Nyumbani » 23/07/2013 Entries posted on “Julai 23rd, 2013”

Baraza la Usalama lakutana kuhusu hali Mashariki ya Kati na suala Palestina

Kusikiliza / Robert Serry akitoa taarifa yake mbele ya Baraza la Usalama la UM

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili hali Mashariki ya Kati likiwemo suala la Palestina. Joshua Mmali ana taarifa zaidi. Mratibu maalum wa harakati za amani Mashariki ya Kati ambaye pia ni mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu kwenye ukanda huo, Robert Serry, ameliambia Baraza la Usalama ya kwamba, wakati hali katika ukanda [...]

23/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yatiwa wasiwasi na na hali tete inayoendela kushuhudiwa mashariki mwa DRC

Kusikiliza / Idadi ya wakimbizi wanaoelekea Uganda inaongezeka:UNHCR

Baada ya majuma mawili ya mapigano kwenye mkoa wa kivu kaskazini , mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo hali ya raia katika eneo hilo inatia wasi wasi.Siku ya Jumapili sauti za mabomu na milio ya risasi vilikuwa vinasikika kwenye wilaya ya Bundibugyo iliyo magharibi mwa Uganda. Eneo hilo halifikiki kwa urahisi na mashirika ya [...]

23/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi wa Mali hawapo kwenye daftari za wapiga kura:

Kusikiliza / UNHCR inawasaidia wakimbizi wa Mali kupiga kura katika uchaguzi ujao

Wakati uchaguzi wa urais nchini Mali ukiwa umepangwa kufanyika mnamo Jumapili Julai 28, Shirika la Kuhudumia wakimbizi katika Umoja wa Mataifa, UNHCR, lina hofu kwamba idadi kubwa ya wakimbizi huenda wasipate nafasi ya kufurahia haki yao ya kidemokrasia. George Njogopa na taarifa kamiliKulingana na UNHCR pamoja na kwamba zaidi ya wakimbizi 19,000 walijiandikisha kupiga kura [...]

23/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ya ukame yaweza kusababisha uhamiaji, IOM yachukua hatua

Kusikiliza / Jumbe Omari Jumbe, msemaji wa IOM

Mapema mwaka huu visiwa vya Marshall huko kwenye bahari ya Pasifiki vilikumbwa na ukame mkubwa na kusababisha watu kutafuta mbinu mbadala za kupata chakula. Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM limechukua hatua kusaidia vyakula na vifaa vingine muhimu maelfu ya wakazi haokamanjia mojawapo ya kudhibiti uhamiaji wakati huu ambapo wananchi hao wanasubiri mavuno. Katika mahojiano [...]

23/07/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Mapigano mapya Darfur yawaacha watu 250,000 walolazimika kuhama bila chakula: WFP

Kusikiliza / Wakimbizi wa Darfur

Machafuko mapya katika jimbo la Darfur magharibi mwa Sudan yamewalazimu zaidi ya watu 250,000 kutoroka makwao na kuacha kila kitu nyuma tangu mwazoni mwa mwaka huu, kwa mujibu wa Shirika la Mpango wa Chakila Duniani, WFP. Alice Kariuki na taarifa kamili(RIPOTI YA ALICE KARIUKI) Machafuko  hayo ya yaliyodumu kwa miongo kadhaa, yanaripotiwa kuchukua sura mpya [...]

23/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF yafanikiwa kuwasilisha misaada muhimu kwa watoto huko Aleppo

Kusikiliza / UNICEF yawasilisha misaada Allepo

Hatimaye Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF na washirika wake wamefanikiwa kukamilisha usambazaji wa vifaa muhimu vya misaada kwa watoto na familia zao kwenye mji wa Aleppo, Kaskazini Magharibi mwa Syria unaokabiliwa na vuta ni kuvute ya mapigano kati ya serikali na waasi.Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Yoka Brandt ambaye alikuwepo eneo [...]

23/07/2013 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mabunge mengi hayana mamlaka ya kuidhinisha mikopo:IPU

Kusikiliza / ipu

Karibu asilimia 40 ya mabunge hayana mamlaka ya kuidhinisha mikopo inayoombwa na serikali kutoka kwa mashirika ya kifedha ya kimataifa kama vile Benki ya Dunia na Shirika la fedha duniani IMF kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chama cha kimtaifa cha wabunge na benki ya dunia. Wakati huo huo karibu theluthi mbili au asilimia 64 [...]

23/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP yaanzisha oparesheni ya kuwafikia waliokimbia makwao kutokana na ghasia nchini Sudan Kusini

Kusikiliza / wfp sudan

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limezindua oparesheni inayoshirikisha matumizi ya ndege aina ya helkopta katika kuwapelekea misaada ya chakula cha dharura maelfu ya watu ambao wamekimbia mapigano kwenye kaunti ya Pibor iliyo kwenye jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini. Mapigano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo yakiwemo mapigano mapya kati ya jamii [...]

23/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sera ya wakimbizi wa ndani Yemen yakaribishwa na UNHCR

Kusikiliza / UNHCR yaandikisha wakimbizi, Yemen(faili)

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limekaribisha hatua ya serikali ya Yemen ya kupitisha sera ya kitaifa kuhusu wakimbizi wa ndani.Serikali ya nchi hiyo imeidhinisha sera hiyo mwishoni mwa Juni . Sera hiyo ina lengo la kuwalinda Wayemen zaidi ya 500,000 ambao wamelazimika kuzikimbia nyumba zao katika miaka ya karibuni . Pia [...]

23/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Machafuko yanayoendelea mashariki mwa DR Congo yatia hofu

Kusikiliza / Wakimbizi wa DRC wanaokimbia machafuko

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema linatiwa mashaka na kuendelea kwa hali ya machafuko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Kwa mujibu wa UNHCR Jumapili iliyopita milipuko ya mabomu na milio ya risasi iliyokuwa ikirindima kutoka upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilisikika hadi kwenye eneo la mpkani la Mashariki [...]

23/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yapeleka msaada wa chakula visiwa vya Marshall

Kusikiliza / IOM yapeleka chakula visiwa vya Marshall(picha ya faili)

Visiwa vya Marshall  vimekumbwa na ukame mkali kwa muda mrefu,  hata hivyo japo hivi sasa mvua zinanyesha lakini chakula bado ni haba katika maeneo yaliyoathirika sana hususan yale ya kandokando na visiwa hivyo. Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kupeleka msaada wa chakula wa tani 45 kwa kaya 677 visiwani humo kwa njia ya [...]

23/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930