Nyumbani » 24/07/2013 Entries posted on “Julai 24th, 2013”

Hakuna aliyekamatwa kufuatia shambulio dhidi ya askari wa Tanzania: Chambas

Kusikiliza / Mohammed Ibn Chambas, Mkuu wa UNAMID

Mkuu wa ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika, huko Darfur, UNAMID, Mohammed Ibn Chambas amesema hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya walinda amani Saba wa Tanzania tarehe 13 mwezi huu huko Kusini mwa Darfur. Akizungumza na waandishi wa habari mjini New York, Marekani baada ya [...]

24/07/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ujumbe wa kuchunguza silaha za kemikali wawasili Syria

Kusikiliza / Åke Sellström

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika upokonyaji silaha Angela Kane na Professor Åke Sellström,  ambaye ni mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika uchunguzi dhidi ya tuhuma za matumizi ya silaha za kemikali katika mzozo nchini Syria wamewasili leo Damascus nchini Syria.Akiongea na waandishi wa habari mjini New York msemaji wa Umoja wa Matifa [...]

24/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mmea wa quinoa unaweza kuchangia kutokomeza njaa: FAO

Kusikiliza / quinoa-1

Mmea wa quinoa unaweza kuchangia pakubwa katika kutokomeza njaa kwa sababu ya sifa zake za lishe na manufaa ya kiuchumi, limesema Shirika la Chakula na Kilimo, FAO. Katika muktadha huo, FAO imesema nchi za Argentina, Bolivia, Chile, Ecuador na Peru zipo katika nafasi nzuri zaidi ya kuendeleza ukuzaji wa quinoa, pamoja na thamani yake ya [...]

24/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNICEF yakwamua watoto kielimu Madagascar.

Kusikiliza / Watoto shuleni

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limepiga kambi nchini Madagascar kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya elimu ya msingi kwa watoto hususani walemavu. Ungana na Joseph Msami katik amakala ifuatayo kufahamu kile kinachojiri humo.

24/07/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili Iraq, Somalia na kusikiliza ripoti kuhusu Darfur

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili masuala kadhaa, yakiwemo Iraq, Somalia na mzozo wa Darfur nchini Sudan, ambapo limesikiliza pia ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu ujumbe wa pamoja wa Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa katika eneo la Darfur. Flora Nducha ana maelezo zaidi TAARIFA YA FLORA NDUCHA Akiwakilisha ripoti [...]

24/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wahamiaji wanne wafa maji Indonesia

Kusikiliza / Jumbe Omari Jumbe

Wahamiaji wanne wamekufa maji katika kisiwa cha Java kilichoko Indonesia Mashariki wakati wakisafiri kwa njia ya boti kutoka nchini humo kuelekea Australia katika harakati za kutafuta hifadhi. Majeruhi wengine katika ajali hiyo wanatibiwa katika kambi ya wakimbizi nchini Indonesia na idadi ya vifo huenda ikaongezeka kufuatia hisia kwamba abiria katika boti hiyo walikuwa zaidi ya [...]

24/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bangladesh yafichua siri ya kuboresha afya ya mwanamke na mtoto

Kusikiliza / Bangladesh

Bangladesh iko katika mwelekeo sahihi ya kupunguza vifo vya wajawazito na watoto kutokana na mkakati wake wa kuwekeza katika sekta ya afya ya umma licha ya kuwa na changamoto zingine za uchumi na mazingira. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Balozi Abdul Momen, mwakilishi wa kudumu wa Bangladesh katika Umoja wa Mataifa amewaeleza [...]

24/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Heko Baraza kuu kwa kuridhia siku ya choo duniani: Eliasson

Kusikiliza / Vyoo

Nafurahi ya kwamba nchi wanachama zimeridhia azimio la kutangaza rasmi tarehe 19 Novemba kuwa siku ya kimataifa ya choo duniani, ni kauli ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson aliyotoa punde baada ya kupitishwa kwa azimiohilomjiniNew Yorkhii leo. AmepongezaSingaporekwa kuchochea mpango huo na kusema kuwa utambuzi wa siku hiyo utaibua uelewa juu [...]

24/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNRWA yakagua madarasa shuleni eneo la mashariki ya kati

Kusikiliza / Watoto

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA limeendesha utafiti kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha York cha Uingereza kuhusu shughuli za darasani katika maneneo matano ambapo Shirika hilo linatoa huduma.Mapema mwezi Julai waakilishi kutoka  maeneo liliko UNRWA walikutana mjiniAmman kujadili matokeo ya utafiti huo na athari zake kwa mifumo ya elimu [...]

24/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

FAO yazindua vitabu vyake vya kwanza vya mtandao

Kusikiliza / Vitabu vya FAO sasa vitapatikana kwenye mtandao

Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa  FAO limezindua vitabu vyake vya kwanza vya mtandao vinavyoanganzia masuala kadha  kuhusu chakula , kilimo na vita dhidi ya njaa. Jason Nyakundi anaripoti(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Kwa sasa nakala za kwanza za vitabu hivyo vinapatikana bila malipo  kwenye wavuti wa Shirika la FAO. Nakala zingine zaidi [...]

24/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Biashara ya huduma duniani robo ya kwanza ya 2013, bara la Asia lachanua

Kusikiliza / statistics unctad

Toleo jipya la takwimu kuhusu biashara ya kimataifa katika sekta ya huduma kwa robo ya pili ya mwaka huu linaonyesha ongezeko la biashara hiyo kwa asilimia nne ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana ambapo bara la Asia na Oceania ndiyo yaliyopigia chepuo ongezeko hilo. Takwimu hizo za pamoja za Kamati ya biashara na maendeleo [...]

24/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO yasema virusi vya homa ya ini “ni tatizo la kimya kimya”

Kusikiliza / Siku ya Hepatitis ni Julai 28

Shirika la afya ulimwenguni WHO limezitaka serikali duniani kutilia uzito juu ya virusi aina tano ambavyo vinasabisha tatizo la manjano na baadaye kuathiri maini. Inaelezwa kwamba kiasi cha watu milioni 1.4 duniani kote hupoteza maisha  kila mwaka kutokana na tatizo hilo la maini Taarifa zadi na Grace Kaneiya (TAARIFA YA GRECE KANEIYA) Wataalamu wa afya [...]

24/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031