Nyumbani » 17/07/2013 Entries posted on “Julai 17th, 2013”

Kuwajumuisha watu wenye ulemavu ni muhimu: wanaharakati

Kusikiliza / Bangladesh_Disabled

Ikiwa dunia inataka kufanikiwa uwezo wake kamili , ni muhimu kuwajumuisha watu wote, wanaharakati wa haki za binadamu wamewaambiwa waandishi wa habari mjini New York jumatano. Wanaharakati hao wameyasema hayo wakati wakiongea kuhusu mkutano wa siku mbili uanoangazia utekelezaji zaidi wa mkataba wa mwaka 2008, unaohusu haki za watu weneye ulemavu. Balozi wa Kenya katika [...]

17/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WHO kutoa mwongozo kwa mahujaji kujilinda kutokana na homa ya Corona

Kusikiliza / coronavirus

Shirika la Afya Duniani, WHO limesema licha ya baadhi ya watu kuhoji usalama wa mahujaji watakaokwenda Saudia kwa ajili ya Hajj, shirika hilo halina mipango yoyote ya kutoa ilani ya kubana usafiri kwenda huko kwa sababu ya virusi vya homa ya Corona, au MERS-CoV, ingawa kila hujaji anatakiwa kuchukuwa hatua za kujilinda binafsi na kuwalinda [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tusiruhusu dini kutumiwa kueneza chuki na migawanyo: UNAOC

Kusikiliza / Rais wa baraza kuu Nassir Abdulaziz Al-Nasser

Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Ustaarabu katika Umoja wa Mataifa, UNAOC, Nassir Abdul Aziz Al-Nasser, ametoa wito dini zilindwe kutokana na watekaji wanaotaka kuzitumia kwa faida zao binafsi. Bwana Al-Nasser ameyasema hayo wakati wa mkutano wa marafiki wa Muungano wa Ustaarabu ya Umoja wa Mataifa leo mjini New York, akiongeza kuwa wanadamu wote wana maadili [...]

17/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Raia walindwe, misaada iwafikie: UM

Kusikiliza / Valerie Amos

Mkuu wa huduma za  misaada ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, OCHA Valerie Amos ameelezea kusikitishwa kwake na kuzorota kwa huduma za utoaji misaada ya dhadura katika eneo la Pibor huko Jonglei nchini Sudan Kusini ambapo inakadiriwa watu laki moja wameshindwa kufikiwa ili kuokolewa kufuatia mapigano baina ya majeshi ya serikalia na vikosi vyenye  silaha [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF yasaidia serikali kusajili watoto Nigeria

Kusikiliza / zoezi la usajili wa watoto Nigeria

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, kwa kushirikiana na washirika na serikali ya Nigeria wamewezesha kusajiliwa kwa watoto nchini humo ili kusaidia kutunza kumbukumbu za idadi ya watu katika taifa hilo. Ungana na Joseph Msami katika makala inayoangazi namna ya utekelezaji wa hatua hiyo muhimu katika ulinzi wa haki za umma na [...]

17/07/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ghana yatakiwa kulinda haki wakati uchumi ukikua:UM

Kusikiliza / Huku uchumi ukikua,haki zilindwwe:Ghana

Serikali ya Ghana imetakiwa kuandaa uchumi wake , jamii na taasisi ili kuhakikisha kwamba ukuaji wa uchumi wake hautoathri ulinzi wa haki za binadamu limeonya kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu biashara na haki za binadamu.Alexandra Guaqueta amesema ukuaji haraka wa uchumi unaweza kusababisha changamoto katika kulinda haki. Ameyasema hayo katika mwisho wa [...]

17/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kulinda waandishi wa habari ni kulinda haki na demokrasia: Eliasson

Kusikiliza / Jan Eliasson

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bwana Jan Eliasson, leo amesema hatua inayopaswa kuchukuliwa kila mwandishi wa habari anapouawa, ni kuhakikisha mauaji hayo yamechunguzwa na haki kutendeka. Akilihutubia Baraza la Usalama ambalo limekutana kujadili ulinzi wa raia na hususan waandishi wa habari, Bwana Eliasson amesema inashangaza na haikubaliki kuwa zaidi ya asilimia 90 ya [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

ILO yataka sera za uundwaji zaidi nafasi za ajira nchi za G-20

Kusikiliza / Guy Ryder

Wakati tatizo la ajira bado liko juu katika mataifa ya G-20, shirika la kazi duniani ILO limetoa wito wa kuwepo na sera za kuongeza wigo wa nafasi za ajira zinazojumuisha kila mmoja ili kufikia lengo la nchi hizo la kuwa na ukuaji uchumi imara, endelevu na wenye uwiano.Kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa ILO Guy [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Washindi wa shindano la Uchina la uchoraji kuhusu mazingira kwa watoto wataja:UNEP

Kusikiliza / Washindi wa shindano la UNEP wapew tuzo

Shirika la mpango wa mazingira la Umoja wa mataifa UNEP limesema watoto zaidi ya 630,000 wa shule wakiwa na brush na rangi za kuchorea wameshiriki shindano la mwaka huu la uchoraji lililobeba kauali mbiu Maji:yanatoka wapi? Na baada ya mchakato mzito Jumanne washindi wamepokea tuzo zao kwenye hafla maalumu iliyofanyika makao makuu ya UNEP mjini [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

USAID yatoa msaada wa chakula kwa waathirika wa ukame Djibouti:WFP

Kusikiliza / USAIDS yatoa msaada,Djibouti

Ofisi ya chakula kwa ajili ya amani ya shirika la Marekani la maendeleo ya kimataifa USAID imetoa fungu la kwanza la mchango wake wa dola mulioni 4 za mwaka 2013 kwa shirika la Umoja wa mataifa la mpango wa chakula duniani WFP kwa ajili ya kuisaidia serikali ya Djibouti. Grace Kaneiya anaripoti.(RIPOTI YA GRACE KANEIYA) [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkurugenzi wa UNESCO alaani mauaji ya mwandishi wa Misri Ahmed Assem-el-Senousy

Kusikiliza / Mwandishi wa habari auwawa Misri

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO Irina Bokova, Jumatano amelaani vikali mauaji ya mwandishi mpiga picha wa magazeti nchini Misri, Ahmed Assem El-Senousy, na kuutaka uongozi wa nchi hiyo kuheshimu haki za waandishi habari, ili waweze kutimiza wajibu wao ipasavyo na kwa mazingira ya usalama. Bi Bokova amezitaka pande zote nchini [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Haturudi nyuma licha ya askari kuuliwa: UNAMID

Kusikiliza / Walinda amani wa UNAMID

Siku chache baada ya kuuwawa kwa askari saba walinda amani wa Umoja wa Mataifa Darfur Sudan, Kamanda Mkuu wa kikosi cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa Darfur UNAMID, Luteni General Wynnjones Kisamba amesema askari waliosalia katika jukumu hilo wako tayari kuendelea na kazi ya kulinda amani licha ya changamoto za mashambulizi kama hayo. Katika mahojiano [...]

17/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031