TAARIFA YA ALICE KARIUKI) Katika utekelezaji wa suala [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Raia wa Korea Kaskazini wasema walikumbana na mateso nchini mwao: Kirby

Kusikiliza / Michael Kirby

Ushahidi uliokusanywa na tume ya uchunguzi juu ya hali ya haki za binadamu huko Korea Kaskazini unaonyesha mazingira ambayo serikali ilihusika kuvunja haki za binadamu. Katika ripoti yake kwa Baraza la Umoja wa Mataifa la haki za binadamu tume hiyo imesema makumi ya raia wa Korea Kaskazini walioko uhamishoni walijitokeza kwa wingi  kutoa maoniyaowakati walipokuwa [...]

17/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UN-WOMEN yalaani mauaji ya maafisa wa serikali wa kike Afghanistan

Kusikiliza / Phumzile-Mlambo-Ngcuka, Mkurugenzi Mtendaji wa UN-Women

Kitengo cha masuala ya wanawake katika Umoja wa Mataifa, UN Women, kimelaani vitisho na mauaji yanayowalenga wanawake ambao ni maafisa wa serikali, na kutoa wito hatua za kisheria zichukuliwe. Assumpta Massoi na taarifa kamili (Taarifa ya Assumpta) Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa UN-Women Phumzile Mlambo-Ngcuka imesema visa vya hivi karibuni vya mauaji yanayolenga wanawake wenye [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mtawa kutoka DRC kutunukiwa tuzo ya kimataifa ya wakimbizi

Kusikiliza / Angélique Namaika

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR limesema kuwa tuzo ya mwaka huu ya Nansen inakwenda kwa mtawa Angelligue Namaika ambaye amekuwa akifanya kazi katika maeneo ya mbali Kaskazini mwa Jamhuri ya Congo akiwahudumia waathirika kwa matendo ya kikatili yaliyofanywa na wapiganaji wa kundi la Lord Resistance Army LRA.George Njogopa anaripoti (RIPOTI YA [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya watu walioathirika na mafuriko Yemen imefikia 50,000:OCHA

Kusikiliza / Mafuriko Yemen

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA limesema ni mwezi mmoja tangu mvua kubwa na mafuriko kuzikumba wilaya 26 katika majimbo 9 nchini Yemen. Idadi ya walioathirika imefikia 50,000 huku mvua na mafuriko ikiendelea kuathiri mikoa ya Kusini na Kati mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa OCHA [...]

17/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Afghanistan iko katika kipindi muhimu sana:Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

Afghanistan iko katika kipindi muhimu sana hasa katika mabadiliko yanayoendelea ya kisiasa, kiusalama na kiuchumi ambayo yanatarajiwa kukamilika mwaka 2014. Akizungumza na waandishi wa habari Jumanne kamisha mkuu wa haki za binadamu Navi Pillay amesema mabadiiliko yote hayo yatakuwa na athari katika haki za binadamu za wananchi. Ameongeza kuwa ukatili dhidi ya wanawake bado ni [...]

17/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WFP yakamilisha usambazaji wa chakula kwa wakimbizi wa Syria walio Jordan

Kusikiliza / Wakimbizi wa Syria wanoishi Jordan

  Shirika la mpango wa chakula duniani WFP nchini Jordan limekamilisha awamu ya kwanza ya usambazaji wake vocha zake za chakula kwa wakimbizi wote wa Syria wanaoishi kwenye kambi ya Za’atari ambayo sasa ni makao kwa watu 100,000 hatua ambayo itawapa wakimbizi fursa ya kujinunulia chakula wanachotaka. Wakimbizi wananunua bidhaa wakitumia Vocha kwenye maduka yaliyobuniwa [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uganda yaonya wanaotumia vyandarua kwa shughuli za uvuvi na ujenzi

Kusikiliza / Chandarua kikiwa kimetumika kwa usahihi

Nchini Uganda, katika jitihada za kufikia Malengo ya Maendeleo ya Millenia hususan udhibiti wa vifo kwa watoto na wajawazito vitokanavyo na Malaria, Waziri wa Afya amewaagiza viongozi wa mitaa kumkamata mtu  yeyote atakayekutwa akitumia vyandarua kwa matumizi mengine kando ya kujikinga na mbu. John Kibego wa radio washirika ya Spice FM hukoUgandaana taarifa kamili. (Taarifa [...]

17/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031