Nyumbani » 27/07/2013 Entries posted on “Julai 27th, 2013”

Syria yakubaliana na UM kuhusu kuendesha uchunguzi wa silaha za kemikali

Kusikiliza / Sellstrom_

Mwakilishi Mkuu wa masuala ya kupokonya silaha katika Umoja wa Mataifa, Angela Kane na Mkuu wa tume ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi katika madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria Åke Sellström, wamekamilisha ziara ya siku mbili nchini humo. Wawakilishi hao wa Umoja wa Mataifa wamekuwa katika mji mkuu, Damascus mnamo Julai [...]

27/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban alaani vikali ongezeko la machafuko Misri

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amelaani vikali ongezeko la machafuko nchini Misri ambayo yamesababisha vifo vya makumi ya watu na mamia yaw engine kujeruhiwa, kufuatia maandamano mnamo Ijumaa na Jumamosi. Kwa mujibu wa taarifa ilotolewa na msemaji wake, Bwana Ban ametuma risala za rambi rambi kwa familia za wahanga na kuwatakia walojeruhiwa [...]

27/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031