Nyumbani » 11/09/2013 Entries posted on “Septemba 11th, 2013”

Somalia yaungana kutokomeza vikundi hatarishi

Kusikiliza / Shambulio Somalia

Siku chache baada ya kushuhudiwa milipuko ya mabomu nchiniSomalia, bado matumaini ya kupambana na vikundi vyenye misimamo mikali na uhusiano na ugaidi yapo nchini humo.   Ripoti yua Joseph Msami inamulika juhudi za nchi hiyo katika kusaidia kumaliza chuki na uhasama huo uliogharimu taifa ahilo kwa miongo kadhaa. Ungana naye.  

11/09/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Mzunguko wa wakimbizi kuhifadhiana

Kusikiliza / UNHCR logo

Kumejitokeza kiroja cha mambo kinachohusisha waliokuwa wakimbizi katika nchi Jamhuri ya Afrika ya Kati na wale kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuzuka kwa machafuko katika eneo linalotenganishwa na nchi hizo mbili.  Kwa hivi sasa kunaripotiwa kuibuka kwa machafuko hayo yaliyohamia katika mto OUbangui ambao unatenganisha nchi zote mbili. Kulingana na shirika la Umoja [...]

11/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mtaalamu wa UM aonya juu ya kuwapuza watu wanaokosa nyumba nchini Uingereza

Kusikiliza / Raquel Rolnik

  Mtaalamu maalumu wa Umoja wa Mataifa juu ya nyumba Raquel Rolnik,amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuona mamia ya watu huko Uingerza hawana fursa za kupata makazi bora. Ameonya juu ya uwekezano wa kutokeza madhara katika siku za usoni iwapo mipango ya serikali haitatoa kipaumbele kwa tatizo hilo. Grace Kaneiya na taarifa kamili: (RIPOTI [...]

11/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kuna wahamiaji wa kimataifa milioni 232 wanaoishi nje ya nchi zao:UM

Kusikiliza / international migrants

Kwa mujibu wa takwimu mpya za Umoja wa Mataifa zilizotolewa Jumatano kuna wahamajiaji wa kimataifa waliozaliwa kanda ya kusini wanaishi katika nchi zingine za Kusini kama ilivyo za Kaskazini. Takwimu zinasema hii inaonyesha mabadiliko ya mfumo kwa wahamiaji wa Asia , lakini kimataifa bado Marekani ni sehemu inayopendwa saana miongoni mwa wahamiaji. Umoja wa Mataifa [...]

11/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto ambao wazazi wao wamehukumiwa kifo wanabaguliwa:UM

Kusikiliza / Flavia Pansieri

Baraza la haki za binadamu Jumatano limejadili haki za binadamu za watoto ambao wazazi wao wamehukumiwa kifo au wameshanyongwa. Naibu Kamishna mkuu wa haki za binadamu Flavia Pansieri akitoa taarifa katika ufunguzi wa mjadala huo amesema mada ya haki za watoto ambao wazazi wao wamehukumiwa kifo au hukumu imeshatekelezwa imepata hamasa kubwa siku za karibuni, [...]

11/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jitihada za kulinda watu zaendelea kukumbwa na changamoto: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limefanya mashauriano kuhusu Wajibu wa kulinda ikiangazia zaidi nafasi ya serikali kulinda raia wake dhidi ya majanga na kuzuia majanga hayo kutokea ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema jitihada hizo bado zinakumbana na changamoto. Assumpta Massoi na taarifa kamili. (Taarifa ya Assumpta) Mauaji yanaendelea na [...]

11/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Matumzi mabaya ya chakula husababisha athari kwa mazingira na hali ya hewa: FAO

Kusikiliza / Matumizi mabaya ya chakula

Shirika la kilimo na chakula duniani, FAO kwa ushirikiano na Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP hii leo yamezindua ripoti inayoonyesha jinsi matumzi mabaya ya chakula yanaweza kusababisha athari kwa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa. Alice Kariuki na taarifa kamili.  (Ripoti ya Alice) Ripoti hiyo iliyozinduliwa kwenye makao makuu ya FAO [...]

11/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ubakaji na mauwaji ni matukio yanayokithiri Syria: Tume ya UM

Kusikiliza / Paul Pinheiro

Tume huru ya kimataifa ya kuchunguza Syriaimesema kuwa mzozo unaoendelea nchini humo umechukua sura tofauti ukihusisha vitendo hatarishi vya uvunjifu wa haki za binadamu, ambavyo vimetekelezwa  na pande zote, serikali na kundi la waasi. George Njogopa na taarifa kamili (Taarifa ya George)   Katika ripoti yake tume hiyo imesema kuwa pande zote mbili zimehusika na [...]

11/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Viongozi mashuhuri Darfur wakutana kujadili suluhu ya migogoro ya kikabila

Kusikiliza / Viongozi wakutana kujadili suluhu ya migororo ya kisiasa

Mizozo ya mara kwa mara ya kikabila huko Darfur nchini Sudan imesababisha viongozi mashuhuri kwenye jimbo hilo kukutana na kujadili jinsi ya kuipatia suluhisho la kudumu hususan kuwezesha makabila hayo kuishi kwa amani na utangamano. Mkutano huo ulioandaliwa na ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika huko Darfur, UNAMID ulileta pamoja [...]

11/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031