Nyumbani » 02/08/2013 Entries posted on “Agosti 2nd, 2013”

Maisha ya wanawake na watoto huko Homs, Syria hatarini: UNICEF

Kusikiliza / Mama na mwanae

Hali ya wanawake na watoto kwenye mji wa Homs nchini Syria inazorota kwa kasi ambapo raia Laki Nne kwenye wilaya ya Al Waer wamepoteza makazi yao na kulazimika kuishi kwenye mapagala, shule au majengo ya umma. Hiyo ni kauli ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,UNICEFAnthonyLakealiyoitoa mjiniNew York, Marekani akieleza [...]

02/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban awasihi watu wa Zimbabwe wadumishe amani baada ya uchaguzi

Kusikiliza / bendera ya Zimbabwe

   Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amesema amekuwa akifuatilia harakati za uchaguzi nchini Zimbabwe kwa karibu, na kuwapongeza watu wa taifa hilo kwa kudumisha amani kwenye siku ya uchaguzi na kwa kutekeleza haki yao ya kidemokrasia. Wakati huo huo, amesisitiza kuwa manung'uniko yaliyojitokeza kutokana na jinsi uchaguzi huo ulivyoendeshwa yanatakiwa kushughulikiwa kupitia [...]

02/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakati wa kuchukua hatua dhidi ya ukimwi ni sasa:Charlize Theron: Global Fund

Kusikiliza / Charlize Theron

Mwanaharakati wa vita dhidi ya ukimwi na mcheza csinema maarufu Charlize Theron leo amekutana na mabalozi vijana ambao wanachukuliwa kama mfano kwa vijana wenzao na kuelimisha jinsi gain ya kuzuia kusambaa kwa virusi vya HIV katika jamii zao nchini Afrika ya Kusini. Programu ya mabalozi vijana inawaelimisha vijana wavulana kwa wasichana wa umri wa kati [...]

02/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mlo wa mchana shuleni uliotolewa na WFP umebadili maisha yangu: Peter

Kusikiliza / Peter Mumo, Mnufaika wa mpango wa mlo wa mchana shuleni

Mpango wa utoaji wa mlo wa mchana shuleni umekuwa ukitekelezwa katika nchi mbali mbali duniani, miongoni mwa nchi hizo ni Kenya ambapo imeelezwa kuwa utoaji mlo wa mchana shuleni umesababisha watoto siyo tu kupenda kwenda shule bali pia umewezesha kuongeza uelewa katika masomo. Miongoni mwa wanufaika wa mpango huo ni Peter Mumo ambaye katika makala [...]

02/08/2013 | Jamii: Makala za wiki, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Ban amteua Nickolay Mladenov wa Bulgaria kuwa Mwakilishi wake Maalum Iraq

Kusikiliza / Ban amteua Nickolay Mladenov

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, leo ametangaza kuteuliwa kwa Bwana Nickolay Mladenov wa Bulgaria kama Mwakilishi wake Maalum kuhusu Iraq, na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuisaidia Iraq, UNAMI.  Bwana Mladenov ataichukua nafasi ya Bwana Martin Kobler wa Ujerumani, ambaye Katibu Mkuu amemshukuru kwa huduma yake yenye ukakamavu na [...]

02/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Katibu Mkuu Amteua Ibrahim Thiaw wa Mauriatania kama Naibu Mkurugenzi Mkuu, UNEP

Kusikiliza / Ibrahim Thiaw

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amemteua Ibrahim Thiaw wa Mauritania kuwa Naibu Msaidizi wake na wakati huo huo kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shrika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEPBwana Thiaw anachukua nafasi ya Amina Mohamed wa Kenya, ambaye Ban amemshukuru kwa mchango wake na huduma kwa UNEP. Akiwa na uzoefu [...]

02/08/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mpanda milima afuturisha wasiojiweza na kutambua mchango wa WFP

Kusikiliza / Amelie Zegmout

Akiwa amebobea kwenye shughuli za upandaji milima pamoja na shughuli za usamaria mwema, Bi Amelie Zegmout, amechukua fursa ya pekee kwa kuwakumbuka wale wasiojiweza kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani kwa kuandaa futari na kuwafariji wale wasiojiweza.Amelie ambaye amekuwa akiishi Dubai kwa miaka 15 sasa anasema kuwa suala la usamaria mwema ni jambo linalopaswa kutekelezwa [...]

02/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Maelfu ya watoto wakimbia ghasia mashariki mwa DRC na kuingia Uganda:UNICEF

Kusikiliza / Watoto waliobeba maji

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF linasema kuwa maelfu ya watoto wamekimbia ghasia ambazo zimeshuhudiwa hivi majuzi karibu na mji wa Kamango mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo DRC .Jason Nyakundi na taarifa zaidi. (PKG YA JASON NYAKUNDI) UNICEF inasema kuwa zaidi ya watoto 37,000 wamekimbilia usalama upande wa mpaka wa Uganda [...]

02/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Taasisi za dola Jamhuri ya AFrika ya kati zaporomoka

Kusikiliza / Wananachi wa CAR

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inaelezwa kuwa taasisi za dola ziko mbioni kuporomoka na mamlaka thabiti ya dola kudorora. Hayo ni kwa mujibu wa Naibu Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu, Ivan Šimonović. George Njogopa anaripoti. (TAARIFA YA GEORGE NJOGOPA) Šimonović amesema kuwa mamlaka  nyingi za kidola [...]

02/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Pillay ataka madai ya kuuawa kwa wanajeshi wa Syria kufanyiwa uchunguzi

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishina mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay amesema kuwa madai kuwa makundi ya upinzani nchini Syria yaliwaua wanajeshi wa serikali waliokamtwa wakati wa mapigano eneo la Khan Al-Assal mwezi uliopita ni ya kushangaza. Alice kariuki na taarifa kamili (TAARIFA YA ALICE KARIUKI) Picha za video zilizonaswa na vikosi vya upinzani [...]

02/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM katika hatua za mwisho za kununua ndege zisizo na rubani zitakazotumika DRC

Kusikiliza / UM kununua ndege zitakazotumika DRC kwa ajili ya ulinzi

Idara ya operesheni za ulinzi wa amani katika Umoja wa Mataifa imethibitisha kuwa imefikia hatua ya mwisho katika harakati za kuagiza ndege zinazoruka bila rubani kwa ajili ya kujaribiwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, MONUSCO katika ulinzi wa raia. Taarifa zaidi na Joseph Msami. (TAARIFA YA JOSEPH MSAMI) Ndege [...]

02/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mtaalamu wa UM ataka Belarus imwachilie Ales Bialiatski

Kusikiliza / Miklós Haraszti

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Belarus, Miklós Haraszti, ameitaka serikali ya jamhuri hiyo kumuachilia mara moja na bila masharti mpigania haki za binadamu Ales Bialiatski. Kwa mujibu wa mwakilishi huyo kushikiliwa kwa bwana Bialiatski ni ishara ya ukandamizaji wa watetezi wa haki za binadamu. Miaka miwili iliyopita [...]

02/08/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031