Licha ya shambulio kamwe hatutarudi nyuma: Rais Kikwete

Kusikiliza /

Rais Kikwete aongoza wananchi kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa miili ya askari 7 waliofariki Darfur, Sudan

Nchini Tanzania hii leo imefanyika shughuli ya kitaifa ya kuaga miili ya askari saba wa kitanzania waliouawa kwenye shambulio huko Darfur nchini Sudan tarehe 13 mwezi huu. Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete aliongoza mamia ya waombolezaji kwenye shughuli hiyo iliyofanyika jijini Dar Es salaam huku akiwasihi walinda amani wa Tanzania kamwe wasirudi nyuma na wakati huo huo akitoa rambirambi kwa familia za wafiwa.

(SAUTI YA Rais KIKWETE)

Ripoti kamili kuhusu shughuli hiyo itapatikana kwenye ukurasa wetu.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2017
T N T K J M P
« dis    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031