Nyumbani » 13/09/2013 Entries posted on “Septemba 13th, 2013”

UM wakaribisha makubaliano Somalia, walaani shambulizi.

Kusikiliza / baraza la usalama

                      Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limekaribisha makubaliano ya hivi karibuni kati ya serikali ya Somalia na utawala wa Juba na kupongeza serikali za Ethiopia, jumuiya ya maendeleo ya IGAD, Muungano wa Afrika AU, na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia UNSOM kwa wajibu wao katika kuwezesha majadiliano .   Katika taarifa [...]

13/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kufikia malengo ya milenia kuna matumaini licha ya changamoto: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu katika kikao cha jukwaa la kimataifa la wanawake

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema wasiwasi uliokuwepo miaka Kumi na Tatu iliyopita wakati malengo ya maendeleo ya milenia yanapitishwa, lakini mafanikio yaliyopatikana katika kufikia malengo hayo manane yamewezesha kupambana na umaskini kwa kasi ya kihistoria. Bwana Ban amesema hayo wakati akizungumza katika mkutano wa jukwaa la kimataifa la wanawake mjini New [...]

13/09/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UNICEF na washirika wakwamua afya za watoto Uganda

Kusikiliza / Afya ya watoto

Huduma ya afya ni miongoni mwa changamoto katika nchi zinazoendelea mathalani barani Afrika nchiniUganda. Lakini sasa mambo ni tofauti vijijini ambapo serikali na wadau wa sekta hiyo wakiwamo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF wameleta mabadiliko.   Ungana na Asumpata Masoi kwa undani wa taarifa hii

13/09/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Demokrasia bado safari ndefu Afrika lakini kuna matumaini

Kusikiliza / Raia wa Kenya wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa 2013

Tarehe Kumi na Tano Septemba ni siku ya demokrasia duniani. Mwaka huu ujumbe ni kuimarisha sauti za demokrasia. Umoja wa Mataifa unasema kuwa lengo la ujumbe huu ni kuangazia mwanga umuhimu wa sauti za wananchi kupitia wao wenyewe na hata wawakilishi wao katika masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa [...]

13/09/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuna haja ya kuendesha tathmini ili kujua ya hali ya chakula nchini Syria:WFP

Kusikiliza / WFP Syria (picha ya faili)

WFP limeeleza  kuwa ni muhimu kufanya tathmini hiyo wakati huu kwa vile imaebainika kuwa tatizo la njaa ni moja ya sababu inayowasukuma raia wengi  kukimbilia nchi za nje. George Njogopa anaeleza  (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Katika kipindi cha mwezi Agosti WFP  halikuweza kutathmini juu ya usalama wa chakuka katika maeneo 39 yaliyoko mjini Damascus na [...]

13/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Dola milioni 50 kutoka CERF zatengwa kuisaidia Syria:

Kusikiliza / Valerie Amos

Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura Bi Valerie Amos, leo ametenga dola milioni 50 kutoka kwenye mfuko wa Umoja wa Maraifa wa dharura CERF ili kupiga jeki juhudi za mashirika ya misaada ya kibinadamu yanayosaidia idadi inayoongezeka ya Wasyria walioathirika na vita vinavyoendelea ndani ya nchi na katika [...]

13/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Bado tume huru ya kimataifa haijaruhusiwa syria:Henczel:

Kusikiliza / Balozi Remigiusz Henczel

Rais wa baraza la haki za binadamu mjini Geneva Balozi Remigiusz Henczel amewaandikia waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry na waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov akiwataka kufikiria fursa ya tume huru ya kimataifa kwa ajili ya Syria kufanya kazi yake ambayo hadi sasa haijapatiwa nafasi nchini humo. Katika [...]

13/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UM, Marekani, Urusi wajadili mkutano wa pili kuhusu Syria

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi kwenye mkutano na mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Urusi John Kerry na Sergei Lavrov

Mjumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na nchi za kiarabu kwenye mzozo wa Syria, Lakhdar Brahimi leo amekuwa na mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Urusi huko Geneva, kujadili uwezekano wa kuitisha mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu amani ya Syria. Jason Nyakundi na taarifa kamili (Ripoti ya JASON NYAKUNDI) [...]

13/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ripoti mpya ya wahamiaji yaangazia ustawi wa kundi hilo

Kusikiliza / Jumbe Omari Jumbe

Kwa mara ya kwanza ripoti ya kila mwaka inayohusisha wahamiaji duniani imeangazia ustawi wa kundi hilo ambapo pamoja na mambo mengine inaonyesha kwamba kuna kundi kubwa la wahamiaji kutoka nchi zilizoendelea kwenda zile zinazoendelea huku pia ikiainisha kwamba wale wanaohama kutoka nchi zilizoendelea kwenda zile zilizoendelea wananufaika zaidi. Ripoti hiyo inafuatia utafiti uliofanyika kati ya [...]

13/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vikosi vya serikali Syria vyalaumiwa kushambulia hospitali

Kusikiliza / hrcouncilsyria1

Tume huru ya kuchunguza Syria imesema kumekuwepo na ongezeko kubwa la matukio yanayowalenga watumishi wa huduma za kijamii ikiwemo hospitali, watabibu pamoja na mifumo ya usafiri. Katika ripoti yake tume hiyo imeeleza kuwa kukithiri kwa matukio hayo kunazorotesha ustawi wa taifa hilo ambalo bado linakabiliwa na mapigano baina ya vikosi vya serikali na makundi ya [...]

13/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwezi Agosti umeshuhudia ongezeko kubwa la Wasyria wanaowasili Ulaya:

Kusikiliza / Boat Italy

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linasema limeona ongezeko kubwa la Wasyria wanaowasili kwa boti Kusini mwa Italia. Zaidi ya siku 40 zilizopita Wasyria 3,300 wakiwemo watoto 230 waliokuwa peke yao wamewasili pwani ya Sicily na wengine 670waliwasili wiki iliyopita. Zaidi ya boti 30 zimehusika kuwasafirisha watu hao , wengi wakitokea Misri [...]

13/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto Milioni 90 wamepuka vifo duniani, Tanzania imo: UNICEF

Kusikiliza / Mama Salma Kikwete akimpatia mtoto chanjo

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF limetoa ripoti mpya inayoonyesha kuwa watoto Milioni 90 walio na umri wa chini ya miaka mitano wameepuka vifo kutokana na hatua zilizochukuliwa na serikali na mashirika mbali mbali. Ripoti ya Alice Kariuki inaeleza zaidi. (Ripoti ya Alice) Ripoti hiyo inasema kuwa idadi ya vifo vya watoto [...]

13/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031