Nyumbani » 23/08/2013 Entries posted on “Agosti 23rd, 2013”

Kuzorota kwa hali ya usalama Jonglei kwatia wasiwasi Baraza la Usalama

Kusikiliza / Balozi María Cristina Perceval

Kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama kwenye jimbo la Jonglei, Sudan Kusini kumeibua wasiwasi miongoni mwa wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambapo hii leo wametaka pande zote zinazopingana eneo hilo kuheshimu haki za binadamu. Taarifa iliyosomwa na Rais wa baraza hilo Balozi María Cristina Perceval baada ya mashaurino baina yao, imekariri [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UN Women yasaidia majaji wanawake Tanzania kuelimisha umma juu ya rushwa ya ngono

Kusikiliza / Chama cha majaji wanawake Tanzania, TAWJA

Siku hizi majaji, mahakimu, maafisa wa polisi na askari magereza nchini Tanzania wamekuwa wakijitahidi kuelimisha umma juu ya kutokomeza rushwa ya ngono. Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN Women, katika kuchochea elimu hiyo hivi karibuni lilifadhili chama cha majaji wanawake Tanzania, TAWJA kuandaa kitabu kuelimisha umma na mafunzo juu ya [...]

23/08/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Uwekezaji katika uchumi unaojali mazingira kuongeza ajira Afrika ya Kusini

Kusikiliza / Mazingira

Kuimarisha usimamizi wa rasilimali na kuwekeza kwenye mazingira kwaweza kuongeza mavuno Afrika Kusini kwa karibu robo , kuongeza ajira laki saba na elfu sabini na kuongeza uapatikanaji wa maji ikilinganishwa na hali livyo sasa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa ripoti mpya iliyotolewa leo na waziri wa maji na mazingira wa Afrika Kusini Edna [...]

23/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Seoul watoa maoni juu ya haki za binadamu DPRK, baadaye ni Tokyo

Kusikiliza / Michael Kirby

Maoni ya umma kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Korea Kaskazini  yataanza kutolewa huko Tokyo, Japan wiki ijayo mbele ya jopo la Umoja wa Mataifa lililoundwa kuchunguza vitendo hivyo. Jopo hilo litafanya kazi kwa siku mbili ambapo maoni yanayokusanywa ni pamoja na DPRK kuteka nyara raia wa Japani. Kwa sasa jopo hilo liko Korea [...]

23/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Utoaji wa chakula shuleni waimarisha elimu, afya na kipato.

Kusikiliza / Mpango wa lishe shuleni una manufaa:FAO

Utafiti ulioendeshwa na Shirika la chakula na kilimo, FAO unaonyesha kwamba mpango wa kuwalisha chakula wanafunzi mashuleni unaongeza ulinzi wa kijamii, chakula na lishe kwa wanafunzi. Utafiti huo ulioangazia utaoaji wa chakula mashuleni na uwezekano wa kununua nafaka moja kwa moja kutoka kwa familia husika umehusisha nchi nane ambazo ni Bolivia, Colombia, El Salvador, Guatemala, [...]

23/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban alaani mashambulizi ya mabomu nchini Lebanon:

Kusikiliza / KM ban Ki-moon

  KM Ban Ki-moon Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali milipuko miwili ya mabomu yaliyokuwa yametegwa kwenye magari nje ya misikiti miwili mjini Tripoli Kasakazini mwa Lebanon. Milipuko hiyo imekatili maisha ya makumi ya watu na kujeruhi wengine kwa mamia muda mfupi baada ya swala ya Ijumaa. Ban ametuma salamu za [...]

23/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Misaada ya kibinadamu yaangaziwa nchini Tanzania

Kusikiliza / Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania

  Wiki hii dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Usaidizi wa Kibinadamu ambapo Umoja wa Mataifa umefanya kumbukumbu ya watumishi wake waliopoteza maisha wakiokoa maisha ya wengine. Kauli mbiu mwaka huu ni Dunia inahitaji misaada zaidi. Kwa kutambua uzito huu, katika makala yetu leo mwenzetu George Njogopa anamulika hali ya misaada ya kibinadamu nchini Tanzania [...]

23/08/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto milioni 3 nchini Syria wamesambaratishwa na vita

Kusikiliza / Watoto wamesambaratishwa na vita, Syria:UNHCR/UNICEF

Karibu watoto milioni 3 nchini Syria wamesambaratishwa na machafuko yanayoendelea nchini Syria kwa mujibu wa mashirika ya Umoja wa mataifa. Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na lile la kuhudumia watoto UNICEF yanakadiria kuwa zaidi ya watoto milioni 2 wamekuwa wakimbizi wa ndani huku wengine milioni moja wamelazimika kuzikimbia nyumba zao na kuwa [...]

23/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mkakati wa usafi wa mikono ni muhimu kwa afya:WHO

Kusikiliza / Usafi wa mikono

Shirika la afya duniani WHO limesema mkakati wa kuimarisha usafi wa mikono ni rahisi kwa wahudumu wa afya kuutekeleza kwa mujibu wa utafiti mpya uliochapishwa Ijumaa na jarida la afya la Uingereza Lancet. Flora Nducha na taarifa kamili  (TAARIFA YA FLORA NDUCHA) Kwa mujibu wa WHO utafiti huo mpya ni kuhusu magonjwa ya kuambukiza kupitia [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mgogoro wa Syria ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa duniani: Brahimi

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

Mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na jumuiya za a nchi za kiarabu Lakhdar Brahimi ameeelezeaa hofu iliyopo kutokana na madai ya kutumika kwa silaha za kemikali mjini Damascus nchini Syria. Jason Nyakundi na taarifa kamili. (Taarifa ya Jason) Akiongea mjini Geneva bwana Brahimi amesema kuwa tukio hilo ni ishara ya hatari ambayo haiwaandami [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP bado inahitaji dola milioni 84 kuwasidia watu wa Sudan Kusini

Kusikiliza / WFP linatoa msaada Sudan Kusini

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema nchini Sudan Kusini linawasaidia watu milioni 1.7 lakini bado linahitaji dola milioni 84 ili kuweza kupanua wigo wa msaada wao kuwafikia watu takribani milioni 2.85 wanaohitaji msaada. Kiwango hicho cha fedha kinajumuisha dola milioni 20 ombi kwa ajili ya Jonglei pamoja na kulipa madeni ambayo yanaisaidia serikali [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM imepanua huduma za usafiri kwa wakimbizi wa Syria:

Kusikiliza /

  Shirika la Kimataifa linalohusika na uhamiaji IOM limechukua hatua ya kupanua huduma za usaifiri ili kuwakirimu mamia wa wakimbizi wa Syria ambao idadi yao inazidi kuongezeka nchini Iraq. Ripoti zinaonyesha kuwa idadi ya wakimbizi wanaongia nchini humo imeongezeka katika siku za hivi karibuni na hadi sasa IOM inasema kuwa imesafirisha wakimbizi wengine 32,000 wakipitia [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Msukumo wa kufikia malengo ya milenia ni haki na muhimu:Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ambaye yuko ziaranai nchini Korea Kusini amesema msukumo wa kufikia malengo ya maendeleo ya milenia MDG's ni muhimu na ni haki. Ban ameyasema hayo alipokutana na mabalozi mbalimbali mjini Seoul na kuongeza kuwa bara la Afrika limepiga hatua kubwa kimaendeleo kupitia utekelezaji wa malengo ya maendeleo [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM imepanua huduma za usafiri kwa wakimbizi wa Syria:

Kusikiliza / IOM, huduma Syria(picha ya IOM)

Shirika la Kimataifa linalohusika na uhamiaji IOM limechukua hatua ya kupanua huduma za usaifiri ili kuwakirimu mamia wa wakimbizi wa  Syria ambao idadiyaoinazidi kuongezeka nchiniIraq. Ripoti zinaonyesha kuwa idadi ya wakimbizi wanaongia nchini humo imeongezeka katika siku za hivi karibuni na hadi sasa IOM inasema kuwa imesafirisha wakimbizi wengine 32,000 wakipitia maeneo ya Sahela na [...]

23/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM uhakikishe biashara ya utumwa haijitokezi tena duniani –Dk Bana

Kusikiliza / Leo ni siku ya kumbukumbu ya biashara ya utumwa

Leo ni siku ya kimataifa ya kumbukumbu ya biashara ya utumwa na ukomeshaji wa biashara hiyo  ambapo Umoja wa Mataifa huitumia siku hii kuwakumbusha watu madhila ya biashara ya  utumwa katika bahari ya Atlantiki, sababu zake kihistoria, njia zilizotumika na hata madhara yake. Akizungumzia siku hii Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban awa na mazungumzo na Rais Park wa Korea Kusini

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ambaye yupo ziarani Korea ya Kusini leo amekutana na mwenyeji wake Rais Park Geun-hye na kisha kujadiliana masuala mbalimbali yakiwemo yale yanayohusu ushirikiano.  Ban alipongeza Korea Kusini jinsi ilivyo mstari wa mbele kushiriki kwenye majukumu ya kimataifa pamoja na kwamba taifa hilo siyo mwanachama wa kudumu wa [...]

23/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wataalamu wa UM walaani utumiaji wa silaha za kemikali nchini Iraq

Kusikiliza / Adama Dieng

Wajumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na uzuaji wa uzuiaji wa mauwaji ya halaiki na yule anayehusika na wajibu wa kuwalinda raia, wamelaani vikali mauwaji ya mamia ya raia yaliyotokea katika vitongoji vya mji wa Damascus nchini Syria mwishoni mwa wiki. Bwana. Adama Dieng, na Bi Jennifer Welsh, wametaka kufanyika uchunguzi juu ya mauwaji [...]

23/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031