Nyumbani » 12/08/2013 Entries posted on “Agosti 12th, 2013”

Vijana wakutana Nairobi kukuza uelewa kimaendeleo

Kusikiliza / Vijana wa UM

Ikiwa vijana kote ulimwenguni wanaadhimisha siku ya kimataifa ya vijana August 12 kila mwaka , vijana kutoka nchi za maziwa makuu na nchi nyinginezo barani Afrika wamekusanyika nchini Kenya kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa namna ya kukuza stadi mbalimbali ili kujiletea maendeleo.  Ungana na mwandishi wetu wa mjini Nairobi Jason Nyakundi aliyefanya mahijiano na [...]

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki, Mahojiano | Kusoma Zaidi »

UM wazindua utafiti kuhusu watu walemavu katika maeneo ya majanga

Kusikiliza / disabled disaster

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na udhibiti wa hatari za majanga, UNISDR na wadau wake, leo wamezindua utafiti wa kwanza kabisa wa aina yake kuhusu watu wanaoishi na ulemavu, na uwezo wao wa kukabiliana na majanga. Mkuu wa ofisi ya UNISDR, Margareta Wahlström, amesema utafiti huo utaangazia suala lililopuuzwa katika udhibiti wa majanga, ambalo [...]

12/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban amteua Peter de Clercq wa Uholanzi kuwa Naibu Msaidizi maalum Haiti

Kusikiliza / DSRSG Peter de Clercq

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amemteua Bwana Peter de Clercq wa Uholanzi kuwa Naibu Msaidizi wake maalum katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Haiti, MINUSTAH, ambako pia atahudumu kama Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa, Mratibu wa misaada ya kibinadamu na Mwakilishi Mkaazi. Bwana de Clercq atamrithi Bwana Nigel Fisher wa [...]

12/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

MINUSMA yasaidia usafirishaji wa nyaraka za matokeo ya uchaguzi Mali

Kusikiliza / Nyaraka za uchaguzi ndani ya ndege

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kusimamia kurejea kwa utulivu nchini Mali, MINUSMA inasaidia mamlaka za uchaguzi nchini humo kuharakisha mchakato wa kuhesabu kura kufuatia awamu ya pili ya uchaguzi iliyofanyika Jumapili. MINUSMA imesema kuwa hakuna jambo kubwa lililojitokeza wakati wa upigaji kura ingawa mvua kubwa zilikwamisha kwa kiasi fulani upigaji kura kwenye sehemu nyingi [...]

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sera za nchi ziangazie vijana kwa maslahi yao na nchi zao: Balozi wa vijana

Kusikiliza / Vijana wakiwa kazini

Balozi wa Vijana katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania Raymond Maro katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa amesema upungufu wa sera mkakati kwa nchi zinazoendelea ndio unaosababisha vijana wengi kuhama na kutaka sera hizo ziwape fursa ya kunufaisha nchi zao.  (SAUTI RAYMOND)

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Katibu Mkuu ataja madhila yanayokumba wahamiaji vijana

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa ujumbe wake kwa siku ya kimataifa ya vijana Agosti 12 mwaka huu na kutaja baadhi ya sababu zinazofanywa vijana kuhama nchi zao. Ujumbe wa Bwana Ban umejikita kwenye mada hiyo kwa kuzingatia maudhui ya mwaka huu kwa siku hiyo ambayo ni Vijana na uhamiaji. (SAUTI YA [...]

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wahamiaji vijana bado wanafanya kazi zisizo na hadhi: ILO

Kusikiliza / ryder

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya vijana hii leo, shirika la kazi duniani, ILO limemulika ujumbe wa siku hii kuhusu vijana na uhamiaji na kusema kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohama nchi zao kwenda kusaka maisha bora ughaibuni hutumbukia kwenye ajira zisizo na hadhi, za mateso huku wakipata ujira mdogo.  Mkurugenzi Mkuu wa ILO Guy [...]

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ataka Misri kutumia njia mpya katika kupata suluhu la kisiasa nchini humo

Kusikiliza / Mji wa Cairo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ban Ki Moon ameelezea hisia zake kutokana na jinsi hali ilivyo nchini Misri na kutoa wito kwa pande zote husika kuachana na uchokozi na kutumia njia ziingine kuhakikisha kuwepo kwa mapatano. Kupitia kwa msemaji wake Ban amesema kuwa ataunga mkono harakati zote zisizoshirikisha ghasia zenye lengo la kutimiza mahitaji [...]

12/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

FAO yazindua chombo cha kisasa kukusanya takwimu za misitu nchini Uganda

Kusikiliza / Msitu wa Mabira nchini Uganda

Shirika la Chakula na Kilimo duniani, FAO limeanzisha utaratibu mpya nchini Uganda ambao utaiwezesha nchi hiyo kuwa na takwimu sahihi kuhusiana na mazao ya misitu na ardhi. FAO imezindua teknolojia ramani ambayo inatajwa kuwa mkombozi waUgandakutokana na wananchi wake wengi kutegemea mazao yatokanayo ya msitu. Alice Kariuki na taarifa kamili.   (RIPOTI YA ALICE KARIUKI)  Teknolojia [...]

12/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Takriban watu 150,000 waathiriwa na mafuriko nchini Sudan

Kusikiliza / Athari za mafuriko nchini Sudan

Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchiniSudanimesema ina wasiwasi na mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa kwenye majimbo manane nchini Sudan kufuatia mvua kubwa ambazo zimenyesha kuanzia mapema mwezi huu. Assumpta Massoi na taarifa kamili. (RIPOTI YA ASSUMPTA MASSOI) Zaidi ya watu 150,000 tayari wameathiriwa na mafuriko  hayo nchini Sudan, hiyo ni kwa mujibu wa mashirika kadha likiwepo la mwezi [...]

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mitandao ya kijamii yachochoea kwa kasi kuenea kwa hotuba za chuki ya misingi ya ubaguzi wa rangi : UM

Kusikiliza / Flavia Pansieri, Naibu Kamishna Mkuu wa Tume ya Haki za  binadamu ya UM

Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeonyesha wasiwasi wake juu ya kasi kubwa hivi sasa ya ambamo kwayo mitandao ya kijamii pamoja na intaneti inasambaza hotuba zenye chuki ya misingi ya ubaguzi wa rangi. Joseph Msami na taarifa kamili. (Taarifa ya Joseph Msami) Akizungumza mwanzoni mwa kikao cha 83 cha kamati ya [...]

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Siku ya kimataifa ya vijana kila Agost 12 mwaka huu inawalenga wafanyakazi wahamiaji:IOM

Kusikiliza / Vijana wakiwa katika kazi

Idadi kubwa ya vijana duniani huondoka katika nchi zao za asili na kwenda uhamishoni kwa ajili ya kusaka ajira na elimu bora.  Ilikuwawezesha vijana hao kufanikiwa kwenye ndoto zao, shirika la kimataifa linalohusika na uhamiaji IOM linaadhimisha siku ya kimataifa ya vijana kwa kauli mbiu isemayo " Uhamiaji kwa vijana:kuelekea kwenye maendeleo. George Njogopa na [...]

12/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031