Nyumbani » 05/09/2013 Entries posted on “Septemba 5th, 2013”

Bei za kimataifa za chakula zazidi kushuka:FAO

Kusikiliza / Muuzaji chakula

Bei za chakula zimeshuka kwa mwezi wa nne mfululizo na mwezi Agost kufikia bei za chini kabisa tangu mwezi Juni mwaka 2012 limesema shirika la chakula na kilimo FAO. Orodha ya bei ya FAO inapima viwango vya mabadiliko ya bei ya kila mwezi katika bidhaa za chakula kimataifa. Na Kwa mwezo Agost point ni 201.8 [...]

05/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Guinea Bissau hali ni shwari, mamlaka ya mpito yafanya kazi: Ramos-Horta

Kusikiliza / Jose-Ramos-Horta

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa leo limepokea taarifa kuhusu hali ilivyo nchini Guinea-Bissau wakati huu ambapo wakazi wa nchi hiyo wanajiandaa kwa upigaji kura baadaye mwaka huu. Mwakilishi maalum wa katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo Jose Ramos-Horta akizungumza na waandishi wa habari baada ya mashauriano hayo ya faragha amesema amewaeleza [...]

05/09/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mtoto wa siku tatu ni baadhi ya wakimbizi wa Syria walioko nchini Iraq

Kusikiliza / Peroz na mwananwe

Idadi ya wakimbizi wa Syria imepita millioni mbili wiki hii. Huku wakimbizi hawa wakilazimika kuhama na kuenda nchi jirani. Moja ya nchi wanakokimbilia niIraq. MMoja wa wakimbizi hao ni Peroz ambaye alikimbila nchi ya Iraq na mwanawe wa siku tatu pamoja na familia yake, Basi ungana na Joseph Msami ambaye anaelelzea hali ilivyo kwa mama [...]

05/09/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Nchi za Nordic zaahidi dola milioni 750 kwa Global Fund

Kusikiliza / Ahadi ya dola milioni 750 yakaribishwa na Global Fund

Mfuko wa kimataifa wa kupambana na ukimwi, kifua kikuu na malaria Global Fund umekaribisha kwa moyo mkunjufu ahadi ya dola milioni 750 iliyotolewa na nchi za Nordic ambao ni mchango mkubwa katika vita dhidi ya maradhi haya matatu. Tangazo la ahadi hiyo limetolewa mjini Stockholm Septemba 4 kwenye taarifa ya pamoja ya nchi za Sweden [...]

05/09/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Vijana sasa wapatiwa tovuti ya kutoa maoni yao

Kusikiliza / Ahmad Alhendawi

Hii leo Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa masuala ya vijana, Ahmad Alhendawi amezindua rasmi tovuti ambayo kwayo vijana watatumia kwa ajili ya kutoa maoni yaokuhusu masuala mbali mbali  yanayowahusu. tovuti hiyo  www.un.org/youthenvoy Katika mahojiano na radio ya  UM ameeleeza lengo la kuanzisha tovuti hiyo. ( SAUTI YA ALHENDAWI) “Kile tunachojaribu [...]

05/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sera za taifa kuhusu uhamiaji zijali wananchi: Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

Wakati idadi ya watu wanaoishi uhamishoni ikifikia zaidi ya milioni 215, Kamishna Mkuu wa haki za binadamu, Navi Pillay amezikumbusha serikali duniani kote kutambua kwamba uhamiaji ni nguzo muhimu kwa watu na ametaka kuundwa kwa sera zitakazosaidia kutatua kasoro zinazokwamisha haki za binadamu. Ripoti ya Alice Kariuki inafafanua zaidi.  (Ripoti ya Alice) Akizungumza na jopo [...]

05/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Afrika iko tayari kuanzisha mfumo wa kidigital wa televisheni:

Kusikiliza / Televisheni ya digitali

Nchi 47 za Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara zimeafikiana masafa ya ushirikiano kwa ajili ya kuhamia kwenye mfumo wa digital wa televisheni ifikapo 2015. Flora Nducha na taarifa zaidi (TAARIFA YA FLORA NDUCHA) Majadiliano ya mipango ya kitaifa ya utekelezaji wa kuhamia mfumo wa kidigital Afrika yamefanikiwa na kuthibitishwa kwa kujiwekea hadi Juni 2015 [...]

05/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkataba wa kimataifa kuhusu wafanyakazi wa ndani waanza kutumika leo

Kusikiliza / Mfanyakazi wa ndani, picha ya ILO

Hatimaye mkataba wa kimataifa wa kutetea haki za wafanyakazi wa ndani uliopigiwa chepuo na shirika la kazi duniani, ILO, umeanza kutumika rasmi hii leo na hivyo kupanua wigo wa haki za msingi za wafanyakazi hao. ILO kupitia Mkurugenzi wake wa mazingira ya kazi na usawa, Manuela Tomei inasema hatua ya leo inatuma ujumbe thabiti kwa [...]

05/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Leo ni siku ya kimataifa ya masuala ya hisani

Kusikiliza / Leo ni siku ya masuala ya hisani

Masuala ya hisani yana jukumu kubwa katika kuendeleza kazi za Umoja wa mataifa amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon . Katika ujumbe maalumu ya maadhimisho haya ya kwanza Ban amesema kujitolea wakati au fedha , kushiriki katika shughuli za kijamii au za sehemu nyingine duniani , kufanya vitendo vya kusaidia na utu [...]

05/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Harakati mpya za Katibu Mkuu kuhusu mzozo wa Syria, Brahimi aelekea G-20

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema mwakilishi wa pamoja wa Umoja huo na nchi za kiarabu katika suala la Syria Lakhdar Brahimi anaelekea Urusi kuangalia jinsi ya kuweka ushawishi mpya ili mkutano wa pili kuhusu Syria uweze kufanyika. Amesema wakati huu ambapo dunia inajikita juu ya hofu ya matumizi ya silaha za [...]

05/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uongozi wa G-20 ni muhimu katika kuimarisha uchumi duniani: Ban

Kusikiliza / G20 ni muhimu katika kuimarisha uchumi duniani:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema kundi la nchi 20 au G20 lina nafasi muhimu katika kuimarisha mipango ya kujikwamua kiuchumi duniani wakati huu ambapo mizozo katika eneo moja inakuwa na athari hata kwa nchi tajiri zaidi duniani. Assumpta Massoi na maelezo zaidi. (Taarifa ya Assumpta) Kauli hiyo ya Bwana Ban imo [...]

05/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban akutana na kiongozi wa Korea

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon na Rais wa Jamhuri ya Korea ya Kusini Park Geun-hye,

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amekutana na Rais wa Jamhuri ya Korea ya Kusini Park Geun-hye, ikiwa ni sehemu ya kuelekea kwenye kilele cha mkutano wa nchi 20 zilizoendelea yaani G20. Ban alimtarifu kiongozi huyo wa Korea kuhusiana na mzozo wa Syria. Alieleza kwa kina juu ya hali ya kibinadamu inavyozidi [...]

05/09/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031