Nyumbani » 13/08/2013 Entries posted on “Agosti 13th, 2013”

Ban alaani mashambulio Nigeria, ataka pande zinazopingana kutafuta suluhu kwa njia ya amani

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon

  Vikundi vyote vyenye msimamo mkali nchini Nigeria viache mashambulio yao dhidi ya raia wasio na hatia, ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika salamu zake za rambirambi kufuatia mashambulio yaliyosababisha vifo vya watu kwenye maeneo ya Mafa na Kondugo kwenye jimbo la Borno nchini Nigeria. Mashambulio hayo ya hivi karibuni yalisababisha [...]

13/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban amteua Haoliang Xu wa Uchina kama Msimamizi Msaidizi wa UNDP

Kusikiliza / Haoliang Xu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amemteua Bwana Haoliang Xu wa Uchina kama Msimamizi Msaidizi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo katika Umoja wa Mataifa, UNDP na Mkurugenzi wa Ofisi ya UNDP bara Asia na Pasifiki. Bwana Xu atairithi nafasi ya Ajay Chhibber wa India, ambaye amemsifu kwa huduma yake ya kujitoa kwa [...]

13/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNICEF na washirika kukwamua wananchi Namibia

Kusikiliza / ukame Namibia

Kwa muda mrefu nchi ya Namibiailiyoko katika jangwa la Kalahari imekumbwa na ukame unaosababisha madhara kwa raia ikiwamo njaa. Lakini habari njema ni kwamba shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto , UNICEF na washirika wengine yanasaidia juhudi za kuwakwamua wananchi wanaoteseka. Ungana na Joseph Msami katika ripoti ifuatayo.  

13/08/2013 | Jamii: Mahojiano, Taathira za Mabadiliko ya Hali ya Hewa | Kusoma Zaidi »

Jopo la UM lasubiri kibali kutoka serikali ya Syria

Kusikiliza / Profesa Ǻke Sellström, Mkuu wa jopo la UM la kuchunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali Syria

Jopo la Umoja wa Mataifa lililoundwa kuchunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali huko Syria litaenda nchini humo mapema iwezekanavyo pindi serikali itakaporidhia mpango kazi wake. Kauli hii ya hivi punde ni taarifa kutoka kwa msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenda kwa waandishi wa habari ambapo amesema mwishoni mwa wiki iliyopita, [...]

13/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wataalam waitaka Israel "iache kumnyanyasa mtetezi wa haki za binadamu Issa Amro"

Kusikiliza / Issa Amro

Kundi la wataalam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu limeelezea kusikitishwa na madai ya vitisho na unyanyasaji unaotekelezwa na vyombo vya dola vya Israel dhidi ya Issa Amro, mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu za Wapalestina.  Bwana Amro alikamatwa na kutiwa rumande mara 20 mnamo mwaka 2012, na mara 6 kufikia sasa [...]

13/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WFP inahitaji dola milioni 30 kila wiki kuendesha oparesheni zake nchini Syria

Kusikiliza / WFP inatoa msaada Syria(picha ya WFP-Eman Mohammed)

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linasema kuwa mwezi uliopita wa Julai lilifanikiwa kuwafikia karibu watu milioni 2.9 walioathiriwa na mzozo unaondelea nchiniSyria. Mwezi huu wa Agosti WFP ilikuwa na mpango wa kufikia wakimbizi milioni tatu. Wakimbizi milioni 1.1 kwenye nchi majirani walipata msaaada wa chakula kutoka WFP lakini  hata hivyo Shirika hilo linasema [...]

13/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watu zaidi waendelea kukimbia makwao nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kusikiliza / Wakimbizi wa CAR walioko eneo la mpakani DRC

Karibu wakimbizi 63,000 kutoka Jamhuri ya Afrika ya kati wamekimbilia mataifa jirani tangu kuanza kwa mzozo wa kisiasa nchi humo mwezi Disemba mwaka uliopita kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR.Wakimbizi 40,500 wamekimbia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku wengine 13,000 wakiingia nchiniChad. Taarifa Zaidi na Alice Kariuki.  (Taarifa ya [...]

13/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban aisifu Pakistan kwa mchango wake katika shughuli za ulinzi wa amani

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amelisifu taifa la Pakistan kwa kuwa nambari moja katika nchi zaidi ya mia moja zinazochangia vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa. Bwana Ban ambaye yuko ziarani Pakistan, amesema hayo leo wakati wa kukizindua Kituo cha Kimataifa cha Amani mjini Islamabad, na kusifu mchango wa Pakistan [...]

13/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano mapya yaripotiwa Mynamar

Kusikiliza / myanmar map

Kumekuwa na taarifa ya kuzuka machafuko baina ya kundi la waislamu waliokosa makazi na vikosi vya serikali katika jimbo la Rakhine nchini Mynmar. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema kuwa mapigano hayo yaliyotokea mwishoni mwa juma, yamesababisha kifo cha mtu mmoja na wengine 10 wamejeruhiwa. UNHCR imerejelea mwito wake kwa kuzitaka [...]

13/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNICEF yaanza kutoa huduma za afya CAR, lakini hali bado ni mbaya

Kusikiliza / car-displaced

Hali ya huduma za kibinamu katika Jamhuri ya Afrika Kati imeendelea kuwa tete katika wakati  ambapo shughuli za usambazaji wa huduma za usamaria zikikatizwa kutokana  na kuzorota kwa usamala. Hata hivyo shirika la kudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema kuwa limefaulu kwa kiasi kidogo kuimarisha upya vituo vya afya vilivyopo katika wilaya mbili [...]

13/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mashirika ya misaada yaomba ufadhili zaidi kwa CAR

Kusikiliza / Wakimbizi wa CAR

Mashirika ya kutoa misaada yametoa ombi la ufadhili zaidi ili kukidhi mahitaji ya kibinadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kati ya dola milioni 195 zinazohitajika kwa misaada ya kibinadamu, ni dola milioni 62 tu ndizo zilizopatikana, sawa na asilimia 32 ya fedha zinazohitajika. Kwa mujibu wa Ofisi ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu katika Umoja [...]

13/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM wataka hakikisho la usalama wa mwanaharakati Adilur huko Bangladesh

Kusikiliza / Adilur Rahman Khan

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza wasiwasi wake juu ya kukamatwa kwa mwanaharakati mashuhuri nchiniBangladesh, Adilur Rahman Khan mwishoni mwa wiki. Habari zinasema Adilur ambaye ni Mkurugenzi wa kikundi cha Odhikar, alikamatwa na maafisa wa usalama kwenye mji mkuuDhakabila ya kuwa na kibali cha kumkamata. Mwanaharakati huyo anatuhumiwa kuchapisha taarifa zisizo [...]

13/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031