WFP kulisha watu milioni tatu nchini Syria

Kusikiliza /

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limepanga kulisha hadi watu milioni 3 nchini Syria. Hata hivyo hali ya usalama inazidi kuwa mbaya hususan kwenye maeneo ya Homs na vitongoji vya mji wa Damascus ambapo watu milioni 2.4 wamefikiwa na misaada mwezi huu wa Julai.

WFP bado inahitaji zaidi ya dola milioni 763 hadi mwishoni mwa mwaka huu kuwasaidia Wasyria milioni saba million nne walio nchini Syria na wengine milioni tatu waliokimbilia mataifa jirani. WFP inasema kuwa usambazaji wa chakula umacheleweshwa kutoka na kutokwepo hali nzuri ya usalama barabarani maeneo ya Hasskeh, Idled, Deir-ez-Zor na sehemu za mji wa Damascus. Elizabeth Byrs ni msemaji wa WFP

(SAUTI YA ELISABETH BYRS)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2015
T N T K J M P
« apr    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031