Nyumbani » 01/08/2013 Entries posted on “Agosti 1st, 2013”

Afya ya mama na mtoto kuimarika unyonyeshaji ukizingatiwa

Kusikiliza / Mama akinyonyesha

  Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji yameanza leo ambapo Shirika la kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF linahimiza unyonyeshaji watoto kwa afya zao na mama hususani katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo.Ungana na Jason Nyakundi katika makala ifuatayo inayomulika swala la unyonyeshaji nchini Kenya.

01/08/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Ban amteua Specioza Wandira-Kazibwe wa Uganda kuwa mwakilishi wake kuhusu HIV/UKIMWI Afrika

Kusikiliza / Dr. Specioza Wandira-Kazibwe

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amemteua Dr.Specioza Wandira-Kazibwe wa Uganda kuwa mwakilishi wake maalum kuhusu masuala ya HIV na Ukimwi barani Afrika. Dkt. Kazibwe atamrithi Dkt. Asha-Rose Migiro wa Tanzania, ambaye Katibu Mkuu amemshukuru kwa huduma yake ya kusifika kwenye Umoja wa Mataifa na kujitolea kwake kama mjumbe thabiti wa juhudi [...]

01/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Viongozi kukutana kujadili shughuli za AMISOM nchini Somalia.

Kusikiliza / Jeshi la AMISOM

Marais sita kutoka  mataiafa yanayochangia wanajeshi nchini Somalia chini ya kikosi cha AMISOM  wanakutana mjini Kampala Uganda mwishoni mwa wiki hii kwa kikao cha dharura kuzungumzia  jitihada zonazoendelea za kukabilina na kundi la wanamgambo wa al Shabaab.Mkutano huo ambao utaongozwa na rais wa Uganda Yoweri Museveni unajiri baada ya madai kutoka kwa utawala mpya nchini [...]

01/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Msaada wa dharura waombwa kwa tiba ya wapalestina watano

Kusikiliza / UNRWA

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada kwa wakimbizi wa kipalestina, UNRWA limetoa ombi maalum wakati wa mfungo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ya kusaidia kutoa fursa maalum ya maisha bora kwa wapalestina watano huko Lebanon ambao msaada wa dharura wa upasuaji kutokana na hali ya kiafya waliyonayo. George Njogopa na taarifa kamili. (TAARIFA [...]

01/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ulemavu siyo sababu ya kushindwa kujishugulisha,mkimbizi atoa mwanga wa matumaini

Kusikiliza / Adam Mugisho

Raia mmoja aliyekimbia mapigano katika Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na kuanzisha maisha ya ukimbizi katika nchi jirani yaUganda, ametuma ujumbe wa matumaini kwa kuanzisha ujasiliamali akishirikiana na wenzie kumi ikiwa ni muda mchache tu baada ya kuingia katika nchi ya uhamishoni.Adam Mugisho ambaye ni mlemavu wa miguu kutokana na tatizo la polio, amefungua duka [...]

01/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNMISS yakaribisha kutangazwa Baraza la Mawaziri Sudan Kusini

Kusikiliza / UNMISS

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini, UNMISS umekaribisha hatua ya kuteuliwa kwa baraza jipya la mawaziri nchini humo, ambalo limetangazwa hapo jana Julai 31. Joshua Mmali ana maelezo zaidi(TAARIFA YA JOSHUA) Kutangazwa kwa baraza jipya, ambalo ni dogo zaidi na lenye muundo ulorekebishwa, kunatoa nafasi mpya kwa serikali kutekeleza majukumu ya kipaumbele kwa ajili [...]

01/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Saa 48 kwa waasi Goma zatimia, silaha zasalimishwa:MONUSCO

Kusikiliza / Saa 48 za MONUSCO kwa waasi zimetimia

Kipindi cha saa 48 kilichotolewa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO kwa waasi na mtu yeyote mwenye silaha kusalimisha, kimetimia ambapo ujumbe huo umesema kuna kila dalili kuwa silaha zimesalimishwa. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Jumatano ya wiki hii kamanda mkuu wa MONUSCO Jenerali Carlos [...]

01/08/2013 | Jamii: Habari za wiki, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya Wairaq 1000 wameuawa mwezi Julai:UNAMI

Kusikiliza / Takwimu za maafa na majeruhi ya wairaq imetolewa:UNAMI

  Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa leo na mpango wa Umoja wa mataifa nchini Iraq UNAMI , jumla ya Wairaq 1057 wameuawa  na wengine 2326 kujeruhiwa katika vitendo vya kigaidi na ghasia kwa mwezi wa Julai.Wengi waliopoteza maisha ni raia ambao ni jumla ya 928 huku polisi 204 nao wakiaga dunia.Kwa upande wa majeruhi raia [...]

01/08/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Unyonyeshaji ndiyo njia ya bora zaidi ya kuokoa maisha ya mtoto:UNICEF

Kusikiliza / Wiki ya unyonyeshaji imeng'oa nanga hii leo

Huku wiki ya unyonyeshaji ikingo'a nanga hii leo Shirika la kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF linalichukua suala ya unyonyeshaji watoto kama moja ya njia bora zaidi ya kuokoa maisha ya mtoto. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya (Taarifa ya Grace) Watoto wanaonyonyeshwa ipasavyo wana uwezo wa kuishi mara 14 zaidi katika kipindi cha miezi sita [...]

01/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mswada wa sheria kuhusu bangi nchini Uruguay unasikitisha: INCB

Kusikiliza / INCB yaeleza wasiwasi kuhusu biashara ya bangi, Uruguay

Bodi ya Kimataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya, INCB, imeelezea wasiwasi wake kuhusu mswada wa sheria ya kuruhusu uuzaji wa bangi kwa sababu zisizo za kimatibabu nchiniUruguay. Bodi hiyo imesema sheria kama hiyo itapitishwa, itakwenda kinyume na mikataba ya kimataifa kuhusu udhibiti wa madawa ya kulevya, hususan ule wa 1961, ambaoUruguaypia ilitia saini. Bodi hiyo [...]

01/08/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930