Nyumbani » 22/08/2013 Entries posted on “Agosti 22nd, 2013”

Madai ya matumizi ya silaha za kemikali Syria, Ban aagiza msaidizi wake aende Damascus

Kusikiliza / Eduardo Del-Buey

Sakata la madai ya matumizi ya silaha za kemikali kwenye eneo moja huko Syria wiki hii limezidi kuchukua sura mpya baada ya Umoja wa Mataifa kujiandaa kuwasilisha ombi rasmi kwa serikali ya nchi hiyo iruhusu jopo lake kwenda eneo hilo kwa uchunguzi. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Eduardo El Buey amewaambia waandishi wa habari mjini [...]

22/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mjumbe wa UM amekwenda Cairo "kusikiliza"

Kusikiliza / Jeffrey Feltman

Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa siku ya jumatano alikuwa nchini Misri kwa ajili ya kuwasikiliza raia wake kabla ya kuchukua hatua za kushughulikia mzozo unaendelea sasa. Jeffrey Feltman ambaye ni msaidizi wa Katibu Mkuu katika masula ya siasa amekuwa na mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Nabil Fahmy na Katibu Mkuu [...]

22/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Pongezi Mali kwa kuhitimisha mchakato wa uchaguzi wa Rais:Prod

Kusikiliza / Romano Prodi

Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye eneo la Sahel bwana Romano Prodi, amewapongeza watu wa Mali na Rais mchaguliwa Ibrahim Boubacar Keita kwa kuhitimisha vyema mchakato wa uchaguzi. Bwana Prodi amempongeza pia mgombea urais aliyeshika nafasi ya pili bwana Soumaïla Cissé, kwa ushiriki wake muhimu kwenye mchakato huo wa uchaguzi. Hitimisho [...]

22/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Naibu Katibu Mkuu azungumzia silaha za kemikali Syria, UNICEF yalaani

Kusikiliza / Jan Elliason

Suala la Syria limechukua sura mpya baada ya kuwepo kwa ripoti za matumizi ya silaha za kemikali siku ya Jumatano ambapo Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson amezungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu na kusema kitendo hicho kina madhara makubwa kwa binadamu. Taarifa ya Alice Kariuki inafafanua zaidi. (Taarifa ya Alice Kariuki) [...]

22/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ujasiriamali sasa unawezekana Nepal

Kusikiliza / Biashara Nepal

Kukuwa kwa biashara ndogo ndogo ni ndoto ambayo imeanza kutimia nchini Nepal baada ya muda mrefu. Mchakato huu ulikwamishwa na mkwamo wa kiteknolojia na sababu kadhaa. Ungana na Flora Nducha katika makala ifuatayo inayofafanua mapambazuko mapya nchini humo.

22/08/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Myanmar yasonga mbele lakini ishughulikie chuki za kidini

Kusikiliza / Tomás Ojea Quintana

Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya  haki za binadamu nchini Myanmar, Tomás Ojea Quintana, amesema nchi hiyo imepiga hatua katika maeneo mengi jambo lililoleta mabadiliko chanya katika hali ya haki za binadamu lakini bado kuna changamoto katika suala la chuki za kidini. Taarifa zaidi na Joseph Msami.  (Taarifa ya Joseph Msami) Akiongea [...]

22/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO yaidhinisha dawa mpya ya kutibu mabusha na matende

Kusikiliza / Mtoto akimeze dawa aina ya DEC, Bangladesh

Shirika la afya duniani WHO limeridhia matumizi ya dawa ya kutibu magonjwa yaliyosahaulika hususan mabusha na matende, magonjwa yaliyo tishio hasa kwenye nchi za kitropiki ikiwemo Afrika. Ripoti  ya George Njogopa inafafanua zaidi.  (Taarifa ya George) Dawa hiyo aina ya NTD002 inayozalishwa na kampuni ya Eisai ya nchiniJapanitatumikakamakinga dhidi ya ugonjwa wa mabusha na matende [...]

22/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Huenda kuchelewa kwa mvua kukaathiri mavuno nchini Mali:WFP

Kusikiliza / Raia wa Mali

Msimu wa mvua nchini nchini Mali umeanza ukiwa umechelewa hali ambayo huenda ikaathiri pia mavuno. Taifa la Mali linajaribu kujikwamua kutoka kweye mzozo uliosababisha kuhama kwa watu wengi na tatizo la ukosefu wa chakula mwaka 2011. Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linawasidia wakulima eneo la Segaou umbali wa kilomita 200 kaskazi mashariki mwa [...]

22/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto lazima walindwe nchini Syria:UNICEF

Kusikiliza / unicef_logo

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema watoto ni lazima walindwe , baada ya ripoti kwamba silaha za kemikali zimetumika kwenye machafuko yanayoendelea nchini Syria ambayo yameshasababisha vifo vingi vikiwemo vya watoto. Kwa mujibu wa UNICEF mashambulizi dhidi ya raia wakiwemo watoto yaliyofanyika nje kidogo ya Damascus yanasikitisha na kitendo hicho cha [...]

22/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yakaribisha azimio la nchi za Asia-Pacific linalolenga kukabili wahamiaji haramu

Kusikiliza / UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR limekaribisha hatua ya nchi za ukanda wa Asia-Pasific ambazo zimeahidi kukabiliana na wimbi la uhamiaji haramu unaosababisha mamia ya watu kupoteza maisha kila mwaka wakati wakiwa baharini. Kauli hiyo ya UNHCR imekuja baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku moja uliofanyika katika mji mkuu wa Indonesia [...]

22/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNAMID inasaidia kusafirisha kwa ndege raia wa Darfur Mashariki:

Kusikiliza / Wana kikosi cha UNAMID

Kama sehemu ya juhudi zake za kusaidia raia walioathirika na machafuko ya jamii tofauti, mpango wa pamoja wa kulinda amani Darfur wa Umoja wa mataifa na Muungano wa Afrika UNAMID umesaidia kusafirisha kwa ndege raia 300 mwezi huu kutoka El Daein Mashariki mwa Darfur hadi Abu Karinka karibu kilometa 50 Kaskazini Mashariki mwa El Daein. [...]

22/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031