Nyumbani » 01/09/2013 Entries posted on “Septemba 1st, 2013”

Ban aongea kwa simu na mkuu wa tume ya uchunguzi wa silaha za kemikali Syria Dr. Åke Sellström:

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa leo Jumapili amezungumza kwa njia ya simu na Dr. Åke Sellström, mkuu wa tume mya Umoja wa mataifa ya uchunguzi wa madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchiniSyria. Dr. Sellström, ambaye ndio amerejea tuu The Hague na wataalamu wengine wa tume baada ya kufanya uchunguzi tangu Agost 19 [...]

01/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ugonjwa wa mabusha na matende waweza kumpata mtu yeyote

Kusikiliza / Waathiriwa, ugonjwa wa matende

Ripoti ya shirika la afya ulimwenguni WHO, inasema kuwa zaidi ya  watu milioni 120 duniani kote wameathiriwa na ugonjwa huo wa mabusha na matende na  asilimia 65 ya watu hao wanaishi Kusini Mashariki mwaAsia, wakati asilimia 30 wako barani Afrika na idadi iliyosalia iko katika eneo la tropiki. WHO inatoa mwito kwa nchi washirika kuongeza [...]

01/09/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930