Nyumbani » 05/08/2013 Entries posted on “Agosti 5th, 2013”

Baraza la usalama lalaani vikali shambulio la Jalalabad

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Wajumbe wa baraza la usalama wamelaani vikali shambulio la kujitoa muhanga  lililofanyika Jumapili Agosti 3 karibu na ubalozi wa India mjini Jalalabad,Afghanistan. Shambulio hilo limesababisha vifo kwa raia na kujeruhi watu wengine, wengi wakiwa ni watoto. Askari wa usalama wa Afghanistani ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo. Wajumbe watoa salamu zao za rambirambi kwa [...]

05/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

China yaongoza katika matumizi ya raslimali duniani

Kusikiliza / Achim Steiner

Taifa la China limetajwa kupiga hatua mbele ya mataifa mengine duniani katika matumizi ya bidhaa hali ambayo imechangia kuwepa kwa changamoto za kimazingira lakini hata hivyo imesalia kuwa mtumiaji mkubwa zaidi wa raslimali dunaini. Jason Nyakundi na taarifa zaidi. (Taarifa ya Jason) Kulingana na ripoti mpya kutoka kwa Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa [...]

05/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mawasiliano changamoto kubwa Tanzania ikielimisha uma kuhusu unyonyeshaji:Dk Rashid

Kusikiliza / mtoto akinyonya

  Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya kilele cha wiki ya kimataifa ya kunyonyesha, nchi mbalimbali zimetumia wiki hii katika kuelimisha uma na kutathimini hali ya unyonyeshaji wa watoto wadogo ambao kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, wanapaswa kunyonyeshwa kwa miezi sita ya mwanzo bila kupewa lishe nyingine.  NchiniTanzaniazoezi [...]

05/08/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Wataalam wa haki za binadamu wapaazia sauti hali CAR

Kusikiliza / Bendera ya Umoja wa Mataifa

Kundi la wataalam huru wa Umoja wa Mataifa, leo limepazia sauti hali ya haki za binadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, likionya kuwa utawala wa kisheria ni kama haupo, na kwamba utumiaji vibaya mamlaka na kutowajibika ni jambo la kawaida nchini humo.Wataalam hao wametoa wito kwa mamlaka za mpito nchini humo kuchukua hatua mara [...]

05/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tunafuatilia mchakato wa kufikia malengo ya haki za binadamu:Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

Wakati kilele cha malengo ya maendeleo ya milenia kikijongea Umoja wa Mataifa na washirika wake wanajadili mkakati ambao utafanikisha nia yao.Mkakati huo ni ajenda baada ya 2015 ambayo pia bado ina lengo la kutokomeza umasikini uliokithiri na kuweka suala la maendeleo endelevu kuwa kitovu cha mabadiliko na wana lengo la kufikia azima hiyo ifikapo 2030. [...]

05/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

AMISOM yakashifu mashambuliz mjini Mogadishu

Kusikiliza / AMISOM

Mjumbe maalum wa tume ya Muungano wa Afrika nchini Somalia (SRCC) balozi Mahamat Saleh Annadif amekashifu vikali misururu ya mashambulizi dhidi ya raia yaliyoshuhudiwa hiyo jana mjini Mogadishu nchini Somalia mashambulizi ambayo yanakisiwa kuendeshwa na kundi la Al-Shabaab. Watu kadha waliripotiwa kujeruhiwa kwenye mashambulizi hayo yaliyolenga kambi ya wakimbizi wa ndani na taa za barabarani [...]

05/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

MONUSCO kutobadili msimamo kuhusu upokonyaji silaha

Kusikiliza / monusco 1

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCU umesema haujabadilisha msimamo kuhusu uamuzi wake wa kufuwafuatilia wote walio na silaha haramu mjini Goma na maeneo jirani huko Kivu Kaskazini kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari. Msemaji wa MONUSCO, Luteni kanali Felix Basse ametoa kauli hiyo [...]

05/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mawasiliano changamoto ya unyonyeshaji Tanzania: Dk Rashid

Kusikiliza / Mama anyonyesha mwanawe

Wakati wiki ya kimataifa ya unyonyeshaji ikiendelea, nchini Tanzania mkakati wa elimu kwa uma unakabiliwa na changamoto ya mawasiliano katika kuwafikia walengwa wakuu, ambao ni wanawake wanaonyonyesha. Katika mahojiano maalum na idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa, naibu waziri wa wizara ya afya wa nchi hiyo Dk Seif Rashid amesema wizara ina [...]

05/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mustakhbali wa vijana wajadiliwa Umoja wa Mataifa

Kusikiliza / youth global

Umoja wa Mataifa na ulimwengu mzima unajiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana mnamo Agosti 12, na leo mdahalo maalum umefanyika kuhusu mikakati ya Umoja wa Mataifa inayohusiana na masuala ya vijana, kama sehemu ya maadhimisho ya siku hiyo. Joshua Mmali amekuwa akiufuatilia. (TAARIFA YA JOSHUA)     Mdahalo wa leo umewajumuisha vijana [...]

05/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Punda, baiskeli vyatumika kubeba vilipukaji huko Afghanistan: UM

Kusikiliza / Kevin Kennedy

Kaimu msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeongoza Idara ya Ulinzi na Usalama Kevin Kennedy amesema hali ya maisha ya kila siku huko Afghanistani ni ya hofu siyo tu kwa wananchi bali pia kwa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa ambao kila uchwao hukutana na madhila yanayohatarisha usalama wao. Taarifa ya Alice Kariuki inafafanua [...]

05/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wataalamu wajadiliana kuhusu umuhimu wa kuwa na sera zinazoangazia sayansi na teknolojia

Kusikiliza / Mkutano wa UNCTAD

Jopo la wataalamu waliokutana hukoGenevakatika mkutano uliandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la UNCTAD, limesisitiza haja ya kuwa sera zinazoangazia maeneokamasayansi, teknolojia na ubunifu kwa kusema kuwa ni muhimu kwa ajili ya kusuma mbele maendeleo.Aidha wataalamu hao wamesema kuwa suala la utungwaji wa sera na kuzitekeleza inasalia kuwa changamoto kubwa inayowakabili watunga sera. George [...]

05/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNAMA yakaribisha uteuzi wa wajumbe wa tume huru ya Uchaguzi

Kusikiliza / UNAMA

Kamishna ya Usaidizi ya Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan UNAMA, umesema kuwa umepokea kwa matumaini makubwa taarifa za kuteuliwa kwa wajumbe wa tume huru ya uchaguzi na kusema kuwa na kuhaidi kuendelea kufanya nayo kazi hasa kipindi hicho ambacho taifahilolinajiandaa kwa uchaguzi mkuu. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, UNAMA imesema kuwa kuteuliwa kwa [...]

05/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930