Nyumbani » 15/09/2013 Entries posted on “Septemba 15th, 2013”

Valarie Amos ahitimisha ziara Iran na kuzungumzia ushirikiano muhimu

Kusikiliza / amos

Mratibu wa Umoja wa mataifa wa masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura  Bi. Valerie Amos amehitimisha ziara ya siku tatu nchini Iran Jumapili na kukaribisha fursa ya kufanya kazi pamoja na taifa hilo kikanda na katika masuala ya kimataifa. Mratibu huyo amesema Iran ina mfumo mzuri saana wa kujiandaa na kukabili majanga na mara [...]

15/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Tume ya uchunguzi wa matumizi ya silaha za kemikali Syria yakabidhi ripoti kwa Ban:

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon akipokea ripoti kutoka kwa Profesa Ake Sellstrom

    Ripoti ya tume ya Umoja wa Mataifa ya kuchunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria imekabidhiwa Jumapili Septemba 15 kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.  Aliyekabidhi ripoti hiyo ni Professor Ake Sellström, anayeoongoza tume hiyo, na Katibu Mkuu ataiwasilisha ripoti hiyo Jumatatu asubuhi kwa nchi wanachama wa [...]

15/09/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031