Nyumbani » 26/07/2013 Entries posted on “Julai 26th, 2013”

IOM yakabiliwa na uhaba wa fedha

Kusikiliza / Mfanakazi wa IOM

Shirika la Uhamiaji duniani IOM linakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha jambo linalohataraisha kusimama kwa baadhi ya miradi inayofanywa na shirika hilo katika nchi mbali mbali ikiwemo ya kuwarudisha makwao wahamiaji, wakimbizi na kuwapatia huduma za kijamii. IOM inahitaji kiasi cha dola milioni mia mbili thelathini na tatu nukta mbili ili kutekeleza majukumu yake kikamilifu [...]

26/07/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Serikali ya Madagascar yatakiwa kupiga vita biashara ya ngono dhidi ya watoto

Kusikiliza / Najat Maalla M'jid

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa Najat Maalla M'jid ametaka serikali ya Madagascar kufanya juhudi na kumaliza biashara ya watoto kwenye ukahaba na kuwalinda  watoto wote na dhuluma zingine zikiwemo kuuzwa kwa watoto na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika.Bi Maalla M'jid alielezea hisia  zake kutokana na dhuluma hizo za biashara ya ngono kwa watoto na [...]

26/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya masomo ya utafsiri yafunguliwa Nairobi

Kusikiliza / Ofisi mpya yafunguliwa Nairobi, Kenya

Ufunguzi rasmi wa ofisi inayojulikana kama InZone yenye madhumuni ya kufundisha tafsiri ya lugha mbali mbali barani Afrika umefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Nairobi,Kenya.Mafunzo haya yanalenga wale wanaohudumu katika nchi ambazo zimekumbwa na vita, na athari zinazoletwa na hali hiyo. Kufunguliwa kwa ofisi hiyo kunasisitiza umuhimu unaopewa na Umoja wa Mataifa [...]

26/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uchaguzi Mali ufanyike kwa amani: Ban

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Wakati Mali inajiandaa kufanya uchaguzi wa Rais jumapili tarehe 28 mwezi huu, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa wito uchaguzi huo ufanyike kwa amani na uwazi. Bwana Ban ametaka pande zote husika kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unafanyika kwa kuzingatia kanuni huku akiwasihi wapiga kura nchini humo kutekeleza haki yao ya kidemokrasia ya [...]

26/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Msaidizi wa Ban kutembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kusikiliza / Ivan Šimonović

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu Ivan Šimonovic, anatazamia kuitembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati kuanzia Julai 29 hadi August 2 mwaka huu.Kwenye ziara yake hiyo, Simonovic atakutana na viongozi wa serikali ya mpito akiwemo Waziri Mkuu, Mkuu wa serikali ya mpito, mashirika ya kiraia na jumuiya za [...]

26/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi kutoka Syria wakamatwa nchini Misri

Kusikiliza / Wasyria wajiandikisha Misri, UNHCR

Kaskazini mwa Afrika nchini misri ambapo Takriban Wasyria 85 wamekamatwa na kufungwa na jeshi nchini Misri kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR.Jason Nyakundi na tarifa kamili. (TAARIFA YA JASON NYAKUNDI) Kati ya wale waliokamatwa ni watoto kadha na Wasyria ambao wameandikishwa na UNHCR nchini Misri. UNHCR inasema kuwa kuna upinzani [...]

26/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mamluki na makampuni ya ulinzi ya kibinafsi kujadili matumizi ya makumpuni kwenye shughuli za Umoja wa Mataifa

Kusikiliza / un logo

Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa linalohusika na matumizi ya mamluki linatarajiwa kujadili kutumika kwa makampuni ya kibinafsi ya kutoa ulinzi kwenye shughuli za amani za Umoja wa Mataifa na kwenye utoaji wa huduma za kibinadamu. Mkutano wa kujadili suala hilo utaandaliwa tarere 31 mwezi huu kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini [...]

26/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa wafungua ofisi ya masomo ya utafsiri huko Nairobi

Kusikiliza / INZONE

Ufunguzi rasmi wa ofisi inayojulikana kama InZone yenye madhumuni ya kufundisha tafsiri ya lugha mbali mbali barani Afrika umefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Nairobi, Kenya. Mafunzo haya yanalenga wale wanaohudumu katika nchi ambazo zimekumbwa na vita, na athari zinazoletwa na hali hiyo. Kufunguliwa kwa ofisi hiyo kunasisitiza umuhimu unaopewa na Umoja [...]

26/07/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Tanzania yachukua hatua za kukabiliana na ugonjwa wa homa ya ini

Kusikiliza / hepatitis

Ugonjwa wa ini ni miongoni mwa matatizo ambayo yanaendelea kuziandama nchi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo sasa zimeanzisha jitihada za kukabiliana nao kwa kutiwa shime na shirika la afya duniani WHO. Ugonjwa huu ambao kwa baadhi wanautambua kama ugonjwa wa manjano, unaelezewa na Umoja wa Mataifa kama " tatizo la kimya kimya" kwa [...]

26/07/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kampeni maalum yazinduliwa kutetea mashoga

Kusikiliza / Bi. Navi Pillay na Askofu Mkuu Desmond Tutu wakati wa uzinduzi wa kampeni

Ofisi ya tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imezindua kampeni ya kipeke ijulikanayo kama Huru na Sawa yenye lengo la kuelimisha umma juu ya haki sawa kwa mashoga, wasagaji na waliobadili jinsi zao. Uzinduzi huo umefanyika huko Cape Town, Afrika Kusini ambapo Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa NAvi [...]

26/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uingereza kupatia msaada wa fedha kituo cha kimataifa cha biashara

Kusikiliza / ITC

Uingereza imetangaza msaada wa zaidi ya dola Milioni Kumi kwa ajili ya kituo cha kimataifa cha biashara, ITC kwa lengo la kuboresha uwezo wa kibiashara kwa nchi zinazoendelea. Grace Kaneiya na maelezo zaidi. (Ripoti ya Grace) Kiasi hicho cha fedha ambacho kimepangwa kutumika kwa kipindi cha miaka mitatu, kitasaidia kufungua njia za kibishara kwa kuondosha vizingiti [...]

26/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto wanaathirika na vita DRC-UNICEF

Kusikiliza / Watoto wanathirika zaidi kufuatia mapigano, DRC

Mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, dhidi ya kundi la waasi wa M23 na ADF Nalu katika eneo la Kivu Kaskazini Kivu yana madhara ya moja kwa moja kwa watoto katika eneo hilo. George njogopa na taarifa kamili. (SAUTI YA GEORGE) Shirika la Umoja wa Mataifa la [...]

26/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mfumo wa kuomba hifadhi Ukraine unahitaji kuimarishwa:UNHCR

Kusikiliza / UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linasema mfumo wa kuomba hifadhi ya ukimbizi nchini Ukraine bado unahitaji kuimarishwa.UNHCR na serilkali ya Ukraine wanahitaji kutoa ulinzi bora zaidi dhidi ya waomba hifadhi ili wasirejeshwe kwa nguvu na pia kuimarisha mchakato wa kusikiliza kesi za kuomba hifadhi uwe unaoeleweka na ulio na usawa. Kutokana [...]

26/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Muafaka wa Australia-Papua New Guinea kwa waoomba hifadhi ni changamoto:UNHCR

Kusikiliza / Waomba hifadhi huwasili kwa boti

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limetathimini hatua zilizotangazwa na serikali ya Australia mwezi huu kuhusu kuwasili kwa boti waomba hifadhi nchini humo.UNHCR inasema inatambu kuwa hatua hizi zinachukuliwa dhidi ya ongezeko la watu wanaowasili kwa watu ambao wanadhulumiwa na wanatumia njia hatari ya bahari wakiwemo familia, watoto wasio na waangalizi na [...]

26/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya haki za binadamu yatiwa hofu na matamshi ya jeshi la Misri

Kusikiliza / Rupert Colville

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema inatiwa hofu na baadhi ya matamshi yaliyotolewa na jeshi la serikali ya Misri.Kwa mujibu wa ofisi hiyo jeshi linapaswa kuheshimu haki za watu za kuandamana na kulindwa kutokana na matumizi ya nguvu kupita kiasi. Kamishina mkuu wa haki za binadamu Navi Pillay ameunga mkono wito [...]

26/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031