Nyumbani » 29/08/2013 Entries posted on “Agosti 29th, 2013”

Mapigano mapya DRC, Baraza la usalama latoa kauli

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la Usalama la UM

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wameshutumu kuzuka upya kwa mashambulio huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia yaCongo, DRC yaliyosababisha kifo cha mlinda amani kutokaTanzaniana majeruhi. Taarifa ya barazahiloiliyotolewa Alhamisi baada ya kupokea ripoti kutoka kwa Naibu Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu operesheni za ulinzi wa amani, Edmond Mulet imetaka serikali ya [...]

29/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Familia za wale waliotoweka kwa lazima na mashirika yasiyokuwa ya serikali wahitaji kulindwa: UM

Kusikiliza / Human Rights

Mashirika ya umma na watu wa familia ambazo wapendwa wao hupotea wanahitaji kulindwa kutokana na vitisho huku pia wakihitaji kusaidiwa katika kazi zao. Hii ni kwa mujibu wa wataalamu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa kabla ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya waathiriwa wa vitendo vya kutoweka kwa lazima kwa watu siku [...]

29/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Raia wa Burundi watoa maoni kuhusu siku ya kupinga majaribio ya nyuklia

Kusikiliza / nuclear

Ikiwa leo Agosti 29 ni siku ya kuadhimisha siku ya kupinga majaribio ya nyuklia ambayo ni maadhimisho ya nne ya kila mwaka, mwandishi wetu wa Maziwa Makuu Ramadhan Kibuga amezungumza na baadhi ya wananchi wa Burundi kuhusu hisia zao, swala la upingaji wa majaribio ya nyuklia. Wananchi walisema nini? Haya ndio maoni yao (SAUTI ZA [...]

29/08/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Wawili wabainika kuwa na virusi vya homa ya Corona huko Qatar: WHO

Kusikiliza / Mtaalamu kwenye maabara

Shirika la afya duniani, WHO limesema watu wawili wamethibitishwa kuwa na uambukizo wa kirusi cha homa yaCorona, MERS-CoV, nchiniQatar. Watu hao ni wanaume wawili mmoja mwenye umri wa miaka 59 na mwingine miaka 29. Mgonjwa wa kwanza alisafiri hadi Medina Saudi Arabia kwa siku sita na kurejeaQatarilhali mwingine kumbukumbu hazionyeshi kuwa alisafiri nje ya nchi [...]

29/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hakuna sababu za kutosaini mkataba kupinga majaribio ya nyuklia

Kusikiliza / Majaribio ya nyuklia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ingawa miaka 20 imepita tangu mkutano wa upokonyaji silaha uanze majadiliano ya mkataba wa kupinga majaribio ya nyuklia CTBT, mkataba huo bado haujaanza kutekelezwa. Ban ameyasema hayo katika ujumbe maalumu wa maadhimisho ya nne ya siku ya kimataifa ya kupinga majaribio ya nyuklia ambayo kila mwaka [...]

29/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ajali yaua watu 41 Kenya, WHO yataka hatua kuchukuliwa.

Kusikiliza / eneo la tukio

Watu 41 wameripotiwa kuaga dunia kwenye ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha basi moja la abiria katika eneo la Ntulele lililo kwenye mkoa wa bonde laufanchiniKenyaambapo abiria wengine 33 walipata majeraha mabaya. Jason Nyakundi na taarifa zaidi. (RIPOTI YA JASON) Inaripotiwa kuwa basihilolililokuwa likiwasafirisha zaidi ya abiria 60 kutoka mji mkuu wa Kenya Nairobi likilekea mji [...]

29/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakaguzi wa UM kukabidhi ripoti ya uchunguzi Syria Jumamosi: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon akizungumza mjini Vienna, Austria

Jopo la Umoja wa Mataifa linalochunguza madai ya shambulizi la silaha za kemikali nchini Syria litakabidhi ripoti hiyo Jumamosi hii kwa Katibu Mkuu Ban Ki-Moon. Ripoti ya Assumpta Massoi inafafanua zaidi. (Taarifa ya Assumpta) Taarifa hizo ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu Ban Ki-Moon mwenyewe alizotoa alipozungumza na waandishi wa habari mjini Vienna, Austria ambako [...]

29/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Machafuko yazuka upya CAR na kusababisha mamia ya raia kukimbilia uhamishoni

Kusikiliza / CAR-CHILDREN-300x257

Mapigano yaliyozuka upya katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Bangui yamesababisha zaidi ya watu 6,000 kukosa makazi na hivyo kuomba hifadhi ya muda. George Njogopa na taarifa kamili: (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limearifu juu ya kuongezeka kwa mapigano hayo ambayo yameripitiwa zaidi katika [...]

29/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi wa DRC wapata ajali huko Uganda, mmoja afariki dunia

Kusikiliza / Wakimbizi wa DRC

Mtoto mmoja amefariki dunia na watu wengine 24 wamejeruhiwa baada ya basi iliyokuwa ikisafirisha wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kupinduka huko Uganda. John Kibego anaripoti kutoka Hoima, Uganda. (Taarifa ya Kibego) Wakimbizi hao walikuwa wakisafirishwa kutoka kambi ya wakimbizi ya Bubukwanga wilayani Bundibugyo kwelekea Hoima katika Kambi ya Wakimbizi ya Kyangwali. Huyo [...]

29/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban alaani mauaji ya mlinda amani wa MONUSCO toka Tanzania

Kusikiliza / Walinda amani, MONUSCO

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali mauaji ya mlinda amani wa Kitanzania na kujeruhi wengine huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Jumatano. Mauji hayo ya mlinda amani wa mpango wa Umoja wa mataifa nchini Congo MONUSCO yametokea baada kundi la wapiganaji wa M23 kushambulia walinda amani hao waliokuwa [...]

29/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031