Nyumbani » 09/08/2013 Entries posted on “Agosti 9th, 2013”

Siku ya watu asili yaadhimishwa Burundi

Kusikiliza / Watu asili Maziwa Makuu

Agosti 9 ulimwengu huadhimisha siku ya kimataifa ya watu asili. Watu hao wamekuwa wanakumbana na changamoto nyingi za kuwa staawisha katika jamii wanamoishi na kukubalika kama wananchi katika mataifa yao asili. Moja mwa sehemu ambako wanashuhudiwa kwa wingi watu hao asili ni katika eneo la maziwa makuu.Wawakilishi wa jamii hizo za watu asili wamekutana wiki [...]

09/08/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

UNAMA yalaani shambulizi lililolenga gavana wa kike nchini Afghanistan

Kusikiliza / Nicholas haysom ziarani Afghanistan

Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi la siku ya Jumatano nchini Afghanistan ambapo Seneta Rouh Gul Khairzad na watu kadha wa familia walijeruhiwa shambulizi ambalo pia lilisababisha kifo cha mwanae wa kike wa umri wa miaka minane na dereva wake. Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan UNAMA unasema kuwa Bi Khairzad na familia yake waliviziwa [...]

09/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Awamu ya pili ya uchaguzi Mali Jumapili, MINUSMA kutoa usaidizi

Kusikiliza / Vifaa vya uchaguzi kwa ajili ya upigaji kura tarehe 11 Agosti 2013 nchini Mali

Wakati raia wa Mali Jumapili ya tarehe 11 mwezi huu watapiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi wa Rais, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuweka utulivu nchini humo, MINUSMA imesema inasaidia mamlaka za Taifa za uchaguzi kusambaza vifaa kwenye maeneo ya ndani zaidi Kaskazini mwa nchi. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq [...]

09/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ajali ya ndege Somalia, Muungano wa Afrika watuma rambirambi

Kusikiliza / balozi Annadif atoa rambirambi

taarifamaalumajalisomalia-13Watu wanne wameripotiwa kuaga dunia baada ya ndege ya jeshi laEthiopiakuangkua ilipokuwa ikitua kwenye uwanja wa ndege mjini Mogadishi nchiniSomalia. Watu wengine wawili walijeruhiwa kwenye ajali hiyo amabapoi naripotiwa kuwa ndege hiyo ilishika moto mara baada ya kuanguka lakini wazima moto waliokuwa karibuni wakaizima na kuwaokoa manusura wawili. Kile ambacho kilisababisha kuanguka kwa ndege hiyo [...]

09/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNEP kuangazia mchango wa jamii za asili kuelekea kwenye uchumi usioathiri mazingira

Kusikiliza / Achim Steiner

Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya jamii za asili Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa limeangazia mchango unaotoka kwa jamii za kiasili ambazo sasa zinawakilisha asilia tano ya watu wote dunaini katika kutimiza maendeleo endelevu. Jason Nyakundi na taarifa kamili. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Mkurugenzi mkuu wa shirika la mazingira la Umoja wa [...]

09/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF yahaha kuepusha udumavu na utapiamlo miongoni mwa watoto Nigeria

Kusikiliza / Utapiamlo Nigeria

Takribani asilimia 36 ya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano nchiniNigeriawana utapiamlo uliokithiri au wamedumaa. Ijapokuwa wakina mama wamekuwa wakihamasishwa kunyonyesha watoto waokamanjia mojawapo ya kukabiliana na lishe duni, hali ya afya ya mtoto inadorora tu punde akiacha kunyonya na kuanza kupatiwa mlo wa nyongeza. Kulikoni? Ungana na Assumpta Massoi kwenye ripoti hii.

09/08/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa wasikitishwa na kurejea kwa sheria ya hukumu ya kifo Viet Nam

Kusikiliza / Cecile Pouilly

Ofisi ya Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa imeelezea kusikitishwa na kurejeshwa kwa utekelezaji wa hukumu ya kifo nchini Viet Nam kwa kuwanyonga mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 27 mjini Hanoi Agosti 6, kwa kumdunga sindano ya sumu. Msemaji wa ofisi hiyo, Cecil Pouly amesema, mauaji hayo ambayo yamefanyika miezi 18 tangu mauaji [...]

09/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Uhuru wa kujumuika nchini Uganda ulindwe: wataalam wa UM

Margaret Sekaggya, Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa

Wataalam watatu huru wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa wameelezea kusikitishwa na kupitishwa kwa mswada wa sheria ya kudhibiti mikutano ya hadhara nchini Uganda, ambayo inapinga mikutano ya watu zaidi ya watatu bila idhini ya polisi, na ambayo pia inawapa mamlaka polisi kutumia bunduki wanaposimamia maandamano. Wataalam hao maalum, akiwemo mtaalam kuhusu uhuru [...]

09/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Colombia ilizalisha kiwango kidogo cha coka msimu wa mwaka 2012-Ripoti ya UM

Kusikiliza / Kilimo cha mmea wa Coca utumikao kutengeneza madawa ya kulevya aina ya cocaine

Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuhusiana na uzalishaji wa zao za Coca nchini Colombia ikiwa ni moja ya nchi zinazozalisha kwa wingi duniani, inaonyesha kuporomoka katika msimu wa mwaka 2012. Zao hilo ambalo pia huzalishwa kwa wingi katika nchi za Bolivia na Peru lilianguka kwa kiwango cha robo tatu kama ilivyobainishwa na ofisi ya [...]

09/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Marekani yaipiga jeki IOM ili kutekeleza mpango wa kuwakwamua wahamiaji Zimbabwe

Kusikiliza / Wahamiaji ambao ni raia wa Zimbabwe

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM nchini Zimbabwe limepokea kiasi cha dola za Marekani 750,000 ili kutekeleza majukumu yake ikiwemo yale yanayohusika na hali ya ubinadamu pamoja na kulinda ustawi wa makundi ya wahamiaji. Fedha hizo zilizotolewa na serikali ya Marekani kupitia idara yake ya usaidizi wa majanga kwa nchi za nje zitasaidia kuwakimu makundi [...]

09/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

IOM yatoa msaada zaidi kwa wakimbizi wa Syria

Kusikiliza / wakimbizi wa Syria wakipatiwa misaada

Shirika la la kimataifa la uhamiaji IOM limeendelea kutoa msaada kwa wakimbizi wa Syria ambapo hivi sasa linawasaidia wakimbizi wa ndani takribani elfu tano huko mashariki mwa nchi hiyo katika jimbo la Lattakia ambao waliwasili Agosti 5 kufuatia kushamiri kwa mapigano. Wakimbizi hao wengi wao ni watoto, wanawake na wazee na wengi wao huwasili hapo wakiwa [...]

09/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bi Robinson asisitiza msimamo wake kuhusu amani DRC

Kusikiliza / Bi. Mary Robinson, Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa UM kwenye Maziwa Makuu

Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa UM kwenye nchi za Maziwa Makuu, Mary Robinson, amesema anaunga mkono kwa dhati azimio namba 2098 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Bi Robinson amesema kuwa azimiohiloni la wazi na linatoa nafasi nzuri ya kimataifa kuhakikisha amani na usalama wa DRC. Robinson amesema hayo akizungumza na Radio Okapi [...]

09/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Saudi Arabia yatoa mchango wake kwa jitihada za kupambana na ugaidi kwa UM

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon ametoa shukran zake nyingi zake kwa mfalme Abdullah bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia kwa mchango wake wa dola milioni 100 kwa jitihada za Umoja nwa Mataifa za kupambana na ugaidi. Kama mmoja wa waanzishaji wa Umoja wa Mataifa taifa la Saudi Arabia limeunga mkono [...]

09/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Huenda ngamia ndio wanaoambukiza virusi vya Corona: WHO

Kusikiliza / ngamia

Timu ya wanasayansi wa kimataifa imegundua kuwa huenda ngamia ndio wanaoambukiza wanadamu virusi hatari vya homa ya Corona, ambayo imewaathiri watu hasa katika ukanda wa Mashariki ya Kati. Hata hivyo, Shirika la Afya Duniani, WHO limesema kuwa ni mapema mno kutamatisha kuwa matokeo ya utafiti huo ni kamilifu kabisa.  Wanasayansi hao walichunguza sampuli za damu [...]

09/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mikataba ya kutetea haki za watu wa asili yamulikwa

Kusikiliza / Wamasai

"Tunapaswa kushirikiana kuimarisha ubia na kuhakikisha sera na vitendo vyovyote tunavyofanya vinaakisi maadili ya watu wa asili", ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya watu wa asili hii leo. Bwana Ban amesema watu wa asili wanawakilisha zaidi ya makundi tofauti Elfu Tano duniani kote [...]

09/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031