Nyumbani » 06/08/2013 Entries posted on “Agosti 6th, 2013”

Unesco yalaani mauaji ya mwandishi Ufilipino

Kusikiliza / Mwanahabari auwawa Ufilipino

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO Irina Bukova, amaelaani mauaji ya mwandishi, mpiga picha Mario Sy aliyepigwa risasi nyumbani kwake katika mji wa Santo Ufilipino Agosti 1 Katika taarifa yake Bi Bukova amesema inastua kuona waandishi watatu wanauwawa kwa kupishana siku mbili na kuzitaka mamlaka husika kuwafikisha [...]

06/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban azungumza kwa simu na waziri Nabil Fahmy wa Misri

Kusikiliza / Waandamanaji nchini Misri

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Nabil Fahmy kuhusu hali ya mpito nchini humo. Katika mazungumzo hayo, Bwana Ban amesisitiza kwamba harakati za kisiasa jumuishi na za amani ndiyo njia pekee ya kuweka mustakhbali unaofaa kwa taifa hilo. Ametaka [...]

06/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban awapongeza manusura wa Hiroshima na Nagasaki kwa kusambaza ujumbe wa madhara ya mabomu ya atomiki

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametuma salamu zake kwenye mkutano wa kimataifa dhidi ya mabomu ya atomiki huko Geneva, Uswisi na kupongeza manusura wa mashambulio ya mabomu ya atomiki huko Nagasaki na Hiroshim ambao amesema kwa miaka Sitini na Minane wamekuwa wakipaza sauti juu ya madhara ya mabomu hayo.Bwana Ban amesema [...]

06/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili ushirikiano baina ya UM na jumuiya za kikanda

Kusikiliza / Ban Ki-moon na rais Christina Fernández de Kirchner

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadilia suala la ushirikiano baina ya Umoja wa Mataifa na jumuiya za kikanda. Kikao cha leo kimesimamiwa na rais wa Argentina Christina Fernández de Kirchner, na kuhutubiwa na Katibu Mkuu Ban Ki-Moon. Joshua Mmali ana maelezo zaidi (TAARIFA YA JOSHUA MMALI) Jumuiya na mashirika ya kikanda [...]

06/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Pakistan na Afghanistan zaathirika na mvua nzito na mafuriko: OCHA

Kusikiliza / Mafuriko yashuhudiwa Pakistana na Afghanistan

Mvua nzito nchini Pakistan zimesababisha vifo vya watu wapatao 58 na na majeruhi kwa watu 30, kwa mujibu wa mamlaka ya udhibiti wa majanga nchini humo. Wakati huo huo, vijiji 13 vimeathiriwa na mafuriko nchini Afghanistan. George Njogopa na taarifa kamili: (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Mvua hiyo pia imeleta uharibifu mkubwa katika maeneo mengine ikiwemo [...]

06/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM watilia shaka ustawi wa watoto walioko kwenye makambi nchini Syria

Kusikiliza / Watoto kambini

Umoja wa Mataifa umesema kuwa makambi mengi yanayohifadhi watoto nchini Syria yanatia shaka kwani mengi yao hayana ulinzi huku wengine wakilazimika kujiingiza kwenye kazi ili kuzisaidia familia zao.Kwa mujibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa, baadhi ya watoto wa kike wanaolewa wakiwa katika umri mdogo na wengine wanachukuliwa na kuingizwa kwenye makambi ya kijeshi na [...]

06/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji nchini Yemen-UNHCR

Kusikiliza / Kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji Yemen,UNHCR

  Kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji kutoka eneo la Pembe ya Afrika wanaomiminika nchini Yemen katika kile kinachoelezwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR ni kitisho kinachoendelea kusalia kwenye eneo hilo.Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, jumla ya wakimbizi waliosajiliwa walifikia zaidi 46,000 na idadi hiyo ilitazamiwa kuongezeka kadri siku [...]

06/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yakaribisha utiwaji saini sheria ya usafirishaji binadamu Afrika Kusini

Kusikiliza / Jumbe Omari Jumbe

Shirika la kimataifa la uhamijai IOM, limepongeza na kukaribisha hatua ya serikali ya Afrika Kusini kusaini muswada wa sheria ya  kupambana na usafirishaji haramu wa binadamau na kuwa sheria. Sheria hiyo mpya rasmi imetiwa saini mapema wiki hii na Rais Jacob Zuma. IOM inasema kufuatia hatua hiyo itawekeza kwa kutoa mafunzo kwa maafisa wa serikali [...]

06/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya haki za binadamu yashangazwa na sheria nchini Bahrain

Kusikiliza / Maandamano, Bahrain

  Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imetiwa wasi wasi na mapendekezo yaliyotolewa na bunge la Bahrain waki wakati wa kikao kilichoandaliwa kujadili kuwaongezea adabu wale wanaohusika kwenye ugaidi. Mapendekezo hayo yanahusu kuongezwa kwa kifungo au kutupiliwa mbali kwa uraia kwa yeyote ambaye atapatikana na makosa ya kuhusika kwenye ugaidi mapendekezo ambayo [...]

06/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNHCR yaiomba serikali ya Sudan kutoa vibali kwa wafanyikazi wake Darfur

Kusikiliza / unhcr darfur

      Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR, limetoa wito kwa serikali ya  Sudan itoe vibali vya kufanya kazi kwa wafanyakazi wake 20 wa kimataifa katika jimbo la Darfur, ambao waliamrishwa kuondoka nchini humo mwanzoni mwa mwezi Julai. Alice Kariki na taarifa kamili.   (RIPOTI YA ALICE KARIUKI) UNHCR inasema kuwa [...]

06/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Msaada waanza kuwafikia waathirika wa mafuriko Nicaragua: WFP

Kusikiliza / WFP yawasilisha msaada Nicaragua

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP na serikali ya Nicaragua Ijumaa iliyopita wamepeleka awamu ya pili ya msaada wa chakula ili kuzisaidia familia zilizoathirika na mvua na mafuriko nchiniNicaragua.Watu wengi walioathirika na mvua na mafuriko hayo ni jamii 25 za watu wa asili kutoka kabila la Miskito wanaoishi jimbo lililojitenga la Atlantic Kaskazini la [...]

06/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mswada wa msamaha Thailand waweza kuwaachilia wahalifu wakubwa:UM

Kusikiliza / human rights council

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa ina hofia kwamba mswada wa sheria ya msamaha ambao unajadiliwa bungeni wiki hii nchini Thailand. Ofisi hiyo inasema endapo utapitishwa na kuwa sheria huenda ukawaachilia watu wenye makosa makubwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika wakati wa ghasia za kisiasa Aprili na Mai 2010. Wakati [...]

06/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Jitihada zifanyike yaliyotokea Hiroshima na Nagasaki yasitokee tena

Kusikiliza / Ni miaka 68 leo

Mkutano wa kimataifa wa kuzuia kuenea kwa silaha duniani umefanyika hii leo huko Geneva, Uswisi ambapo pamoja na kujadili uundwaji wa kikundi cha kuandaa mpango kazi, umekumbuka madhila ya mashambulio ya mabomu ya atomiki huko Hiroshima na Nagasaki nchini Japan miaka Sitini na Minane iliyopita na kutaka mashambulio ya aina hiyo yasitokee tena. Akizungumza kwenye [...]

06/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031