Nyumbani » 06/09/2013 Entries posted on “Septemba 6th, 2013”

Kujua kusoma na kuandika kwa wote bado ni ndoto:UNESCO

Kusikiliza / Septemba 8 ni siku ya kusoma na kuandika

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO, limetoa ripoti ambayo inasema Zaidi ya asilimia 84 ya watu wazima ambao walikuwa wahajui kusoma na kuandika sasa wanaweza kufanya hivyo kiwango hicho ni ongezeko la asilimia 8 katika kipindi cha kuanzia mwaka 1990. Hata hivyo UNESCO inasema kuwa bado kuna watu milioni [...]

06/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Watu milioni 774 kote duniani hawajui kusoma na kuandika:UNESCO

Kusikiliza / Kusoma na kwandika bado ni changamoto

Zaidi ya asilimia 84 ya watu wazima ambao walikuwa hawajui kusoma na kuandika sasa wanaweza kufanya hivyo. Hii ni kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO, kiwango hicho ni ongezeko la asilimia 8 katika kipindi cha kuanzia mwaka 1990. Hata hivyo UNESCO inasema kuwa bado kuna watu [...]

06/09/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Aina za ngano zinazohimili magonjwa kuanza kulimwa Kenya:FAO

Kusikiliza / Mpunga

 Aina mbili mpya za ngano zinazohimili magonjwa zimeanzishwa kwa wakulima nchiniKenya. Tangazo hilo limetolewa Ijumaa na shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO.   FAO inasema imekuwa ikifanya kazi pamoja na shirika la kimataifa la nguvu za atomic  (IAEA) katika kuanzisha aina hizo mpya za ngano. Kwa mujibu wa FAO mashirika hayo [...]

06/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Katibu Mkuu wa UM ahimiza kufanyika mkutano kuhusu Syria:

Kusikiliza / SG Ban Ki-moon

Kama sehemu ya juhudi zake za kuhimiza kufanyika mkutano kutatua mgogoro wa Syria Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amemkaribisha mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa mataifa na Muungano wan chi za Kiarabu kwa ajili ya Syria kuungana naye mjini Saint Petersburg. Katibu Mkuu yuko kwenye mji huo wa Urusi kwa ajili ya [...]

06/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Naibu Katibu Mkuu wa UM asisitiza haja ya juhudi binafsi kuchagiza amani:

Kusikiliza / Jan Eliasson

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson amesisitiza umuhimu wa kuzungumzia juhudi binafsi katika kuchagiza utamaduni wa amani.  Ameuambia mjadala wa Baraza Kuu kuhusu utamaduni wa amani kwamba Umoja wa Mataifa umeanzishwa kwa misingi ya utu na uzito wa kila binadamu, lakini kila wakati kunakuwa na ukiukaji wa misingi hii. Bwana Eliasson amesema [...]

06/09/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Polio yatikisa pembe ya Afrika, chanjo yaanza kutolewa

Kusikiliza / Mtoto apokea chanjo ya polio, kambi ya Dadaab Kenya

Wakati wagonjwa zaidi ya 100 wa Polio wameripotiwa nchini Somalia, ugonjwa huo umeendelea kusambaa na kubisha hodi Kenya hadi Ethiopia. Eneo hilo la pembe ya Afrika ambalo awali halikuwa na ugonjwa wa Polio, sasa liko mashakani kwani wakubwa kwa wadogo wanapata ugonjwa huo na hata kupooza. Mizozo na ukosefu wa usalama kwa miaka kadhaa vimekwamisha [...]

06/09/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Maelfu ya watu wahama makwao kufuatia mapigano kaskazini mwa Kenya

Kusikiliza / Northern Kenya violence

Maelfu ya watu bado wamehama makwao kwenye wilaya ya Moyale iliyo kaskazini mwa Kenya iliyo karibu na mpaka na Ethiopia kufuatia machafuko ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi tangu kuanza kushuhudiwa tarehe 30 mwezi Agosti. Mashirika ya kutoa misaada yanasema kuwa hayajafanikiwa kufanya tathmini kuhusu mahitaji ya kibinadamu yaliyo muhimu katika kutoa misaada [...]

06/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

IOM yafanya semina ya uhamiaji Beijing:

Kusikiliza / Jumbe Omari Jumbe

Hali ya wahamiaji kutoka Uchina kwenda barani Ulaya na kutoka Ulaya kwenda Uchini inaongezeka katika miaka ya karibuni, kukiwa na watalii wengi, wanafunzi na wafanyabiashara kutoka Uchina wanaonda mataifa ya Ulaya. Na wakati huohuo China inaendelea kuwa kivutio kwa watu kutoka Ulaya. Suala hili ni moja ya ajenda zinazojadiliwa wiki hii mjini Beijing katika semina [...]

06/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwendesha mashtaka kesi dhidi ya Ruto akubaliwa kukata rufaa

Kusikiliza / icc

Jopo la majaji katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi limeridhia ombi la mwendesha mashtaka katika kesi dhidi ya William Ruto na Joshua Arap Sang la kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa jopo hilo wa kukataa abadili hati ya mashtaka ya muda dhidi ya watuhumiwa hao. Awali mashtaka dhidi yao yalithibitishwa [...]

06/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mgogoro wa Syria umewasitisha shule watoto milioni 2: UNICEF

Kusikiliza / watoto, Syria

  Takribani watoto milioni mbili nchini Syria wameacha shule au watoto karibu asilimia 40 walioandikishwa kati ya darasa la kwanza na la tisa wameacha masomo. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linasema karibu nusu ya watoto hawa wamekimbia machafuko na kuingia nchi jirani na wengi wao hawasomi. Jason Nyakundi na taarifa kamili [...]

06/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vijiji vyatelekezwa na kuna maelfu ya wakimbizi wa ndani Kaskazini CAR

Kusikiliza / car1

Mpango wa pamoja wa Umoja wa Mataifa Jamhuri ya Afrika ya Kati umearifu kwamba umebaini vijiji vilivyotelekezwa na maelfu ya watu waliotawanywa na machafuko ,ikiwa ni pamoja na ushahidi wa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Umesema baadhi ya wanavijiji hivi sasa wanajificha msitumi, ripoti ya George Njogopa inafafanua zaidi. (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Maafisa [...]

06/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ya kibinadamu Syria ni mbaya, misaada zaidi yahitajika: Ban

Kusikiliza / Ban Ki-moon na Lakhdar Brahimi

Huko St. Petersburg nchini Urusi, ambako kando mwa mkutano wa viongozi wa kundi la G20, hii leo kumefanyika mkutano wa kujadili misaada ya kibinadamu kwa Syria, ulioandaliwa na Uingereza. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameshiriki mkutano huo ambapo ametaka nchi hizo 20 kushawishi pande husika kwenye mzozo wa Syria kuruhusu watoa misaada kuwafikia [...]

06/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031